ambalo limeshuhudia mamia ya watu wakifariki katika ajali za ndege katika miongo ya hivi karibuni.Kwa miaka mingi, sababu kadhaa zimelaumiwa . . .
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock, amependekeza kubuniwa kwa mahakama maalum ya kimataifa ili kuwashitaki viongozi wa Ur . . .
Takriban wanawake 50 wametekwa nchini Burkina Faso na wenye msimamo mkali wa Islamic State katika eneo la Sahel, kaskazini mwa Burkina Faso . . .
Mahakama ya wilaya ya Tabora imemuhukumu mkazi wa Kidatu “B” kata ya Mtendeni Mkoani Tabora Husseni Mashibu (32) kifungo cha . . .
Washukiwa wanajihadi wamewateka takriban wamawake 50 katika eneo lililoharibiwa na uasi kaskazini mwa Burkina Faso.Takriban 40 walikam . . .
Washambuliaji wasiojulikana wamechoma moto makaazi ya mhubiri wa kanisa Katoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria.Wakati wa shambulizi hilo, . . .
Mlinda Lango Metacha Mnata amewaomba radhi Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Young Africans, baada ya kusajiliwa kwa mkopo klabuni hapo.Met . . .
Watu 67 wamekufa leo baada ya ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 72 kuanguka kwenye korongo wakati ikitua katika uwanja mpya wa ndege uliofu . . .
Polisi wa Somalia wamesema kwamba watu wanane wameuawa katika shambulio la bomu kando ya barabara, huko Buloburde, mji ulipo katika wilaya y . . .
Ndege ya abiria ya Kampuni ya Yeti Airlines iliyobeba jumla ya Watu 72 imeanguka leo katika Mji wa Pokhara karibu na uwanja wa ndege wa Mji . . .
Wanafunzi kadhaa walilazwa hospitalini Jumatatu, Januari 9, alasiri baada ya kula chakula chao cha mchana uliotolewa na serikali. Wanaf . . .
Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amesema jana kwamba wafuasi wa mtangulizi wake Jair Bolsonaro waliovamia majengo ya serikali huenda . . .
UONGOZI wa Yanga, umeweka bayana kuwa, wapo tayari kumuuza kiungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na mchezaji mwingine yeyote kwenye timu h . . .
"Siku ya Mapinduzi Karume alikuwapo hapa Zanzibar. Lakini hakuniambia hata mimi kuwa kuna mapinduzi siku hiyo. Ililia risasi ya kwanza na ya . . .
Kocha Graham Potter anadai kuwa ana kibarua kigumu zaidi katika taaluma yake ya soka huku mazimwi ya majeraha ikivamia klabu ya Chelsea.&nbs . . .
Wanajeshi 14 wa Mali wameuwawa na wengine 11 wamejeruhiwa katika mashambulzii mawili tofauti yaliyotokea katikati mwa nchi hiyo baada ya mag . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya, linamshikilia Joyce Matingo (26), mkazi wa Unyamwanga wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumuua mto . . .
Mdau wa michezo hajismanara ametoa ya moyoni juu ya kuachana na aliyekuwa Mke wake mdogo rushaynah.Haji amekiri kuachana na Rushayna na amew . . .
Nyota wa zamani wa Chipolopolo, Philemon Mulala ameuawa na mbwa wake watatu nyumbani kwake Lichtenburg, Afrika Kusini. Mulala aliumwa n . . .
Serikali ya Zimbabwe imepitisha mswaada wa sheria Jumanne Januari 10 inayopiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na wafanyakazi wa af . . .
Rais mpya wa Peru Dina Boluarte na mawaziri kadhaa wa nchi hiyo wanachunguzwa kutokana na mapigano ya wiki kadhaa ambayo yamesababisha vifo . . .
Kocha Mkuu mpya, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ jana kimeanza mazoezi huko Dubai Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa Ligi Kuu . . .
Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema nchi hiyo haiwezi tena kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia ghasia katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. . . .
Tume ya uchaguzi nchini Nigeria Jumatatu imesema uchaguzi mkuu wa mwishoni mwa mwezi Februari unaweza kufutwa au kuahirishwa ikiwa ukosefu w . . .
Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema baada ya kutoa rukhsa ya mikutano ya hadhara huenda wapo ambao watakuja na kasi ya malumbano hivyo amewaomb . . .
Mstaafu, Prof. Florens Luoga alipowasili kwa mara ya kwanza Makao Makuu ya BoT jijiji Dodoma Januari 9, 2023 ikiwa ni saa chache baada ya Ku . . .
IDARA ya haki ya Marekani inachunguza nyaraka za siri zinazodaiwa kupatikana katika ofisi ya zamani ya Rais Joe Biden, Ikulu ya Marekani ina . . .
Polisi wa nchini Brazil imeisambaratisha kambi ya waandamanaji nje ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo siku moja baada ya wafuasi wa . . .
Jeshi la Urusi limedai kufanya mashambulizi ya angani katika kambi ya kijeshi inayotumiwa na majeshi ya Ukraine kama hatua ya kulipiza kisas . . .
Mtoto mwenye umri wa miaka sita, anashikiliwa na polisi baada ya kumpiga risasi mwalimu wake katika jimbo la Virginia nchini Marekani. . . .
SINGIDA Big Stars wana jambo lao ndani ya Kombe la Mapinduzi kutokana na kasi yao mbele za vigogo wanaokutana nao.Inakuwa timu ya kwanza kwe . . .
Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskyy amepongeza msaada wa silaha kutoka Marekani, unaojumuisha magari yenye uwezo wa kurusha makombora ya kuha . . .
Klabu ya Arsenal imefunguliwa mashtaka na Shirikisho la Soka nchini Uingereza (FA) kuhusu mwenendo wa wachezaji wake katika mechi yao ya Lig . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Tutuba aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania . . .
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliteleza kwenye maelezo wakati akizingumza kuhusu suala la kutetea ubingwa wa timu hiyo.Kweny . . .
Wanajeshi 46 wa Ivory Coast ambao kuzuiliwa kwao na Mali kulizua mzozo wa kidiplomasia walifikishwa katika mahakama ya rufaa mjini Bamako, A . . .
Japan na Marekani zitafanya mkutano kuhusu usalama kati ya mawaziri wa kigeni na ulinzi mjini Washington, siku moja kabla ya Waziri Mkuu Fum . . .
Amefunguka juu ya kuondoka kwa wasanii kwenye Lebo ya Konde Gang ikiwa ni pamoja na "machawa'Meneja wa Harmonize ambaye pia ni CEO wa Jembe . . .
Meneja wa mwanamuziki mkubwa nchini Tanzania Harmonize, Jembe ni Jembe ameulizwa na mtangazaji Natty E, wa Jembe Fm kupitia kipindi cha Hit . . .
Michael Haight mwenye umri wa miaka 42 nchini Marekani amemuua mke wake, mama mkwe na watoto wake 5 na yeye kujiua baada ya mke . . .