logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
ukraine
  • Na Asha Business
  • May 5, 2023

Tuhuma za siri kwa Urusi kuhusu Ukraine

Mashirika ya kijasusi ya Ukraine yaliripoti wiki hii kwamba yalifichua mpango wa kusafirisha injini za ndege ya kijeshi ya An-74 kutoka Ukra . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 5, 2023

Historia kuandikwa soka la Saudi Arabia

Serikali ya Saudi Arabia imeandaa ofa kubwa zaidi katika historia ya soka la nchi hiyo ili kumnasa Nahodha na Mshambuliaji wa Mabingwa wa Du . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 5, 2023

Hatimaye Afrika yajitosa kwenye tasnia ya anga

Baada ya miongo kadhaa kutoshiriki kwa nchi za Kiafrika, sasa zinajitosa katika tasnia ya anga, zikitumaini kupata mafanikio katika kilimo, . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 5, 2023

Azam FC yaahidiwa Mamilioni Nusu Fainali ASFC

Uongozi wa Azam FC umetangaza donge nono kwa Wachezaji wanaounda kikosi cha klabu hiyo, endapo watafanikiwa kuifunga Simba SC na kutonga Fai . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 5, 2023

Ambaka mtoto kwa kumpa ubuyu na 100

Mzee Katembo Mnubi maarufu kama Wajanga mwenye umri wa miaka 81, amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Musoma kwa kosa la kumbaka mtoto w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2023

Shambulizi la kumuua Putin lakwama

Picha ya vidio inayoonyesha droni ikilipuka juu ya Kremlin katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Ukraine dhidi ya Rais wa Urusi imesambaz . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2023

Ali Kamwe, Mobeto wadaiwa wapenzi

Inadaiwa kuwa Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe na Mrembo Hamisa Mobeto wapo kwenye penzi la moto, hii imekuja baada ya wawili ha . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2023

Rais Biden apongeza uteuzi wake wa rais wa Benki ya Dunia

Rais wa Marekani, Joe Biden, amempongeza kiongozi mpya wa benki ya dunia kuwa ni kiongozi mwanamageuzi ambaye atajumuisha mabadiliko ya hali . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 4, 2023

Upinzani nchini Kenya wasitisha maandamano

Upinzani nchini Kenya Jumatano ulitangaza kwamba umesitisha duru nyingine ya maandamano yaliyopangwa dhidi ya serikali katika kile kinachoon . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 4, 2023

Polisi Mwanza waanza msako wa vibaka

Jeshi la polisi mkoani Mwanza limetangaza doria maalum ya kuwakamata na kuwaondoa katikati ya jiji hilo pamoja na kwenye vituo vya daladala . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 4, 2023

Sadio Mane kurudishwa Ligi Kuu ya England

Meneja mtarajiwa wa Kikosi cha Chelsea, Mauricio Pochettino ameripotiwa kupitisha mpango wa usajili wa mshambuliaji wa FC Bayern Munich ya U . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 4, 2023

Mabasi Yaruhusiwa Kuanza Safari Saa Tisa za Usiku

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeruhusu Mabasi ya Mikoani yaanze safari saa tisa usiku ambapo imeagiza Wamiliki wa Mabasi wana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Sudan kusitisha vita kwa siku saba.

Mzozo uliolipuka Aprili 15 huko Sudan umesababisha vifo vya mamia ya watu na kuwalazimisha wengine zaidi ya 100,000 kuhamia nchi nyingine. M . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Mwanajeshi aliyemuuwa Waziri wa kazi atambuliwa

Mwanajeshi wa Uganda aliyempiga risasi na kumuua Waziri wa Leba, Ajira na Mahusiano ya Viwanda nchini Uganda, Kanali mstaafu Charles Okello . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Ethiopia na Kenya zabanwa kuhusu haki za binadamu

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atazitembelea Ethiopia na Kenya baadaye wiki hii kwa ziara itakayogusia masuala ya Haki za Binadamu na kuta . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Arsenal Warejea Kileleni Mwa Jedwali La EPL

ARSENAL walirejea kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Jumanne usiku baada ya kupepeta Chelsea 3-1 ugani Emirates.Matok . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Spika Tulia aomba jimbo lake ligawanywe

Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Maporomoko ya udongo na mafuriko yasababisha maafa

Watu zaidi ya 60 wamethibitishwa kufariki Nchi Uganda  kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa katika eneo la magharibi mwa tai . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Jamaa Afuta Harusi Yake Baada ya Mchumba Wake Kumpelekea 'EX' Wake

