Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria Burna Boy ametajwa kumpa Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Zaidi ya Milioni 4 kwa ajili ya kwenda kurekeb . . .
MIONGONI mwa taarifa ambazo zilikuwa na sarakasi nyingi ni pamoja usajili wa nyota Mohamed Issa Banka kuibuka ndani ya Ruvu Shooting na . . .
Uhamisho wa Jokate kutolewa Temeke kupelekwa wilayani Korogwe mkoani Tanga, umefanywa hii leo Januari 25, 2023, na Rais wa Jamhuri ya Mu . . .
Kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz inaanza kesho. Itakuwa ni tukio la nadra kiongozi wa zamani . . .
Polisi nchini Pakistan imesema mshirika wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Imran Khan amekamatwa kwa makosa ya kuwakashifu maafisa wa . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya Mwalimu aliyeonekana katika picha . . .
Siku ya leo Mke wa Dr. Mwaka ameenda Bakwata kutaka Talaka yake, akiongea na wana habari ameeleza kuwa ameachana na Dr.Mwaka tangu mwezi wa . . .
aziri wa Mambo ya Nje Dkt. Stergomena Tax, amesema Mtanzania aliyefariki dunia nchini Urusi Nemes Tarimo, alikuwepo nchini humo kwa ajili ya . . .
Vijana Mkoani Mwanza, wamebuni mradi wa mabegi yanayokusanya nishati ya jua, ili kuwasaidia wanafunzi waishio vijijini kujisomea nyakati za . . .
Kiongozi Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amewataka Wakenya kususia kulipa kodi ambayo imeongezeka maradufu tangu kuingia kwa utawa . . .
Buenos AiresBrazil na Argentina wako katika mazungumzo ya awali ya kuanzisha sarafu moja watakayoitumia ili kupunguza kuitegemea dola ya Mar . . .
Mwanamume mmoja anadaiwa kupoteza nyeti zake kufuatia kichapo cha mbwa alichopokezwa katika maandamano ya kupinga mageuzi ya pensheni nchini . . .
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa Tanzania inaunga mkono mpango ulioanzishwa na Shirika la Fedha la Kima . . .
Burkina Faso imeiomba Ufaransa kuondoa wanajeshi wake nchini humo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja, kulingana na barua ya mamlaka kwa Paris. . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov anafanya ziara ya kwanza nje ya nchi tangu Urusi ilipoivamia Ukraine. ikiwa ni sehemu ya . . .
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, na kufanikiwa kupata bunduki moja ain . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema Ujerumani haitoizuia Poland iwapo inataka kupeleka vifaru chapa Leopard 2 nchi . . .
Mhe Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mcheza Filamu Maarufu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Um . . .
Serikali imesema inafuatilia suala la vitabu vya shule vinavyodaiwa kuwa na maudhui ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa watoto na kuto . . .
Wachunguzi wanaamini uvamizi wa wiki iliyopita kwa watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi nchini Burkina Faso, ulisababisha kutekwa kwa takriban . . .
Serekali ya kaskazini mwa Pakistani, Alhamisi imesema wanamgambo wamefanya shambulizi la bunduki na bomu kwenye kituo cha polisi, na k . . .
Mkuu wa Benki Kuu ya Ulaya Christine Lagarde amesema, uchumi wa kanda ya Ulaya utakuwa bora zaidi mwaka huu kinyume na ilivyohofiwa awali. L . . .
Watu zaidi ya 5000 wameomba nafasi ya kazi katika jeshi la polisi kamisheni ya Zanzibar, huku kamisheni hiyo ikihitaji kuajiri watu chini ya . . .
Mamia ya wakimbizi wanakimbilia usalama nchini India, huku jeshi la Myanmar, likizidisha mashambulizi ya anga katika jimbo la kaskazini magh . . .
BONDIA wa Ngumi Ismail Galiatano, anatarajia kupanda ulingoni dhidi ya Asanda Gingqi raia wa Afrika Kusini katika pambano la Kili Boxing Tou . . .
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho amewaambia wachezaji wake ni kucheza kwa umakini kila mechi.Timu hiyo imek . . .
Msanii na mfanyabiashara Shilole amemwaga machozi akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuvunjiwa eneo lake la biashara la 'Shishi Food' . . .
Rais wa Gambia Adama Barrow ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Rais Badara Alieu Joof akiwa na umri wa miaka 66. . . .
MWEKEZAJI aliyetaka kujenga shule ya sekondari katika moja ya kijiji wilayani Mkalama mkoani Singida anadaiwa kufanya utapeli baada ya . . .
Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern, ametangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo ifikapo tarehe saba mwezi ujao.Kwenye taarifa yake iliyota . . .
Sabina Barma (28) mwenye watoto watano ameuawa kwa kuchomwa shingoni kwa kitu Chenye ncha Kali na mtu anayetajwa kuwa ni mumewe.Marehemu ame . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Mradi wa kuimarisha Afya, Ustawi . . .
Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini. Hakuwa na msim . . .
Helikopta ya jeshi la polisi la Ukraine imeanguka karibu ya shule ya chekechea na jengo la makaazi ya watu katika mji wa Brovary ulio nje ki . . .
Mwanajeshi mmoja anauguza jeraha hospitalini baada ya kupigwa risasi mkononi na mwanaume anayeshukiwa kuwa jambazi kuwa kumuuliza kwa nini a . . .
Wanaume wa umri wa kadri ambao hushikwa na wasiwasi mwingi wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kiharusi na kisukari, utafiti umeba . . .
Timu ya Wanasheria wa Kanye West wamepanga kutumia njia ya Gazeti kumfikishia taarifa rapa huyo kuwa wamemtema rasmi na hawatamuwakilisha te . . .
Afisa mmoja wa polisi nchini Uingereza ameungama kutumia cheo chake kutekeleza makosa 71 ya ubakaji dhidi ya wanawake 12 .David Carrick, mwe . . .
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nchini wakiwemo wenyeviti wa bodi na Makamishna kadhaa.Rais . . .
Kocha Mkuu wa Mabingwa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohammed Nabi ni kama amewakataa viungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ na B . . .