logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

William Ruto Ajipata Pabaya kwa Matashi yake Dhidi ya Ngilu.

Mgombea urais wa Kenya Kwanza William Ruto amejipata tena pabaya kwa kutoa matamshi yanayodhaniwa kuwa ya kudhalilisha kuhusu Gavana wa Kitu . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

WAHAMIAJI WAFUNGWA KIFUNGO CHA MIAKA 11.

Zaidi ya wahamiaji 30 Jumanne wamehukumiwa nchini Morocco kutokana na kujaribu kuruka uzio wa mpakani na eneo la Uhispania la Melilla mw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Somaliland yasitisha matangazo ya BBC.

Maafisa wa jimbo la Somaliland lililojitenga na Somalia, Jumanne walisitisha matangazo ya shirika la utangazaji la Uingereza (BBC), wa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Afisi ya UN ya kupambana na ugaidi inahimiza ushirikiano katika kupambana na ugaidi nchini Nigeria

Afisi ya Umoja wa mataifa ya kupambana na ugaidi inasema kuna umuhimu wa kuweka msingi imara wa ushirikiano kati ya mashirika ya serikal . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

Uviko-19 Yasababisha Wafanyakazi Kufanyia Kazi Nyumbani Kwao

Wafanyakazi nchini Australia washauriwa kufanyia kazi nyumbani kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya Uviko-19 kulikumba . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

SIRO ATEULIWA KUWA BALOZI WA ZIMBABWE.

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 20, 2022

RAISI AMTEUA WAMBURA KUWA IGP.

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Polisi, Camillus Wambura na kumteua kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la P . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Raia wa China ashtakiwa kwa kusafirisha watoto

. . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Mkuu wa jeshi la Israel azuru Morocco kwa mara ya kwanza

Mkuu wa jeshi la Israel Aviv Kohavi anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Morocco ambapo anatarajiwa kufanya mikutano na maafisa . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

IMF yaipa Tanzania mkopo wa dola bilioni moja

Shirika la Fedha la Kimataifa IMF limesema limeipa Tanzania mkopo wa dola bilioni 1.046 utakaotolewa katika kipindi cha miezi 40, kwa leng . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Putin, Erdogan, Raisi wakutana Tehran

Rais Recep Tayyip Erdogan amewasili nchini Iran kuungana na mwenyeji wake, Rais Ibrahim Raisi, na mwenzao wa Urusi, Vladimir Putin, kwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Kiongozi wa upinzani Tunisia kuhojiwa na majasusi Jumanne

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tunisia Rached Ghabbouchi Jumanne amepangiwa kuhojiwa na idara ya kupambana na ugaidi nchini . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Wahausa waitisha maandamano mjini Khartoum leo Jumanne

Maelfu ya watu kutoka kabila la Hausa nchini Sudan wameweka vizuizi barabarani na kuzichoma moto ofisi za serikali, baada ya makabiliano . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Zelenskiy awafuta kazi wafanyakazi 28 wa ujasusi

Siku moja baada ya kuwatimua mkuu wa idara ya ujasusi na mwendeshamashitaka mkuu wa serikali, Rais wa Ukraine Volodymir Zelenskiy amewaf . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Waziri wa fedha wa Marekani asisitiza kuimarisha biashara kati ya Marekani na Korea Kusini

Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amesema kwamba Marekani na Korea kusini wanahitaji kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Bunge la India Latoa Heshima kwa Mwai Kibaki katika Kikao Maalum.

Bunge la India limetoa heshima kwa hayati Rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki wakati wa kikao maalum kinachojulikana kama Monsoon Session.Akiz . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

OKWA ATUA SIMBA NA MBWEMBWE ZOTE

Mchezaji mpya wa Simba, Mnigeria Nelson Okwa wikiendi iliyopita aliiaga timu aliyokuwa akiichezea ya Rivers United kibabe kwa kuiongoza ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Joto laendelea kuwa kumbwa mataifa ya ulaya

Mataifa ya Ulaya Magharibi yanakumbwa na joto kubwa, ambalo sasa linaelezwa kuelekea katika mataifa ya Kaskazini . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Tanzania Ya Tano Afrika Kuzalisha Mionzi Dawa

Tanzania ni kati ya nchi tano Afrika na ni nchi pekee Afrika Mashariki inayozalisha mionzi dawa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri na Mbunge . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 19, 2022

Vijana wazua fujo wakitaka kutimua maafisa wa IEBC

VIJANA waliandama mjini Kisii jana dhidi ya maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) mjini Kisii. Vijana hao walikabiliana na maaf . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

