logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2023

Mahasimu Wanalenga Kunizuia Kuwania Urais – Trump

AIS wa zamani wa Amerika, Donald Trump, amejitetea akidai kuwa hatua ya kumshtaki inalenga kuhujumu azma yake ya kuwania kiti cha urais mwak . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2023

RAIS DKT.SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:-Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 5, 2023

Wanafunzi 20 wa kike wapelekwa hospitali baada ya kupewa sumu Iran

Chombo cha habari cha serikali  ya Iran kimesema kwamba wasichana 20 wa shule wamelazwa hospitali Jumanne, ikiwa tukio la karibuni la w . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 5, 2023

Muuguzi afariki akijaribu kufanya upasuaji kupunguza tumbo lake.

Moja ya habari iliyokamata headlines wiki hii ni ripoti iliyoandikwa kupitia jarida la The New York Post, kuripoti kuwepo kwa muuguzi mmoja . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 5, 2023

Akata nyeti zake baada ya kutengwa na familia

Anselum Sebuka mwenye umri wa miaka 42 mkazi wa Kijiji na kata ya Namagondo wilayani Ukerewe mkoani Mwanza amekutwa ndani ya chumba chake ak . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 4, 2023

SHADA LA MAUA LA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI LAVUTIA WENGI MAKUMBUSHO YA TAIFA.

Shada la Mauwa aliloweka Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris kwenye onesho maalum la kuwakumbuka wahanga wa Bomu la Ubalozi wa Ma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 4, 2023

Mataifa ya Uarabuni yaungana na China kwenye uzalishaji wa Mafuta

Ikiwa ni hatua ya kuidhibiti Marekani na Ulaya kweye mchakato wa uuzaji na uzalishaji wa mafuta, Urusi imefanikiwa kuzishawishi nchi wazalis . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 4, 2023

Apewa Figo na Dereva Uber Bure, Walikuwa Hata Hawajuani

Mwanaume mmoja kutokea Jimbo la New Jersey Nchini Marekani ambaye alikuwa anahitaji sana figo amepewa zawadi ya maisha baada ya Dereva wa Ub . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 4, 2023

Timu ambazo Yanga atakutana nazo Robo fainali kombe la shirikisho hizi hapa

Baada ya Yanga kuizamisha TP Mazembe kwenye dimba lao la nyumbani huko DR Congo kwa kuwachapa bao 1-0, US Monastir walipaswa kushinda angala . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 4, 2023

Israel yaongeza shambulizi lingine Damascus

Shambulizi la anga la Israel  limeulenga  mji mkuu wa Syria,Damascus mapema  Jumanne kulingana na ripoti ya chombo cha habari . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 4, 2023

Sierra Leone yapiga marufuku mikutano ya siasa ya barabarani

Serikali ya Sieraa Leone Jumatatu imetangaza kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya mitaani ambayo kwa muda mrefu imetumika kwenye kampeni z . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 3, 2023

Huyu ndio mshindi wa Big Brother Titans ‘Khosi Twala’

Mwanadada Khosi Twala (25) kutoka Afrika Kusini ameibuka mshindi wa shindano la Big Brother Titans siku ya jana katika shindano lililojumuis . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 3, 2023

Wanafunzi Wawili Waaga Dunia chanzo ikiwa ni mlipuko wa magonjwa

Wanafunzi wawili wameaga dunia katika shule ya upili ya wasichana ya Mukumu katika Kaunti ya Kakamega Nchini Kenya kufuatia mlipuko wa ugonj . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 3, 2023

Watakaotumia Kiingereza Katika Mawasiliano Kupigwa Faini Italy

Serikali ya Italia yapania kuanzisha sheria ya kuwatoza faini raia wake watakaotumia maneno ya Kiingereza au lugha nyingine yoyote ya kigeni . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 3, 2023

Watu 19 wafariki katika maporomoko ya ardhi mashariki mwa DRC

Maporomoko ya ardhi yameua watu 19 Jana Jumapili mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa eneo hilo wamesema.Maafa hayo ya . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 3, 2023

Maelfu waugua kipindupindu Msumbiji kutokana na mafuriko yaliosababishwa na kimbunga Freddy

Wiki kadhaa baada ya kimbunga Freddy kugonga Msumbiji kwa mara ya pili, taifa hilo ambalo bado limefurika, linashuhudia ongezeko kubwa la ma . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 3, 2023

Kocha wa Chelsea Atimuliwa

Klabu ya Chelsea imemtimua Kocha wake Graham Potter baada ya muendelezo wa matokeo mabovu ya klabu hiyo huku jana Jumamosi akipokea kichapo . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 2, 2023

Jumla ya maduka 21 kati ya 110 yanayomilikiwa na wafanyabiashara mbalimbali ambayo ni mali ya jumuiya ya Wanawake wa chama cha mapinduzi (CCM UWT) Wilaya ya Njombe yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kutokana na mali kuungua

