logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika
  • Na Asha Business
  • October 23, 2022

Kenya na Marekani zinataka mzozo wa Ethiopia kutatuliwa haraka iwezekanavyo

Mshauri wa usalama wa taifa wa rais wa Marekani Jake Sullivan, amefanya mazungumzo na mwenzake wa Kenya Dr. Monica Juma kuhusu vita vya Ethi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 23, 2022

Boris Johnson 'ameanza kampeni' kuwa waziri mkuu wa Uingereza

Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amerudi nchini humo katika juhudi zake za kujaribu kurudi madarakani baada ya kujiuzulu wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2022

waziri mkuu wa uingeraza aishangeza dunia

Liz Truss amejiuzulu kama waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukaa madarakani kwa chini ya miezi miwili.Kuanzia mkutano wake wa kwanza na Mal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2022

NCC WATAKIWA KUANDAA MIONGOZO BORA YA UJENZI

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe.Atupele Mwakibete ameitaka Bodi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), kuandaa Sera, Sheria, Kanuni . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 21, 2022

Watu 50 wauwawa na karibu 300 wajeruhiwa katika ghasia Chad

Takriban watu 50 waliuawa na karibu wengine 300 kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka nchini Chad siku ya Alhamisi huku mamia wakiingia . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 21, 2022

Martha Karua Akataa Kumtambua William Ruto kama Rais

Aliyekuwa mgombea mwenza wa muungano wa Azimio la Umoja Martha Karua amekataa kumtambua William Ruto kama rais wa Jamhuri ya Kenya baada ya . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 21, 2022

Zimbabwe Yaibuka ya Kwanza Bara Afrika Kuidhinisha Chanjo ya ukimwi

Zimbabwe imeibuka taifa la kwanza katika bara la Afrika kuidhinisha chanjo ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi.Zimbabwe itaanza kutoa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 20, 2022

Waamuzi wafungiwa muda usiojulikana

CHAMA cha Soka Mkoa wa Mjini Magharib kimewasimamisha waamuzi wawili na kumfungia kutochezesha ligi mmoja kwa kushindwa kumudu Sheria 17 . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 20, 2022

Baadhi ya visababishi vya kiungulia

KIUNGULIA humfanya mtu ahisi kana kwamba kuna mwasho kifuani. Chakula tunachokula hupitia kinywani mwetu hadi kwenye mirija inayojulikana . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 20, 2022

Jela maisha kwa kumbaka mtoto

Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 20, 2022

Wauguzi Wafutiwa leseni

Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mko . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 20, 2022

Indonesia yapiga marufuku kwa muda dawa za maji kwa watoto

Indonesia imepiga marufuku kwa muda dawa zote za maji kufuatia vifo vya watoto wapatao 100 kutokana na uharibifu wa figo. Haya yameripotiw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 20, 2022

Marekani yawashtaki raia watano wa Russia 20

Waendesha mashtaka wa Marekani Jumatano waliwashtaki raia watano wa Russia kwa kukwepa vikwazo na mashtaka mengine kwa kusafirisha tek . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 19, 2022

ST CLARE HOSPITAL MWANZA WAJA NA SULUHISHO TIBA YA MIONZI KUNUSURU UHAI KWA WANANCHI KANDA YA ZIWA.

"Umegusia suala la Tezi dume hapo, wengi wanaume ukileta mjadala wa changamoto hiyo, fikra zao huelekea kwenye kile kipimo cha kidole ambach . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • October 19, 2022

Watumishi KCMC kwa makosa ya kimtandao

Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskaz . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 19, 2022

Watu wenye silaha wavamia hospitali mbili Nigeria

Watu wenye silaha walivamia hospitali mbili katika mashambulizi tofauti kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria, afisa wa eneo hilo na s . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • October 19, 2022

Zelenskyy" Urusi kutumia ndege zisizo na rubani za Iran kunaonyesha imefilisika kijeshi"

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema Urusi kutumia ndege zisizo na rubani za Iran ili kuyashambulia maeneo ya Ukraine, kunaweka wazi . . .

