logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

KIPA SIMBA SC AINGIA ANGA ZA AZAM FC

Inaelezwa  kuwa Klabu ya Azam FC ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya.Mkataba wa kipa huyo a . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

AJALI YA GARI YAUWA WATU WATANO PAPO HAPO MIKUMI

Watu 5 wamefariki dunia papo papo Mikumi Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro katika ajali iliyohusisha gari ndogo maarufu kama "IT"  iliyok . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

Waasi wa M23 watuhumiwa kuwashikilia mateka raia

Waasi wa M23 huko mashariki mwa DRC wanawashikilia mateka raia wanaoshukiwa kushirikiana na wanamgambo adui, huku mapigano yakizuka licha ya . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

China yapeleka ndege 71 katika anga ya kijeshi ya Taiwan

Mamlaka ya kisiwa cha Taiwan imesema China ilipeleka ndege 71 za kivita katika eneo la ulinzi la kisiwa hicho katika muda wa saa 24 hadi jna . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

Alikiba avunja ukimya kwa Sallam Sk na Babu Tale

I think mmeshajulika kama nilazima mchokenolewe, Ndio mfunction ,ili jambo lenu liende . Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachokunoe . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

Arusha yashika nafasi ya 8 kwa maeneo yanayotrend zaidi duniani kwa utalii

Kwa mujibu wa jarida la Tripadvisor’ limetaja maeneo 10 duniani yaliyoingia klwenye trnding ya utalii. Yaani maeneo yanayotafutwa zaidi m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 27, 2022

Jiji la Dodoma Lazika Maiti 59 zilizokosa Ndugu

Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika ki . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Claudio Ranieri Arejea Italia Kuwa Kocha Wa Klabu Ya Cagliari Aliyowahi Kuinoa Zaidi Ya Miaka 30 Iliyopita

CLAUDIO Ranieri ameaajiriwa tena kuwa kocha wa Cagliari, zaidi ya miaka 30 tangu apokezwe mikoba ya kudhibiti kikosi hicho cha soka ya Itali . . .

Biashara
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Kilogramu 46 za bangi zakamatwa

Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma limekamata bangi magunia matatu yenye uzito wa kilogramu 46 na miche ya bangi iliyolimwa kwa kuchanganywa kwe . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Chebukati Asema Hajuti Anapoondoka Afisini Januari 17, 2023

MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amesema hajuti anapoondoka afisini baada ya kuhudumu kwa miaka sita.At . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

EPL Yarejea Hii Leo Baada ya Wiki Sita

Mechi za Ligi Kuu ya Uingereza maarufu kama EPL zinarejea hii leo baada ya likizo ya wiki sita na ratiba imeshona vya kutosha katika wiki ka . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Takwimu zaonyesha ongezeko la Uviko-19

Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonyesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5.Takwimu za . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Putin "Niko tayari kwa mashauriano juu ya vita vya Ukraine"

Rais wa Russia Vladimir Putin amesema Russia iko tayari kwa mashauriano juu ya vita vya Ukraine na ameilaumu Ukraine na washirika wake wa Ma . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • December 26, 2022

Mwandishi wa habari aliegoma kula kwa siku kadhaa nchini Senegal ahamishiwa hospitalini

Mwandishi wa habari maarufu na mkosoaji wa serikali ya Senegal ambaye amekuwa kwenye mgomo wa kula kupinga mashtaka dhidi yake amehamishiwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 23, 2022

Hanstone Amshutumu Diamond Platnumz Kumuibia Melody za Wimbo wake

Msanii wa bongo fleva hanstone ameibuka na madai ya kwamba Diamond Platnumz ameiba wimbo wake kwenye kazi yake mpya “CHITAKI” ambayo ame . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 23, 2022

Chanjo ya majaribio dhidi ya ebola kuanza kutolewa Uganda

Serikali ya Uganda imesema kwamba imepokea zaidi ya dozi 5,000 za chanjo ya majaribio dhidi ya virusi vya Ebola aina ya Sudan ambavyo vimesa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 23, 2022

Wanawake wa Afghanistan waandamana kupinga kuzuiwa kusoma vyuo vikuu

Wanawake chungunzima wameandamana nje ya chuo kikuu cha Kabul nchini Afghanistan jana Alhamisi, kupinga uamuzi wa kuwazuia wanawake kujiunga . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 23, 2022

Mwanafunzi ajinyonga kisa kukatazwa kujihusisha na mahusiano

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Masaki mkoani Pwani aitwaye Lasmin Kondo, amefariki dunia kwa kujinyonga mwenyewe . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Mtoto Mwenye wa Umri wa Miaka Mitano Atolewa Vyuma 52 Tumboni

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amenusurika kifo baada ya kumeza vyuma 52 kutoka kwenye kifaa cha kuchezea. Mvulana huyo alilazimika . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

TUKIO KUBWA LA KIHISTORIA Rais Dkt Samia akizindua ujazaji maji Bwawa la Nyerere

Leo Desemba 22, 2022 Tanzania inaandika historia katika safari kuelekea mapinduzi ya nishati ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiw . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Kikwete feki akamatwa

