logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Deni la Serikali lafikia trilioni 69.44

Hadi kufikia mwezi Aprili mwaka huu deni la serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44.   Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nche . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Serikali itakavyookoa matumizi ya Sh500 bilioni

Katika mkakati wa kubana matumizi, Serikali inatarajia kudhibiti mambo kadhaa ikiwemo ununuzi na matumizi ya magari.Hayo amebainisha  . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Straika wa mabao atua Simba

Yanga inafanya  usajili wa bandika bandua kutokana na namna wanavyofanya usajili wao kuelekea msimu wa 2022/23, lakini kama unadhan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Mahakama ya Cambodia yawatia hatiani wapinzani 60

Mahakama moja ya mji wa Phnom Penh nchini Cambodia imewakuta na hatia takriban wanasiasa 60 wa upinzani, akiwemo mwanaharakati na mksoaji . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Utata Kuhusu Digrii ya Sakaja Waendelea

Utata kuhusu kufuzu kitaaluma kwa mwaniaji kiti cha ugavana kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja umechukua sura mpya baada ya kuibuka kuwa bado . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Man United yamtambua aliyepanda na bendera Kilimanjaro

Shabiki wa Man United Martin Hibbert (45) ametimiza ndoto yake ya kupanda mlima Kilimanjaro akiwa na wheel chair (kiti cha matairi) baada . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Ukimtukana Mtu Mtandaoni Jela Mwaka Mmoja

Bunge la Japan limepitisha mswada wa sheria mpya ya kudhibiti matusi mitandaoni ambayo inatarajiwa kusainiwa na Rais wa nchi hiyo ambayo . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Zelensky ataka nguvu ya Ujerumani katika vita vyake na Ukraine

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kuchukua msimamo ulio wazi zaidi katika mzozo wa taifa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Bunge la Kenya laahirisha vikao vyake Leo

Bunge la Kenya liliahirishwa kwa muda usiojulikana kabla ya uchaguzi wa Agosti 9 bila kuzingatia miswada muhimu inayohusiana na shughuli . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Mahakama ya Senegal imemuhukumu kiongozi wa waasi kifungo cha maisha jela kwa mauaji

Mahakama nchini Senegal Jumatatu ilimhukumu kiongozi mtoro wa waasi na wanaume wengine wawili kifungo cha maisha jela kwa mauaji pamoja . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Raia takribani 100 wameuawa kaskazini mwa Burkina Faso

Watu wenye silaha waliwaua takribani raia 100 katika wilaya ya mashambani kaskazini mwa Burkina Faso karibu na mpaka na Niger mwishoni . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Kipindupindu kimeibuka tena Cameroon na kusababisha vifo takribani 150

Zaidi ya watu 150 wamefariki kutokana na kuibuka tena kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Cameroon katika kipindi cha miezi minane iliyop . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 14, 2022

Deni la taifa lafikia Sh69.44 trilioni

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishw . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Man City imemtambulisha Erling Haaland

Club ya Man City imemtambulisha rasmi Erli . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

WAKALA APELEKA JINA LA NABI SIMBA

INAWEZA kuwa habari ya kushtua sana kwa mashabiki wa Yanga, lakini ndivyo ilivyo kwamba wakala wa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Zaidi ya watu laki nane wakimbia ukame Somalia

Shirika la Umoja wa mataifa lenye kuhusika na usaidizi wa dharura OCHA limesema ukame ulioikumba Somalia umesababisha zaidi ya watu 805,00 . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Watu kadhaa wauawa na maelfu kuyahama makazi yao kufuatia shambulio

Nchini Burkina Faso, watu wenye silaha waliwashambulia wakazi wa eneo la Seytenga, karibu na mpaka na Niger usiku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Waziri Mkuu wa zamani wa Urusi: Simtambui tena Putin

Mikhail Kassianov alikuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya Vladimir Putin. Lakini hata hivyo, Mikhail Kasyanov h . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Hatma ya Sakaja Kujulikana Leo

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa makataa kwa Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja kujibu kesi nne dhidi yake kufikia 12pm Jumatatu, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Maseneta Marekani wametangaza muundo wa pande mbili unaohusu umiliki wa bunduki

Maseneta wametangaza muundo wa pande mbili siku ya Jumapili katika kujibu mashambulizi ya bunduki kwa umma ya mwezi uliopita ikiwa maf . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

DRC inaishutumu Rwanda kuwasaidia waasi wa M23 katika mashambulizi ya Bunagana

Mamlaka katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ilisema wanajeshi wa Rwanda wakiwa na silaha walisaidia mas . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Vikosi vya Russia vimeshambulia kiwanda cha kemikali kilichopo Ukraine

Vikosi vya Russia vilishambulia kwa mabomu kiwanda cha kemikali kinachohifadhi mamia ya wanajeshi na raia katika mji wa Sievierodonetsk . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 13, 2022

