Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake, Urusi na Marekani zimekubaliana kuwa na mazungumzo ya pande tatu mwezi Novemba mwaka . . .
Serikali imeendelea kuwapa kipaumbele wanafunzi wenye ulemavu kwa kuhakikisha wanashirikiana na wanafunzi wengine katika kuimarisha uadilifu . . .
Viongozi wa Canada na EU wanakutana mjini Montreal kujadili ushirikiano katika ulinzi, akili mnemba na madini muhimu. Mkutano huo unafanyika . . .
Maafisa wa ngazi ya juu wa Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan watarajiwa kukutana na viongozi wa Iran jijini Tehran siku ya Jumatatu katika j . . .
Ajali nyingine mbaya imeikumba barabara ya Nairobi-Mombasa nchini Kenya, ambapo watu 24 wamepoteza maisha na Rais William Ruto kuagiza ukagu . . .
MSHAMBULIAJI wa Atlético Madrid, Julián Álvarez, ameomba radhi kwa mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kauli zake za kutaka kuondoka na k . . .
KOCHA Manqoba Mngqithi ameingia kwenye orodha ya kuifundisha Yanga kwa muda mfupi zaidi, ambapo miezi mitatu na siku 14 zilitosha kabisa vio . . .
Mwanaume mmoja jijini Nairobi, Kenya, Dickson Sitei, amekamatwa kwa tuhuma za kutumia zaidi ya Shilingi milioni 6.7 za Kenya, sawa na takrib . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutoa kauli kuhusu umbo la rapa maarufu Nicki Minaj wakati . . .
Mchezaji wa Yanga, Aboutwaleeb Mshery, leo Oktoba 26, 2026 amesema sare iliyopatikana katika mchezo uliopita jijini Arusha haiwezi kuyumbish . . .
Raia wa Uganda, wanaorejea nyumbani kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, watalazimika kukaa karatini kwa siku 21, katika jitihada . . .
Nchini Brazil, rais Luiz Inacio Lula da Silva, ameshinda uchaguzi wa urais, baada ya kumshindani mpinzani wake wa karibu, katika kinyanganyi . . .
Serikali imeendelea kuwapa kipaumbele wanafunzi wenye ulemavu kwa kuhakikisha wanashirikiana na wanafunzi wengine katika kuimarisha uadilifu . . .
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuachana na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Manqoba Mngqithi, pamoja na Kocha wa Viungo, Chyna Mokaila.T . . .
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza Oktoba 29 ya kila mwaka kuwa Siku ya . . .
Katibu wa SMAUJATA Taifa, Idara ya Watu Wenye Ulemavu, Ester Sanga, amewataka wazazi kusimamia malezi ya watoto wao kikamilifu, ikiwemo kudh . . .
Maelfu ya watu wamekimbilia Kenya kutokana na mapigano kati ya jamii za Oromo na Wasomali kusini mwa Ethiopia. Msalaba Mwekundu unasaidia ta . . .
Vitongoji 1,597 kati ya 3,448 vilivyopo mkoani Mwanza vimefikishiwa umeme, huku kazi ya kusambaza huduma hiyo ikiendelea katika vitongoji vi . . .
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameagiza "kufungwa kabisa" kwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa siku ya Ijumaa, Oktoba 23, baada ya s . . .
Ruhamya Abasheija, mjukuu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amepandishwa cheo na kuwa Luteni wa Pili katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kushirikiana na wananchi na wadau mbalimbali katika kuimarisha ulinzi na usalama wa maisha na mali . . .
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kilimanjaro limemkamata dereva wa lori, raia wa nchi jirani, kwa tuhuma za kuendesha g . . .
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na maofisa wake wameshinda Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameitaka jamii kuanzisha kampeni ya nyumba kwa nyumba kuhamasisha wananchi kujiunga na mfum . . .
Rais wa Brazil Lula da Silva na mpinzani wake Flavio Bolsonaro wako sare katika kura ya maoni, kila mmoja akiungwa mkono kwa asilimia 50. Wa . . .
Serikali imeagiza kuongezwa kasi ya ukarabati na uboreshaji wa barabara inayounganisha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na . . .
Madaktari wa Papa Leo XIV, wamesema Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani, hahitaji matibabu zaidi na kwamba afya yake imeimarika baada y . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujihusisha na biashara na matumizi ya dawa za kulevya zinazodhaniwa . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa Shirika la AGRA, Bi. Alice Ruhweza, na kueleza mi . . .
Rangi za mafuta zenye madini ya risasi zinaweza kuathiri ubongo, figo na mfumo wa uzazi, huku watoto, wajawazito na mafundi wa upakaji rangi . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imeamuru kusimamishwa kwa mwenendo wa shauri la nidhamu linalomkabili Rais wa Chama cha Wanash . . .
Watanzania wamehimizwa kuzingatia mlo kamili na kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuimarisha afya ya mifupa na viungo pamoja na kupunguza ha . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina la Humphrey El . . .
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sébastien Lecornu, ametangaza tarehe 19 Oktoba kuwa ameamuru wakuu wa mikoa kutangaza sheria ya kutotoka nje katik . . .
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amependekeza kufanyika kwa mkutano wa kilele mwezi ujao akishirikiana na Rais wa Marekani, Donald Trump, na R . . .
WANAWAKE wenye mimba wanashauriwa kuzingatia lishe bora na salama kiafya ikiwemo kula aina tofauti za samaki (seafood) mara kwa mara ili kuz . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameonya dhidi ya watu wanaoweza kutumia nguvu zao za kiuchumi . . .
Wazazi Jijini Mwanza wamesisitizwa kutokomeza Ndoa za utotoni kwa vitendo ikiwemo kuwasikiliza watoto wao na kuwapa mahitaji ya Msingi jambo . . .
Mutafungwa amesema ajali hiyo imehusisha pikipiki yenye namba za usajili MC.647 DCM aina ya Skymark, iliyokuwa ikiendeshwa na Stiven Muhina. . . .
Bidhaa mbalimbali, zikiwemo simu za iPhone na mizigo mingine, zimeripotiwa kuonekana zikielea juu ya maji ya bahari kufuatia taarifa za kuza . . .