logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika
  • Na Asha Business
  • November 22, 2022

Mahakama ya rufaa Afrika Kusini yaamua Zuma arejeshwe jela

Mahakama ya rufaa nchini Afrika Kusini imesema msamaha uliotolewa kwa rais wa zamani Jacob Zuma, wa kuachiwa kwa ajili ya matibabu ulikuwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 22, 2022

Tetemeko la ardhi lasababisha vifo zaidi ya160

Maafisa wa huduma za dharura nchini Indonesia wanaendelea kuitafuta miili zaidi ya watu kutoka kwenye vifusi vya nyumba na majengo yaliy . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Vijana 200 wapewa mafunzo ya mazingira Mwanza

Vijana zaidi ya mia mbili jijini Mwanza wamepewa mafunzo ya kuhamasisha jamii kupanda na kutunza miti ikiwa ni lengo kukabilian . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Uhuru na Kagame watoa rai kwa M23

Rais mtaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta na Rais wa Rwanda Paul Kagame wamekubaliana kuhusu haja waasi wa M23 kukomesha vita na kuondoka maen . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Mwanafunzi mkongwe zaidi duniani afariki

Mwanafunzi mkongwe zaidi duniani wa shule ya msingi, Priscilla Sitieni, ambaye hamu yake ya kupata elimu akiwa katika umri wa zaidi ya m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Ndugai achaguliwa kusimamia uchaguzi CCM Dodoma

Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma umemchagu la Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuwa mwenyekiti wa muda w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Hizi ndio nchi 5 ambazo wanawake 'hujioa'wenywewe

Karibu katika ulimwengu wa ndoa ya kibinafsi au "mpenzi mmoja", ambao umepata umaarufu katika miaka michache iliyopita.Ingawa ndoa ya kibina . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

LESENI YA UMILIKI WA SILAHA ZITATOLEWA KWA RAIA WALIOPATA MAFUNZO

CHAMA cha Uhifadhi na Uwindaji Tanzania (CHATA,) kimeiomba Serikali kutoa leseni za umiliki wa silaha kwa wanaopata mafunzo na kutunukiwa vy . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Rais aliyetawala kwa muda mrefu zaidi duniani awania muhula mwingine

Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Guinea ya Ikweta anatarajiwa kuendelea kuitawala nchi hiyo baada ya uchaguzi wa Jumapili. Obiang Ngue . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

WATANZANIA KUPEWA ELIMU YA FEDHA ITAKAYOWASAIDIA KUWA NA UCHUMI IMARA

Kamishna wa uendelezaji wa sekta ya fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Dr Charles Mwamwaja akizungumza na waandishi wa habari juu ya Ma . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Nape azuia mabadiliko ya bando

 Waziri wa habari na mawasiliano Nape Nnauye  ameyataka makampuni yanayotoa Huduma za mawasiliano kutoongeza gharama za bando am . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

Francis Atwoli Achaguliwa Naibu Rais wa ITUC kwa Mara ya Nne

Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU) Francis Atwoli amechaguliwa tena kwa mara ya nne nne kuwa Naibu wa Rais wa Shirikish . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

MWANAUME AOMBA ARUDISHIWE MAHARI YAKE

Baada ya kugundua  kuwa  mke wake siku ya harusi yake, bwana harusi amefutilia mbali mipango ya ndoa.Kijana huyo  aligundua k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 21, 2022

SADIO MANE AVUNJA UKIMYA

Hatimaye Sadio Mane amevunja kimya chake baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Read more: https://kiswah . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

FAHAMU KINACHOSABABISHA NGOZI INAYOIZUNGUKA MACHO KUWA NYEUSI

Tatizo la ngozi ya sehemu inayoizunguka  macho kubadilika rangi na kuwa nyeusi huwakosesha mabinti wengi usingizi.Hii ni shida ambayo h . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

Twitter yawafungia wafanyakazi nje kwa muda wa wiki moja

Twitter imewaambia wafanyakazi wake kwamba majengo ya ofisi ya kampuni hiyo yatafungwa kwa muda, na zoezi hilo kuanza mara moja.Katika ujumb . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

Wahukumiwa maisha kwa kuitungua ndege ya Malaysia-MH17 18

Mahakama nchini Uholanzi, Alhamisi, iliwatia hatiani wanaume watatu bila kuwepo mahakamani kwa mauaji ya halaiki kwa jukumu lao katika kuang . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

DRC yatumia ndege za kivita na vifaru dhidi ya waasi wa M23

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetuma jana ndege mbili za kivita ili kukabiliana na wanamgambo wa M23 wanaoendelea kusonga mbele katika e . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

Sheria za Tanzania ziwalinde wafanyabiashara.