Kilimo
  • Na Asha Business
  • October 19, 2022

WAKULIMA MKOANI ARUSHA WASHAURIWA KUZALISHA VYAKULA VYENYE LISHE BORA

WAKULIMA Mkoa wa Arusha wameshauriwa kufanya uzalishaji wa vyakula wenye lishe bora utakaokidhi afya ya mwananchi baada ya uzalishaji huku w . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Makombora ya Russia yaharibu mitambo muhimu ya umeme na maji Ukraine

Makombora ya Russia yameharibu mitambo ya umeme na maji katika sehemu kadhaa nchini Ukraine leo Jumanne, katika hatua inayoonekana kama wana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Shirika la WHO lahofia kutofikiwa malengo ya maendeleo ya UN ya 2030

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema janga la Uviko-19 pamoja na vita na migogoro ni masuala yaliyorudisha nyuma juhudi za kuimarisha af . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 18, 2022

SOLEMZO P AIBUKA NA “ISSUES”

Anaitwa Solomon Ogbeide Ambaye Anawakilisha Esan Igueben Katika Jimbo La Edo Huko Nigeria.Solemzo Ni Mwanamuziki Wa Miondoko Ya Afro Hippo P . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

WHO yaonya matumizi dawa nne za kunywa watoto barani Afrika

Mkurugenzi wa shirika la afya duniani, Tedrso Adhanom Ghebreyesus AP - Salvatore Di NolfiShirika la afya duniani, WHO, juma hili limetoa ang . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Aliyemuua Mkatisha Tiketi za Mabasi Ahukumiwa kunyongwa hadi Kufa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshitakiwa Hemed Ally baada ya kupatikana na hatia ya kumuua, Farhani Maluni . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wauawa na wengine wajeruhiwa

Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliuawa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya wakati gari lao lilipogonga kilipuzi kaskazi . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

RAIS SAMIA AFANYA ZIARA FUPI OFISI ZA CCM MKOA KIGOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumanne ya tarehe 18 Oktoba, 2022 . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Zuchu achaguliwa kutumbuiza tuzo za AFRIMMA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu amechakuliwa kuwa mmoja ya wasanii ambao watatoa burudani siku ya utoaji tuzo za AFRIMMA mnam . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Vyakula Vigumu Kusagika Mwilini

Vyakula vya wanga nyingiKula chakula chenye wanga kinaweza kudhoofisha afya kwa muda mrefu kwani husababisha kuongezeka kwa uvimbe na kubadi . . .

Kilimo
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Sheria ya kilimo kutungwa

Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde, amesema serikali ipo njiani kutunga sheria maalum kwa ajili ya kilimo ili kulinda maeneo yote yanayo . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Rais Museveni Aamuru Mwanawe Kuondoka kwa Mitandao ya Kijamii

 Yoweri Museveni  "Jenerali Muhoozi Kainerugaba - atakaa mbali na mitandao ya kijamii kufuatia jumbe zake za kivita kuhusu Kenya." . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

Urusi yailenga miji ya Ukraine kwa ''droni za kamikaze''

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani mashambulizi mapya ya Urusi yaliohusisha makombora na ndege zisizo na rubani na kuyataja kama ug . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

Foby atoa ya mayoni juu ya Hamisa Mobeto

Msanii wa Bongofleva foby ameamua kutoa ya moyoni mwake kwa hamisa mobetto ambaye hawako sawa hivyo akihitaji wamalize tofauti zao.Foby amet . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

uwezo wa kuzaa kwa wanawake kushuka

 miaka 30 ijayo mwanamke wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kujifungua wastani wa watoto wachache ripoti ya ‘Tanzania in figures 20 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JPM MKOANI MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa daraja la JPM,  Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022.  . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

Madhara Ya Ulaji Wa Sumu Kuvu Husababisha Kupungua Kwa Kinga Ya Mwili

Kaimu Mratibu wa Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania (TANIPAC), Khassim Musya akitoa elimu wa wananchi waliofika katika maadhimisho ya Siku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

Aliyewasema Wazanzibar kufikishwa mahakamani

Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video na kutoa lugha ya maudhi dhidi ya W . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

Wananchi DRC wataka UN kutangaza mauaji ya mara kwa mara kuwa ya kimbari

Wakazi wa Beni, Kivu kaskazini, na Ituri wanaiomba serikali ya DRC na Umoja wa Matifa kutangaza mauaji ya mara kwa mara katika eneo lao kuwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

WANANCHI WAASWA KUTOA USHIRIKIANO THABITI KATIKA UTAFITI WA VVU NCHINI

SERIKALI imezindua Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS 2022-2023) na kueleza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ya VVU n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

WAFANYABIASHARA SOKO LA SAMAKI MISUNGWI WALIZWA

. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Rais Samia asisitiza Watanzania kuchapa kazi

 Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wakati akielekea Mkoa wa Kigoma leo Jumapili, Oktoba 6, 2022, Rais Samia amesema yeye na wasaidizi wake . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Tanzania yashtua Ulimwengu wa soka katika Kombe la Dunia chini ya miaka 17

Timu ya taifa ya soka ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania (Serengeti Girls) sikua ya  Jumamosi iliushtua Ulimwengu wa sok . . .

Kurasa 193 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category