Mwanamke mmoja raia wa Nigeria amejawa na machozi baada ya mchumba wake kufuta harusi yao. Mrembo huyo alianika suala hilo kwenye kundi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini duniani kote, asema katibu mkuu wa UN

Uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini katika kila kona ya dunia, katibu mkuu wa Umoja wa mataifa alisema Jumanne, akilaani mashambulizi dh . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Mayele Achukua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa Mwezi Aprili

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwezi Aprili.Mayele ameshinda tuzi hizo zinazotolewa na j . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

ED-SHEERAN AMETANGAZA KUACHA MUZIKI

Mwanamziki Ed Sheeran ametangaza nia yake ya kuacha kufanya muziki kama atakutwa na hatia katika kesi ya hakimiliki inayomkabili hivi sasa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 3, 2023

Man City yashtuka , yamwita mezani Haaland

Mabingwa wa Soka nchini England wameripotiwa kuanzisha mazungumzo na Mshambuliaji kutoka Norway Erling Braut Haaland kwa ajili ya kumsainish . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 2, 2023

Achraf Hakimi achafua hali ya hewa PSG

Adhabu ya Kadi Nyekundu iliyomuangukia Beki wa Kulia wa Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi wakati wa mchezo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 2, 2023

Rais Samia awapa ujumbe watahiniwa kidato cha sita

Wanafunzi wakifanya mtihaniRAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka kheri watahiniwa wa mtihani wa kumaliza kidato cha sita, huku akiwaahidi kwam . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 2, 2023

Tanzania yatwaa Medali michuano ya Afrika

Tanzania imefanikiwa kupata medali ya fedha kwenye mchezo wa kurusha Mkuki  kwenye mashindano ya Afrika ya vijana yanayofanyika kwenye . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 1, 2023

Jeshi la Polisi lamnasa aliyechoma Msikiti

Mtu mmoja, Jackie Rahm Little  (36), anashikiliwa na Polisi wa Minneapolis nchini Marekani, akishukiwa kuwasha moto ulioharibu msikiti . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2023

Rais Samia aahidi neema kwa wafanyakazi nchini

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali imejiandaa kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi nchini ikiwa ni pamoja na kuwapa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2023

TUCTA yamtwisha zigo Rais Samia

Katika kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Mosi), Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limezitaja hoja ambazo wanatarajia kuz . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2023

China yadaiwa kumwachilia aliyefichua hali ya janga la COVID-19

Mamlaka za China, Jumapili zilikuwa zinaanda kumuachilia mtu ambaye alitoweka miaka mitatu iliyopita baada ya kutoa video za hospitali ziliz . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • May 1, 2023

Russia yaweka kanuni kali koboresha nidhamu ya vikosi vyake Ukraine

Russia imeanzisha hatua kali sana ili kuboresha nidhamu kwa vikosi vyake nchini Ukraine, kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Uingereza.Hatua h . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 1, 2023

Meja Jenerali Nyagaya kujiuzulu

Jumuiya ya Afrika Mashariki – EAC, inasema barua ya kujiuzulu  ya Kamanda wa kikosi cha Jeshi cha Jumuiya hiyo, Meja Jenerali Jeff Ny . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 30, 2023

Mtoto aliyefariki akutwa akiwa hai

Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 30, 2023

Harmonize msanii bora wa kiume wa mwaka

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.Tuz . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 30, 2023

TMAAwards2022: Kontawa msanii bora chipukizi

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.Msa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Iran yaikamata meli kutoka visiwa vya Marshall.

Iran hii leo imeikamata meli ya mafuta yenye bendera ya visiwa vya Marshall katika eneo la maji ya kimataifa kwenye Ghuba ya Oman.Iran imeik . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Nyumba 50 zajaa maji Magomeni

Zaidi ya nyumba 50 zimeingia maji katika eneo la Bondeni lililopo Magomeni Makanya kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar e . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

UTATA WAIBUKA BAADA YA BONDIA WA DODOMA KUFARIKI

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Ibrahim Najum kutoka Mbeya amefariki juzi mchana katika hospitali ya rufaa ya Dodoma alipokuwa akipatiwa m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Ulega"Tutauza tani elfu 50 za nyama nje ya nchi"

Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeiwezesha Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kiasi cha shilingi bilioni 4.65 kwa aj . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 28, 2023

Rais Hichilema aagiza kuuzwa kwa magari yaliyonunuliwa kabla hajaingia madarakani

 Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amemuagiza Katibu wa baraza la mawaziri Patrick Kangwa kuhakikisha kuwa magari yote ya kifahari yali . . .

Kurasa 170 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category