Serikali imetakiwa sasa kuzitazama upya na kuzifanyia maboresho sheria za biashara na uwekezaji kufuatia sasa kufurika kwa wawekezaji wengi . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 18, 2022

KENYE YAKUBWA NA UKAME

Mamlaka ya Kudhibiti Ukame ya Kitaifa ya Kenya (NDMA) imesema katika chapisho lake jipya lkwamba idadi ya Wakenya wanaokabiliwa na uhaba mku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 17, 2022

Kiongozi wa kidini Uturuki ahukumiwa miaka 8,658 jela .

Adnan Oktar, aliongoza vipindi vya televisheni akionekana kuzungukwa na wanawake waliojipodoa sana na wakiwa wamevaa nguo ambazo hazikuwa zi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 17, 2022

Polisi waua majambazi watatu

Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia kutokana na kupigwa risasi na polisi usiku wa kuamkia jana, baada ya kutokea maj . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 17, 2022

Yule Diwani Aliyepotea kwa Miezi na Kupatikana Kwa Ashura Tabata Apotea Tena

Yule Diwani aliyepotea kwa Miezi mitatu na kupatikana kwenye nyumba ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Ashura Ally Matitu, mkazi wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

Rais Mwinyi afya uteuzi leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua Dk Sharifa Omar Salim kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamla . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

Ivory Coast kujiondoa kulinda amani Mali

Ivory Coast itaondoa taratibu vikosi vyake na polisi kutoka tume ya Umoja wa Mataifa inayolinda Amani katika taifa jirani la Mali.Kwa mujibu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

Trump atangaza kugombea urais uchaguzi wa 2024

Wakati kura zikiwa hazijamalizika kuhesabiwa za uchaguzi wa bunge wa katikati ya muhula wa Marekani wa 2022, rais wa zamani wa Marekani, Don . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

Madereva walevi wafungiwa leseni Arusha

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, katika kuhakikisha linakomesha matukio ya ajali kuelekea mwisho wa mwaka limeendelea kutoa elimu kwa maderev . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

POPO WAVAMIA KITUO CHA POLISI

Maafisa katika Kituo cha Polisi cha Maragua, Kaunti ya Murang'a wanaishi kwa hofu baada ya maelefu ya popo kuvamia kituo hicho. Maafisa . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

MWANZA YAKITHIRI KWA MATUKIO YA WIZI WA WATOTO

Kamanda wa polisi Mwanza  Wilbroad Mutafungwa ameeleza amefichua mbinu zinazotumiwa na wahalifu  ni kujenga ukaribu na w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 16, 2022

Msemaji wa Kremlin asema hana taarifa juu ya mlipuko nchini Poland

Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema jana kwamba hakuwa na taarifa kuhusu mlipuko uliotokea nchini Poland. Alipoulizwa swali na . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Messi atoa ahadi kwa timu ya Argentina

LIONEL Messi ametoa ahadi ya kuongoza Argentina kujituma maradufu katika makala ya 22 ya Kombe la Dunia mwaka huu 2022 na kutwaa ufalme.Komb . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Ten Hag hatamtaki Cristiano Ronaldo kwenye klabu ya Man U

Meneja wa timu ya Manchester United Eric Ten Hag amewambia mabosi wa klabu hiyo kuwa hamtaki ya Cristiano Ronaldo kwanye timu hiyo.Ten Hag a . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Atafuna nyama ya binadamu mbele ya polisi

Lazaro Adamson (40) mkazi wa Kaloleni wilayani Songwe, anashikiliwa na polisi mkoani Songwe kwa kumuua Berta Shugha (69), na kisha kuukata k . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Marekani yatangaza zawadi ya dola milioni 10 kwa atake kuwa na taarifa juu ya viongozi wa Al-Shabab

Marekani imesema itatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa yeyote ambaye atakuwa na taarifa kuhusu viongozi wakuu wa Al-Shabab, hatua iliyot . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Kocha wa Simba akutwa na dawa za kulevya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imewakamata watuhumiwa 9 wakiwa na dawa za kulevya aina ya heroin kg 34.89 ambap . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Biskuti za bangi zakamatwa Arusha

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, katika oparesheni zake, imekamata biskuti 50 za bangi jijini Arusha. Kamishna n . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Polisi Wamtia Mbaroni Mwanamume Aliyejidai Kuwa Mwanamke

Polisi Nchini Kenya wamemkamata kijana mwenye umri wa miaka  21 Jared Opiyo Nyatumba  kwa kuvaa mavazi ya kike na kutumia jin . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 14, 2022

BEN WILLIUM AREJEA NA ALBUM MPYA

Msanii wa muziki wa gospel wa jijini Mwanza Ben Willium afanya uzinduzi  wa album inayoitwa TESTIMONY.Msanii huyo kwenye album hii ames . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • November 14, 2022

Chama cha Biden chafanya vyema chaguzi za kati ya muhula

Chama cha Democratic kitadumisha udhibiti wa Bunge la Seneti nchini Amerika, baada ya kushinda kura muhimu katika jimbo la Nevada. Hapo jan . . .

Kurasa 190 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category