Makamu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ameshtushwa na uamuzi wa Mahakama Kuu nchini humo kuruhusu Shirika lisilo la kiserikali (NGO) lina . . .
Mwanafunzi wa darasa la sita, katika shule ya msingi Lyoto, Kata ya Ilemi jijini Mbeya, Ibrahim Edson (12), amefariki dunia baada ya kujinyo . . .
Mhe.Rais Samia afungua mkutano wa faragha wa Mawaziri ,Naibu mawaziri,Makatibu Wakiu na Naibu Makatibu Wakuu kwenye ukumbi wa AICC. . . .
. . .
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, ACP Isack Mushi amesema Jeshi hilo linafanya uchunguzi wa matukio mawili ya vifo vya watoto . . .
Msimamizi Mkuu wa kituo cha treni cha Larissa nchini Ugiriki, ameshtakiwa kwa makosa ya kuua bila kukusudia baada ya ajali ya treni kusababi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Mawaziri na Manaibu Waziri kutotumia maafisa habari binafsi, ba . . .
Abiria waliokua wanasafiri na basi la Happy Nation lililokua likitokea mkoani Kagera kuelekea Dar es salaam wamenusurika kifo kufuatia gari . . .
Marekani imeongeza msaada wake wa kijeshi kwa Somalia wakati taifa hilo likipiga hatua katika kukabiliana na mtandao wa kigaidi wa al Qaida . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amerejea nchini na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho, n . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress yuko nchini Irak leo kwa mazungumzo na maafisa waandamizi nchini humo baada ya mzozo wa kis . . .
Rasmi mchezo wa 16 Bora Kombe la Shirikisho Tanzania Barani ‘ASFC’ kati ya Mabingwa watetezi Young Africans dhidi ya Maafande wa Jeshi l . . .
Mahakama moja ya Ufaransa iliamua Jumanne kwamba kesi iliyoletwa na wanaharakati dhidi ya kampuni kuu ya nishati ya TotalEnergies (TTE . . .
Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Asiwaju Bola Ahmed Tinubu wa chama tawala cha All Progressives Congress (APC), . . .
Serikali ya Urusi ipo katika hatua ya kuwapiga marufuku maafisa wake kutumia maneno ya kigeni wakati wa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu w . . .
Majeruhi pekee wa ajali ya mwendokasi aliyekua amesalia Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), ametambuliwa na ndugu zake akiwemo mkewe Isha Moh . . .
Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Kagera Maketi Msangi amesema mkoa huo unaendelea kuongoza kwa matukio ya mauaji, kujinyonga na kujeruhi, . . .
Jumuiya ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) ilisema Jumatatu kwamba Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi Nigeria (INEC) ilishindwa katika ahad . . .
Shirikisho la Soka Nchini Uganda ‘FUFA’ limeusogeza mbele Mchezo wa Ligi Kuu nchini humo kati ya Arua Hill SC dhidi ya Vipers SC.Mchezo . . .
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, kabla ya . . .
Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Corneille Nangaa alizindua chama chake cha kisiasa, miezi kadha . . .
Orodha ya wanamuziki 10 kutoka Tanzania Waliotazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube ndani ya mwezi January 2023.1. @DiamondPlatnumz 31.7M2. . . .
Mgombea Urais wa Chama cha All Progressives Congress (APC), Asiwaju Bola Ahmed Tinubu kwa sasa anaongoza dhidi ya wagombea wa vyama vingine . . .
Maelfu ya walowezi wa Israel wamevamia eneo la kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi Jumapili jioni na kuchoma moto magari na nyumba baada ya wa . . .
Katika video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, jezi ya Balotelli iliteketezwa huku mashabiki waliokula mori wakiondoka uwanjani kabl . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amemfukuza kazi Kamanada wa Operesheni ya vikosi vya pamoja Meja Jenerali Eduard Mykhailovich Moskalov.Z . . .
Wakili wa Serikali, Vailet Kyendesa amesoma mashtaka ya Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ), MT 89487 CPL Hamis Ramadhan (36) katik . . .
Rais Samia Suluhu amemteua Hamad Abdallah kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Nehemiah Mchechu amba . . .
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru ya Kenya (KRA) Bw Githii Mburu, alijiuzulu jana, mwaka mmoja kabla ya muhula wake kukamilika. . . .
Tume ya Ulaya imepiga marufuku wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya (EU) kutumia mtandao wa TikTok na kuiondoa kwenye vifaa vyovyote binafsi vyenye . . .
Kampuni ya Boeing imesitisha uwasilishaji wa ndege aina ya 787 Dreamliner kwa wateja wake huku ikiendelea kufanya ukaguzi zaidi kwa bodi ya . . .
Mwili wa Rais wa zamani wa Burkina Faso, Thomas Sankara na wasaidizi wake 12 waliouawa Oktoba 15, 1987 wakati wa jaribio la mapinduzi ya kij . . .
Mamlaka ya viwanja vya ndege mkoani mwanza imeeleza kuwa haikua ajali ya ndege iliyokea Leo katika ziwa Victoria jijini mwanza Bali ni . . .
BEKI wa zamani wa Manchester United, John O’Shea, ameteuliwa kuwa kocha msaidizi katika timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland ambayo sasa in . . .
Mahakama ya Rwanda Jumatano ilimuachilia huru muhadhiri maarufu wa Chuo kikuu ambaye ni mpinzani wa serikali aliyezuiliwa jela kwa miezi 17 . . .
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga imesema imepokea Majeruhi 37 waliotokana na ajali ya leo asubuhi ya Basi la abiria la ‘mwendokasi’ k . . .
Wanafunzi watakaofuzu kujiunga na kidato cha tano (A-Level), sasa watatakiwa kusoma kwa hadi miaka mitano, iwapo serikali itaidhinisha huo m . . .
Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 40 ambao unawahusisha wakulima na wafugaji katika vitalu vinne vilivyoko katika kijiji cha Kashanda kata . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewatakia Kwaresma njema Wakristo wote nchini. ”Nawatakia Kwaresma njem . . .
Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu wameua wanajeshi 15 katika eneo la kaskazini mwa Burkina Faso lenye ukosefu wa usalama, siku t . . .