Jeshi la Polisi limemkamata, Joseph Mzava (19) mkazi wa Kinondoni Dar es Salaam, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo cha Biashara Dar es Sala . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Argentina Kuweka Picha ya Messi Kwenye Pesa ya Nchi Hiyo

Baada ya Lionel Messi kushinda Kombe la Dunia la FIFA huko Qatar, Benki Kuu ya Argentina inafikiria kuweka sura wa mchezaji huyo mashuhuri w . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Aliyekuwa Seneta wa Lamu Avamiwa, Kuporwa Akielekea Gestini Ngara

Aliyekuwa seneta wa Lamu Anwar Loitiptip anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na kuibiwa alipokuwa akielekea katika nyumba yake ya wageni . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Rwanda yaishutumu Kongo kwa kutengeneza mauaji yaliyofanywa na M23

Rwanda imeishutumu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa "kuyatengeneza" mauaji ambayo wachunguzi wa Umoja wa Mataifa walisema ya . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 22, 2022

Polisi Auawa Wapenzi Wake Wawili Aliokuwa Anatoka Nao Kisha na Yeye Kujiua

Polisi huyo wa S.Africa aliyewaua kwa kuwapiga risasi wanawake hao wawili aliokuwa nao katika mahusiano kwa wakati mmoja na yeye amekutwa am . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 21, 2022

Taliban yawazuia wanawake kujiunga na elimu ya chuo kikuu nchini Afghanistan

Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umechukua uamuzi jana wa kuwazuia wanawake kote nchini humo kujiunga na vyuo vikuu. Serikali hiyo yeny . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • December 21, 2022

Mshukiwa mkuu wa kisa cha mtoto kung’olewa macho awekwa rumande

Bi Pacificah Nyakerario, 60, alikamatwa na maafisa wa upelelezi Jumatatu usiku katika maficho yake jijini Nairobi, na kusafirishwa kurud . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 21, 2022

WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA VYA WIZARA YAKE, JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, azungumza na Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake katika kikao kazi kil . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 21, 2022

Umati wa mashabiki wa Argentina wakusanyika Buenos Aires kukaribisha washindi wa kombe la Dunia

Maelfu ya wakazi wa Argentina Jumanne wamemiminika kwenye barabara za mji mkuu wa Buenos Aires, ili kuishangilia timu yao iliyochukua kombe . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 21, 2022

Ronaldo Kujiunga na Klabu ya Saudia ya Al Nassr Mwishoni mwa Mwaka

Klabu ya Saudi Arabia ya Al Nassr inatarajia kupata saini ya mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo mwishoni mwa mwaka huu. Mchezaji h . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • December 21, 2022

Musk asema taachia ngazi kama mkurugenzi mkuu wa Twitter

Mkurugenzi mkuu wa Twitter Elon Musk amesema atajiuzulu nafasi hiyo baada ya kumpata mrithi kufuatia kura ya maoni aliyoianzisha iliyoonyesh . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

RASMI KOCHA COASTAL UNION AONDOKA

RASMI uongozi wa Coastal Union umetangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Yusuf Chipo ambaye alikuwa ni kocha mkuu wa timu hiyo.Ta . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Ufaransa yaishtumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M 23

Nchi ya Ufaransa, imeishtumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa M 23 wanaodaiwa kutekeleza mauaji ya raia 131 katika kijiji cha Kishishe, mw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Watu wenye bunduki waua raia wanane karibu na Baghdad

Watu wenye bunduki wamewaua takriban raia 8 huku wengine 7 wakijeruhiwa katika jimbo la kaskazini mwa Iraq la Diyala, kulingana na ripoti ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

RIDHIWANI"SERIKALI INAENDELEA KUVALIA NJUGA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI ILI KULINDA AMANI"

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais dkt.Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia utatuzi wa migogoro mbalimbali ya ardhi ili kulinda Ama . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Wabunge wa Ubelgiji washindwa kuafikiana namna ya kuomba msamaha dhidi y audhalimu wa kikoloni

Wabunge nchini Ubelgiji wameshindwa kuafikiana namna bora ya kupata maridhiano dhidi ya udhalimu wa enzi ya ukoloni baada ya Uholanzi kuomba . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Apigwa na radi akichunga mbuzi

Calista Haule (15) mkazi wa kijiji cha Lifua kata ya Luilo wilayani Ludewa mkoani Njombe amefariki baada ya kupigwa na radi wakati akiwafung . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 20, 2022

Benzema atangaza kustaafu mpira

Karim Benzema ametangaza kustaafu soka la kimataifa, siku moja baada ya Ufaransa kushindwa na Argentina katika fainali ya Kombe la Dunia 202 . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Mkeka wa Drake wachanika

Rapper Drake ameliwa kiasi cha dola za kimarekani milioni moja katika mchezo wa betting baada ya kuipa ushindi Argentina kuifunga Ufaransa n . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Watano wafariki kwa kuangukiwa na ghorofa

Watu watano wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ghorofa katika kijiji cha Sembeti, Marangu, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.Mkuu wa . . .

Kurasa 185 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category