Nchi za Umoja wa Afrika zimeanza kutambua mchango wa mahakama ya Afrika ya haki za binadamu yenye makao yake makuu Arusha Kaskazini mwa Tanz . . .
Umoja wa Mataifa na Pakistan, leo zitawasilisha ombi rasmi la kukusanya dola za kimarekani milioni 160, kuisaidia nchi hiyo ambayo imekabili . . .
Shirika la anga za juu la Marekani NASA limeahirisha uzinduzi wa roketi lenye nguvu uliopangwa kufanyika jana kutokana na tatizo la kwenye i . . .
Majaji watano kutoka mataifa ya kigeni wamefika nchini kufuatilia kesi ya kupinga matokeo ya urais itakayoanza leo saa tano katika Mahakama . . .
Majaji saba wa Mahakama ya Upeo wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kutambua ukweli ulipo kwenye rundo la maelfu ya nakala za ushahidi ambao . . .
Mike Tyson; ni bondia maarufu mstaafu wa Marekani ambaye anasema kuwa, kuna matukio mengi anayakumbuka kwenye maisha yake, lakini kubwa anaj . . .
Baada ya kutoonekana kufanya kazi na mwanamuziki @diamondplatnumz hatimae leo hii aliyekua videographer na mpiga picha rasmi wa Diamond @luk . . .
Kwa upande wa Diamond Platnumz, wameandika kwamba kwa sasa analipwa kiasi cha ($100,000) zaidi ya TSh. 234M pia waandaaji wakilazimika kumgh . . .
Colombia na Venezuela wamerudisha tena mahusiano kamili ya kidplomasia, miaka mitatu baada ya Venezuela kukata uhusiano huo kufuatia hatua y . . .
Wizara ya mambo ya nje ya China imesema hatua ya meli mbili za kivita za Marekani kupita katika ujia wa Taiwan, ni uchokozi unaonuia kutatiz . . .
Kufuatia maneno ya kaka mkubwa wa kiungo wa kati wa Ufaransa na klabu ya Juventus Paul Pogba, Mathias Pogba siku kadhaa zi . . .
Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na jamii ya Mwezi Mwekundu wameonya juu ya vita virefu nchini Ukraine, kwamba huenda v . . .
Machafuko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika siku tatu, vyanzo vya kijeshi na . . .
Shughuli ya upigaji kura kuchagua gavana katika Kaunti ya Mombasa na Kakamega inaendelea.Vituo vilifunguliwa mapema Jumatatu, wakazi katika . . .
BABA Mtakatifu na mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis (85) amewateua maaskofu 20 na kuwatawaza kuwa makaldinali watakaoongezeka kwe . . .
Ukame wa kutisha unaoikumba Pembe ya Afrika, mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40, huenda ukawa mbaya zaidi, kulingana na . . .
Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu A . . .
The brother’s keeper ni album ya pili ikifuatia album yake ya kwanza ambayo ilikuwa inafahamika kwa jina la Boo of the Booless ambayo ilif . . .
Watu wenye silaha na wasiojulikana wamewaua watu sita na kuwajeruhi wengine wawili katika shambulio dhidi ya msafara kutoka mgodi wa dhahabu . . .
Pakistan inaomba msaada zaidi wa kimataifa baada ya mafuriko kusababisha uharibifu mkubwa kote nchini humo.Marekani, Uingereza, Umoja wa Fal . . .
Miamba ya soka Uingereza, Manchester United leo imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0 ugenini dhidi ya S . . .
Meli mbili za kivita za Jeshi la Wanamaji la Marekani zimepita leo hii kwenye mlango bahari wa Taiwan ikiwa ni mara ya kwanza tangu ziara ya . . .
Baada ya kufanikiwa kupokelewa vizuri na mashabiki kutoka nchini uganda miaka miwili iliyopita kupitia wimbo wake uitwao kili wakati akiwa a . . .
Msanii wa muziki wa miondoko ya hiphop na afro beat zara ozay mwenye asili ya nchini nigeria ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa beau_e . . .
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Taisi Kata ya Bumera, mkoani Mara, Ibrahimu Maryoba, amefariki dunia kutokana na shinikizo la damu wakati ak . . .
Uchaguzi wa Ugavana katika mji wa pwani ya Kenya wa Mombasa utafanyika Jumatatu ya Agosti 29. Kampeni za uchaguzi huo uliyoahirishwa mara mb . . .
Wawakilishi wa mataifa ya Finland na Sweden wanatarajiwa hivi leo kujadili na wajumbe kutoka Uturuki, masharti ya kiusalama ambayo Uturuki i . . .
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewahimiza wawekeza kutoka Sekta binafsi nchini kuwekeza katika sekta ya mifugo kwa sababu kuna f . . .
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imesema kuanzia Jumatatu Agosti 29, 2022 itafanya oparesheni ya kutokomeza mifuko ya plastiki . . .
Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria . . .
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitoa matokeo yake ya hivi punde Alhamisi jioni. Tayari wamehesabu 97% ya kura. Kwa mara ya kwanza tangu uhuru, c . . .
Vladimir Putin alitia saini siku ya Alhamisi agizo la kuongeza idadi ya wanajeshi katika jeshi la Urusi kwa 10% mnamo Januari 1, 2023. Tanga . . .
Baada ya kuitumikia Man United kwa miaka sita beki wa kimataifa wa Ivory Coast Eric Bailly ameondoka Man United na kwenda kujiunga na Olympi . . .
Zaidi ya vijana wadogo 2,000 wa Tunisia walivuka bahari ya Mediterania mwaka huu kutoka katika taifa lao la kaskazini mwa Afrika kuelekea It . . .
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas A . . .
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili k . . .
Madeni, bajeti kubwa ya mishahara, miradi iliyokwama na migomo ya wafanyakazi ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili magavana 37 wapya wa . . .
Mahakama ya Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imemhukumu Raymond Bwire (28) kifungo cha miaka mitano jela kwa kujifanya mkurugenzi mkuu . . .
Msemaji wa kundi la Taliban Zabihullah Mujahid amesema leo kuwa bado hawajaupata mwili wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa Al-Qae . . .
Angola inasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi ulioshuhudia kinyangan'yiro kikali katika historia yao ya kidemokrasia. Matokeo ya mapema yana . . .