Katika taarifa ya pamoja Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa Ulinzi Israel Katz wamesema operesheni hiyo ilikuwa na lengo . . .
Machungwa ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa urahisi na yanayopendwa na watu wengi, lakini nyuma ya ladha yake tamu kuna hazina kubw . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani ijulikanayo kama “Operation Epic Fury” itafiki . . .
Zaidi ya meli 1,600 zimeendelea kusalia karibu na mlango wa bahari wa Strait of Hormuz huku hali ya usalama ikizidi kuwa tete kutokana na mv . . .
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali inachukua hatua ka . . .
Watu 32 wamefariki dunia kwa kipindi cha miezi mitano ya mwaka 2026 mkoani Geita, kufuatia kuongezeka kwa matukio ya moto na uokoaji yaliyoa . . .
Mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Bayern Munich na Paris Saint-Germain unaingia ukiwa na presha ya k . . .
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC limethibitisha kifo cha baharia raia wa Tanzania, Macha Maregesi Mongu, baada ya meli aliyokuwa ak . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Evaline Wilbard Munisi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mk . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James R . . .
Mamlaka nchini Syria wametangaza siku ya Jumanne kwamba wamekamata kikundi chenye mafungamano na kundi la wanamgambo wa Lebanon, Hezbollah k . . .
Rais Donald Trump amesema anasimamisha operesheni ya kijeshi ya Marekani ya kusindikiza meli kupitia Mlango Bahari wa Hormuz "Project Freedo . . .
Jeshi la Chad limesema wanamgambo wa Boko Haram wamewaua wanajeshi 23 katika shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi iliyo katika eneo la Ziwa C . . .
Rais Volodymyr Zelensky amelaani kile alichokiita kuwa ni ujinga mkubwa wa Urusi kwa kufanya mashambulizi makali huku ikitafuta usitishaji m . . .
Kauli tata kuhusu madai ya matumizi ya Dolphin wa kujitoa muhanga katika shughuli za kijeshi za Iran imezua mjadala mkubwa wa kimataifa, huk . . .
Aidha mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Mei 6, 2026, Petroli im . . .
Kiungo mshambuliaji Matheus Cunha ameendelea kumiminia sifa kocha wa muda wa Manchester United Michael Carrick akisema anastahili kupewa kib . . .
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi bora na kusimama imara wakati wa vurug . . .
Kundi la Hezbollah limesema wapiganaji wake walikabiliana na wanajeshi wa Israel kusini mwa Lebanon katika eneo la karibu na mpaka, licha ya . . .
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kusitisha mapigano dhidi ya Ukraine kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 8 hadi tarehe 9 mwezi Mei. . . .
Armenia imeandaa mkutano wa kilele kati yake na Umoja wa Ulaya Jumanne mjini Yerevan Mkutano huo wa Kihistoria unaashiria hatua mpya kwa tai . . .
Rais wa Kenya, William Ruto, amehimiza kuwapo kwa mshikamano mkubwa wa kikanda kati ya Tanzania na Kenya, huku akiwataja maaduia wakubwa wa . . .
Rais wa Kenya, William Ruto, amesema biashara ya Tanzania na Kenya mwaka jana ilifikia Dola za Marekani 860 milioni (zaidi ya Sh2.223 trilio . . .
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amesema Kampuni 500 za Kenya zimewekeza Dola za Marekani bilioni 1.7 nchini Tanzania.Amesema uwekezaji huo . . .
Viongozi na Maafisa Maadili kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kutumia vyombo . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewataka walimu wapata . . .
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Assimi Goita, amechukua nafasi ya Waziri wa ulinzi kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wake wa ulinzi, Sadio Cam . . .
Makubaliano ya kusitisha vita kwa muda kati ya Iran, Israel na Marekani yameonekana kugonga mwamba Jumatatu baada ya pande hizo hasimu kusha . . .
Kundi la Hezbollah limesema vikosi vyake vilipambana na wanajeshi wa Israeli Jumatatu kusini mwa Lebanon.Kundi la Hezbollah limesema vikosi . . .
Kampuni ya Boeing imerejea mahakamani Jumatatu kukabiliana na kesi dhidi yake kuhusu ajali mbaya ya ndege aina ya Boeng 737 MAX nchini Ethio . . .
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema hatakata tamaa kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump licha ya mzozo kati ya viong . . .
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema hatakata tamaa kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump licha ya mzozo kati ya viong . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ameiadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa kulaani ukiukwaji unaoendelea . . .
Maji ni muhimu sana kwa afya ya binadamu lakini kama mwili ukiwa na maji mengi kuliko inavyohitajika basi hali hii inaweza kusababisha matat . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa ukielea katika maji ya Mto Ms . . .
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda leo Mei 4, 2026 amewasili katika viwanja vya Bunge la Tanzania . . .
Chama tawala nchini DRC, UDPS, hivi leo kinatarajiwa kufanya maandamano jijini Kinshasa, kuonesha uungaji mkono wao kwa rais wa Marekani Don . . .
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema hatakata tamaa kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump licha ya mzozo kati ya viongozi hao . . .
Marekani itazindua operesheni ya kuongoza meli zilizokwama kutoka Mlango Bahari wa Hormuz ulioshikiliwa na Iran.Marekani Jumatatu itazindua . . .
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili kati ya . . .