logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Kendrick Lamar Aivunja Rekodi Hii ya Drake

Kendrick Lamar ameivunja rekodi ya Drake, kwa kuwa rapper mwenye ziara ya muziki iliyotengeneza mkwanja mrefu zaidi.Kwa mujibu wa Touring Da . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Polisi yawadaka 132 silaha haramu, mimba za Wanafunzi

Jumla ya watuhumiwa 132 wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani na Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga ndani ya mwezi mmoja (Machi 22 –  Ap . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2023

Watanzania waliokuwa Sudan waanza kurudi nyumbani

Watanzania 200 na baadhi ya raia wa mataifa mengine waliokuwa Sudan wanatarajiwa kuwasili nchini hii leo Aprili 27, 2023, kupitia uwanja wa . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 27, 2023

Kukamatwa kwake kumekuja siku moja baada ya kuhojiwa kuhusu madai ya kuwa na uhusiano na Paul Mackenzie ambaye kanisa lake limesababisha vifo vya takriban watu 98 kwa kuwataka waumini wake wasile chakula ili wafe wakamuone Yesu Akithibitisha hilo Kamishna wa Mkoa wa Pwani Rhoda Onyanja amesema Ezekiel amekamatwa kufuatia madai ya vifo ambavyo vimekuwa vikitokea pia katika kanisa lake. Onyanja amesema Kanisa la Ezekiel pia limefungwa kwa muda usiojulikana

Mchungaji wa Kanisa la New Life International Church, Ezekiel Odero lililopo kwenye eneo la Mavueni katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya ame . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2023

Wagner yadaiwa kuisaidia RSF Sudan

Yevgeny Prigozhin ni mkuu wa kundi la kijeshi linaloungwa mkono na Russia, ametoa silaha kwa moja ya pande zinazopigana nchini Sudan, kuling . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 27, 2023

Mchungaji Aliyeshawishi Waumini Kufunga Mpaka Kufa Kenya Akamatwa...Ukutwa na Shilingi Bilioni 5

Jeshi la Polisi nchini Kenya limemkamata Mchungaji mashuhuri nchini humo, Ezekiel Ombok Odero wa kanisa la New Life Prayer Centre lililopo m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 27, 2023

Muhudumu wa Ndege Aliyejitoa Uhai wake Kwa Kufa Njaa ili Akutane na Yesu..Inasikitisha

Kisa cha Betty Ajenta Charles (pichani), kinasikitisha na kutafakarisha sana. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika saka . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 27, 2023

Polisi wazima jaribio la uporaji Dodoma, wanne wafariki

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, limefanikiwa kuwadhibiti majambazi wanne wakiume ambao majina yao bado hayajatambulika, wenye umri kati ya M . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 26, 2023

Mwanamke Afariki Dunia Ndani ya Basi Akielekea Kilifi Kusaka Maombi

Mwanamke mmoja aliyefunga safari kutoka Bungoma kuelekea Mombasa kutafuta maombi, alifariki dunia akiwa ndani ya basi. Kwa mujibu wa ri . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2023

Mama Wa AKA Azungumza

Miezi miwili tangu kifo cha ghafla cha msanii wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA, familia yake imezungumzia nyakati za . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 26, 2023

Mwenyekiti wa CCM ajinyonga kisa Milioni 118, ‘Ameacha Ujumbe kwa Familia imsamehe’

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mlowo Wilayani Mbozi Mkoani Songwe, Meshack Mwambogolo amekutwa amejinyonga katika msitu uli . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2023

Afrika Kusini yasema haina mipango ya kujiondoa kwenye ICC

Afrika Kusini haina mipango ya kujiondoa kwenye Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC) kama ilivyokuwa imependekezwa awali na Rais . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2023

Waziri Jafo aeleza manufaa ya Muungano

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaotimiza miak . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 26, 2023

Ummy "Malaria kupungua kwa asilimia 3.5 ifikapo 2025 "

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria na kwa kushirikiana na Wadau pamoja na Ofisi ya Rai . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Utoaji leseni za utalii zaunganishwa kielektroniki

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, imesema imeunganisha mifumo ya utoaji leseni katika sekta ya utalii kupitia mfumo wa kieletr . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Ujenzi daraja la JPM wafikia asilimia 72

Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi umetajwa kuwa na faida lukuki kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza na mikoa jirani pamoja na nchi zinazotuzungu . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Rais wa Mexico aambukizwa Covid kwa mara ya tatu

Rais wa Mexico Andres Manuel Lopez Obrador Jumapili amesema kwamba ameambukizwa virusi vya Covid 19 kwa mara ya tatu, akiongeza kuwa ingawa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

William Ruto "Mchungaji Mackenzie ni Mhalifu na Gaidi Mkubwa"

Rais William Ruto amemtaja mhubiri Paul Mackenzie kama mhalifu na gaidi kufuatia kufukuliwa kwa maiti kutoka kwa ardhi yake huko Kilifi.&nbs . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Miili ya Waumini 21 Waliofunga Mpaka Kufa Yafukuliwa na Polisi Kenya