MBUNGE ULANGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU KATIKA HOSPITALI NA HAYA NDIO ALIYO YAKUTA

. . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Mwanamuziki Jennifer Lopez ‘J Lo’ Afunga Ndoa Tena na Staa wa Filamu Ben Affleck

Jennifer Lopez almaarufu JLO; ni staa wa filamu na muziki wa Hollywood nchini Marekani ambaye yeye na mchumba wake, Ben Affleck wamefung . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Klabu ya Polisi Tanzania yampiga chini kocha Malale Hamsini

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Kaimu rais wa Sri Lanka atangaza hali ya hatari

Kaimu rais wa Sri Lanka Ranil Wickremesinghe ametangaza hali ya hatari nchini humo leo wakati ambapo nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro wa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Mwanahabari wa Marekani azuiliwa Congo 18 Julai, 2022

Afisa wa ngazi ya juu wa serikali  ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya congo amesema Jumapili kwamba idara ya kijasusi ya nchi hiyo , . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Rais Volodymyr Zelensky amewafuta kazi maofisa wa umma

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemfukuza kazi mwendesha mashtaka mkuu nchini humo Iryna Venediktova pamoja na m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Mkuu wa jeshi la Israeli kufanya ziara ya siku 3 nchini Morocco

Kiongozi wa jeshi la Israeli anatarajiwa kuanza zaira ya kikazi ya siku tatu nchini Morocco, hii ikiwa ni ziara ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Raia 16,000 wameondolewa katika maeneo yanayoweza kauthirika na moto

Serikali ya Ufaransa imelazimika kuwaondoa raia zaidi ya 16, 000 katika makaazi yao kusini Magharibi mwa taifa hilo, . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Azam kumenoga kinoma

Matajiri wa Chamazi raundi hii hawataki utani kabisa na bosi mkubwa, Yusuf Bakhresa ameingilia usajili na hadi sasa ameshusha wageni watan . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Ugonjwa mpya homa ya mgunda waibuka

Wizara ya Afya kupitia kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetangaza uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wana . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 18, 2022

Utawala wa Uhuru wang’aa katika ujenzi wa barabara

RAIS Uhuru Kenyatta ametumia Sh1.5 trilioni kwa ujenzi wa barabara katika kipindi cha zaidi ya miaka tisa ya utawala wale, na ataondoka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Afghanistan ya leo ni tishio kubwa zaidi kwa dunia

"Afghanistan ya leo ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia kuliko ilivyokuwa mwaka 2001." Hili ni onyo kali kutoka kwa mtoto wa kio . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Moto wateketeza msitu wa kusini magharibi mwa Ulaya

Wimbi la joto kali la msimu wa kiangazi ambalo limesababisha matukio makubwa ya moto kote kusini magharibi mwa Ulaya linaendelea kusambaa. . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Urusi yaanza tena mashambulizi nchini Ukraine

Urusi jana ilianzisha tena mashambulizi yake katika eneo la Donbass Mashariki mwa Ukraine baada ya mapumziko ya muda mfupi ili kupanga ten . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Chama tawala cha Jamhuri ya Congo charipoti kushinda katika uchaguzi

Chama tawala katika Jamhuri ya Congo kimeripoti kushinda katika uchaguzi wa bunge wa wiki iliyopita.Matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Kocha wa Barcelona Xavi azuiliwa kuingia Marekani kisa kutembelea Iran

Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez hakuweza kusafiri na kikosi chake kuanza ziara ya kujiandaa na msimu mpya nchini Marekani Jumamosi.The B . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Tiwa Savage apata shahada ya udaktari Uingereza

Msanii wa muziki wa Afrobeats wa Nigeria , Tiwa Savage, amepewa shahada ya heshima ya udaktari kutoka Chuo kikuu alichosomea awalicha Ke . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • July 17, 2022

Polisi Kariakoo Wapiga Jogging na Wananchi

JESHI la Polisi Wilaya Kipolisi ya Kariakoo, jijini Dar jana Jumamosi limefanya jogging na wananchi wa eneo hilo kumalizia na bonge la tiz . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 15, 2022

MVUVI APOTEA ZIWANI WAWILI WAOKOLEWA MKEWE ANAKOROGA UJI ILI APATIKANE

Taarifa mbaya kutoka Ziwa Victoria, zinamhusu mvuvi aliyejulikana kwa jina la Salehe Haruna (42) anatajwa kuzama maji katika eneo la Sweya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 15, 2022

Hatimaye Klabu ya Yanga Rasmi Yamtambulisha Aziz Ki

Kiungo mshambuliaji  Raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki (26) hatimaye ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu ya Yanga kabla ya . . .

Kurasa 208 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category