Moto huo umetokea majira ya saa tatu usiku wa Aprili 1 mwaka huu ambapo Mkaguzi Loti Madauda kwa niaba ya Kaimu Kamanda wa  jeshi la zi . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 2, 2023

Kifo mikononi mwa Polisi: IGP apeleka timu Chato

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Camillus Wambura, ametuma timu ya Maafisa kutoka Polisi Makao Makuu Dodoma kwenda Kata ya Mganza, Wilaya ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi Ameachia Album yake

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi ameachia Album yake mpya ya #TIMELESS baada ya kukaa kimya kwa muda, ndani ya Album hiyo y . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Serikali kununua JENERETA Uwanja wa Mkapa

Serikali imehaidi kufanya Maboresho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwemo kununua jenereta mbili kubwa ambazo zitatumika wakati umeme utak . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Ajali basi la Chuo Pwani: Dereva alilalamikia ubovu wa breki

Katibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Pwani – PUSA, Kelvin Nyambura amewataka Wanafunzi na Wazazi kuwa watulivu akisema vifo hivyo vimewagusa watu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Ukraine yaadhimisha mwaka mmoja tangu kukombolewa Bucha

Waukraine leo wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kukombolewa kwa mji wa Bucha uliokuwa umekaliwa na majeshi ya Urusi.Rais Volodymyr Zelenskiy a . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Watu waandamana Senegal dhidi ya kesi dhidi ya kiongozi wa upinzani inaendelea

Darzeni ya waandamanaji wamekamatwa na polisi katika mji mkuu wa Dakar nchini Senegal, wafuasi wa upinzani wakishutumu mashtaka dhidi ya kio . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Bunge la Uturuki laidhinisha mswaada unaoiruhusu Finland kujiunga na NATO

Bunge la Uturuki Alhamisi limeidhinisha mswaada wa sheria ili kuiruhusu Finland kujiunga na NATO, na hivyo kuondoa pingamizi zote kwa Helsin . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Dada Wawili Wapiga na Kuua Kaka Yao Kisa Chakula

Polisi eneo la Webuye Mashariki katika Kaunti ya Bungoma wanachunguza kisa ambapo wanawake wawili wanakisiwa kumuua kaka yao katika mzozo wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 31, 2023

Kamala kuhitimisha ziara nchini, kuelekea Zambia

Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris hii leo Machi 31, 2023 anakamilisha ziara yake ya kikazi nchini hapa ambapo anatarajia kuelekea Za . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Mwana FA" Vipengele vya kipuuzi, vya kinyonyaji viondoke, sitaki kusikia"

Naibu Waziri wa Sanaa Hamis Mwijuma maarufu kama mwanaFA amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa basata.Tanzania kusimamia kikamilifu mikataba ka . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Wanafurahia habari zangu mbaya kuliko nzuri- Hassan Mwakinyo

Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo amesema kuwa kuna watu wanaamini wao wanajua zaidi kuliko waliyopo kwenye tasnia ya Ngumi yenyewe huku aki . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

WATU SITA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI

WATU sita wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya mauaji ya watu, kufukua makaburi wilayani M . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

WAZIRI BASHUNGWA AZINDUA BODI YA SHIRIKA LA MZINGA

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Makamu wa Rais wa Marekani ziarani Tanzania

Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris ameanza rasmi ziara yake ya nchini Tanzania ambapo hii leo anatarajiwa kufanya mikutano na viongozi . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Wanawake Waliozaa na wakandarasi Wa China Haya Ndio Yanayowakuta Wanawake Hao

Kwa zaidi ya muongo uliopita, Wachina wamekuwa wakifurika mijini na vijijini barani Afrika kujenga barabara, mabwawa, madaraja na miundombin . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Mfadhili wa Mbegu za Kiume Aliyezaa Watoto 550 Kote Duniani, Ashtakiwa kwa Kuzaa Sana

Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya na ambaye ni mfadhili mkubwa wa mbegu za kiume aliyezaa takriban watoto 550 duniani . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Papa Francis alazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu

Kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Francis alilazwa hospitali Jumatano kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya ku . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • March 30, 2023

Aiba mtoto na akamdanganye mume wake

Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani Happyness William mwenye umri wa miaka 18 mkazi w . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 28, 2023

Maandamano Yataendelea Alhamisi Mapema Asubuhi

Kiongozi wa Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga amesisitiza kuwa safari yake ya kwenda Ikulu haiwezi kuzimwa. Kupitia ki . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2023

Wizi wa alama za barabarani wakithiri Shinyanga

Wizi wa alama za barabarani mkoani Shinyanga ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara umetajwa kuchangia uharibifu mkubwa wa mindombinu hiyo pam . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • March 28, 2023

Amuua mumewe kwa kumkata sehemu za siri

Polisi mjini Kampala nchini Uganda wanamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Joy Biira kwa tuhuma za kumkata mumewe sehemu za s . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • March 28, 2023

Diwani afukia kisima kilichochimbwa na wananchi

Wakazi wa kitongoji cha Nyangalamila B kata ya Irenza Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wamemkataa diwani wa kata yao . . .

Kurasa 174 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category