Jeshi la Polisi nchini Kenya wamefukua miili ya watu 21 ambao ni waumini wa kanisa la News International Church, ambao inadaiwa wamefariki d . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Kocha Wydad AC aitangazia vita Simba SC

Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Wydad A.C Juan Carlos Garrido Fernández ameichimba mkwara Simba SC kuelekea mch . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Ronaldo kutimuliwa Saudi Arabia

Mwanasheria wa Saudi Arabia ametoa wito wa kufukuzwa mchezaji wa Al Nassr Cristiano Ronaldo kufuatia kitendo kinachodaiwa kuwa si cha kimaad . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Bilioni 2 zimeibwa ATM

Kikosi maalumu cha Polisi nchini Uganda Flying Squad kinachunguza wizi uliofanyika kwenye mashine za kutoa na kuweka pesa (ATMs) katika vito . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 24, 2023

Papa Francis Aingilia kati Mzozo wa Sudan

Kiongozi wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis ametoa wito hii leo wa mazungumzo kati ya pande zinazohasimiana katika mapigano nchini . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 23, 2023

JKT Tanzania rasmi Ligi Kuu 2023/24

Matokeo ya sare ya 1-1 ya Pamba dhidi ya Mbuni leo Aprili 22 imeihakikishia JKT Tanzania kupanda Ligi kuu licha ya kupoteza mchezo wake ugen . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

Jela miaka 30 kwa kumbaka mwanae

Mchungaji Nurdin Abdallah ambae ni muinjilisti wa vitabu amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

Taa Yagharimu maisha ya mtoto na mke wa polisi

Mke wa Askari Polisi wilayani Kiteto aitwaye Nurya Mkondya, pamoja na mtoto wake Joas Oscar (2) wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

Uteuzi, Balozi Kagasheki Mwenyekiti Bodi ya Parole

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteuwa Balozi Khamis Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole.Kwa mu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

Zogo la Lionel Messi laibuka tena La Liga

FC Barcelona inaweza kuchukua hatua ya kumsajili, Lionel Messi, lakini La Liga haitabadilisha kanuni zake ili kusaidia hilo, kwa mujibu wa R . . .

Hali ya hewa
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

TMA "Mvua ipo Hadi Mwezi wa Sita"

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema mvua zinazonyesha kwa sasa katika maeneo mbalimbali ya nchi zitaendelea mpaka mwezi wa sita mw . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

Sadaka ya mfungo yaleta maafa, 78 wafariki kwa kukanyagana

Takriban Watu 78 wameuawa kufuatia mkanyagano katika shule moja iliyopo mji mkuu wa Yemen Sanaa, wakati wa hafla ya kusambaza misaada kwa aj . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

Maiti zimezagaa kila kona ya Khartoum

Mitaa ya mji mkuu wa Sudan Khartoum imejaa miili ya watu waliouawa katika mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya Rapid . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 21, 2023

Erling Haaland Awakosha Man City Kwa Huduma yake, Wamwandalia Mtakaba Mwingine Mnono

Klabu Bingwa nchini England Manchester City inajiandaa kumpa mkataba mpya Mshambuliaji Erling Haaland baada ya kuwakosha kwa huduma yake mot . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

MTOTO MCHANGA AGEUKA JIWE

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kuzua taharuki kubwa, mtoto Amri Hamis mwenye umri wa mwezi mmoja  amefariki dunia na maiti yake ku . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kuiba mtoto

Sara Robert (33), Mkazi wa Ilunda wilayani Sengerema mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ya kukutwa na hatia ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

Binti Afariki Katika Mazishi ya Babake

Msiba ulitokea kwenye hafla ya mazishi katika eneo la Mukumu, kaunti ya Kakamega, baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 11 kwa jina Benta . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

Waziri Afikishwa Kortini Kuhusiana na Wizi wa Mabati

Agnes Nandutu, alikamatwa Jumanne, Aprili 18, alipojisalimisha kwa polisi ili kuhojiwa kuhusiana na sakata ya kutoweka kwa mabati ya Karamoj . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

BENKI KUU YA TANZANIA YATOA MAFUNZO YA KUTAMBUA NOTI HALALI KWA WATU WA MAKUNDI MAALUMU

Katibu Mtendaji wa Shirika la maendeleo ya jamii na viziwi (DCPO),Jafari Shabani akizungumza kuhusiana na mafunzo hayo.Benki kuu ya Tanzania . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

Wanajeshi 320 wa Sudan wakimbilia Chad wakitoroka mapigano nchini mwao

Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad alisema Jum . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

Waziri wa Afya Apendekeza Hospitali ya Mirembe Ibadilishwe Jina

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amependekeza kubadilishwa kwa jina la Hospitali ya Mirembe ili wananchi waweze kujitokeza kwa wingi kupata mati . . .

Kurasa 171 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category