Baada ya Panya Road Dar, Panya Kalowa waibuka Dodoma

Mbunge wa Viti Maalum, Fatuma Toufiq ameibua sakata la kikundi cha uhalifu maarufu Panya Kalowa ambacho amesema kinawasumbua wananchi wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 12, 2022

Jaji Mkuu wa Kenya Ataka Rais Uhuru Kenyata Ang’olewe Madarakani Kwa Kukiuka Katiba

Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome anataka mahakama ya rufaa kutangaza kwamba Rais Uhuru Kenyata amekiuka katiba ya nchi hiyo kwa kushindwa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 12, 2022

Mwili wa padre waokotwa Mbeya

Mwili wa padre wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya wa Shiriki wa Wasionari wa Afrika (White Father), Michael Samson umeokotwa jijini M . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2022

Tanzania yasaini mkataba wa kuuza gesi yake asilia

Tanzania imetiliana saini mkataba wa gesi na kampuni za Shell ya Uingereza na Equinor ya Norway ili kuutekeleza mradi wa dola bilioni 30 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2022

Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela Guaido ashambuliwa

Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela aliyejitangaza kuwa rais wa mpito Juan Guaido, ameshambuliwa kimwili hapo jana.Video zilizochapishwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2022

Korea Kusini kuboresha uwezo wa ulinzi kukabiliana na vitisho vya Kaskazini

Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini Lee Jong-sup amesema leo kwamba nchi yake itaboresha uwezo wake wa ulinzi na kufanya kazi kwa karibu na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 12, 2022

Bashungwa Awasimamisha Kazi Afisa Manunuzi Na Mkaguzi Wa Ndani Halmashauri Ya Wilaya Karagwe.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa Kagera, Pro . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Wavamizi Waliojihami kwa Bunduki Waua Raia 32 na Kuteketeza Nyumba za Wakaazi Read more

Wahalifu waliojihami kwa bunduki wamewaua kwa kuwapiga risasi watu 32 na kuteketeza makumi ya nyumba katika shambulizi la hivi punde katika . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Ukraine yasema imeyapiga maeneo ya wanajeshi wa Urusi mkoani Kherson

Ukraine imesema leo kuwa imeyapiga maeneo ya jeshi la Urusi katika mkoa wa kusini wa Kherson ambako jeshi la Kyiv linapambana kulikomboa e . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Rais mpya wa Somalia aapa kukabiliana na ugaidi

Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, ameapa kukabiliana na ugaidi katika nchi hiyo iliyokumbwa na mzozo, huku pia akiiomba jumuiya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Rais wa Senegal na mwenyekiti wa AU aisihi Ukraine kutegua mabomu ya ardhini kurahisisha usafirishaji wa nafaka

Rais wa Senegal na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall Alhamisi ameisihi Ukraine kutegua mabomu ya ardhini kwenye maji ya bahari ka . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Watu 7 wauawa katika shambulio dhidi ya kambi ya wakimbizi wa ndani mashariki mwa DRC

Watu 7 waliuawa katika shambulio kwenye kambi ya waliyohama makazi yao katika eneo la mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo le . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Rais Ramaphosa amsimamisha kazi mkuu wa taasisi ya kupambana na ufisadi

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Alhamisi amemsimamisha kazi mkuu wa taasisi ya kupambana na ufisadi wakati bunge linaandaa kikao . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Bocco na Mugalu wazua mzozo Simba

WACHEZAJI, John Bocco na Chris Mugalu waliong’ara msimu uliopita wakiwa vinara wa mabao wa Simba na Ligi Kuu Bara msimu uliopita, wame . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • June 10, 2022

Watu 19 wafa ajali ya basi Mafinga

Watu 19 wamefariki dunia baada ya basi dogo aina ya Costa kugongana kugonga lori lililokuwa limeharibika karibu na eneo la Changarawe, M . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

Hatima ya Donbass iko kwenye jiji la Sievierodonetsk, kulingana na Zelensky

Katika siku ya 106 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Alhamisi Juni 9, fuata moja kwa moja taarifa za hivi punde . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 9, 2022

BINGWA LIGI KUU KUONDOKA NA MILIONI 600

BINGWA wa ligi kuu tanzania bara msimu wa 2021/2022 atajinyakulia kombe la shilingi milioni 600. Afisa mtendaji wa mkuu wa bodi ya ligi kuu . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • June 9, 2022

AKOTHEE:HABARI ZA MAHUSIANO KUVUNJIKA SASA BASI

Msanii wa muziki kutoka nchini kenya pamoja na mfanyabiashara kutoka nchini humo esther akoth kokeyo maarufu kwa jina la akothee wikiendi il . . .

Kurasa 214 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category