Wagombea wanaowania nafasi ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa watapambana leo katika mdahalo utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Baraza Kuu la Um . . .
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameziagiza kampuni kubwa za kigeni zinazowekeza katika sekta ya madini nchini kuzingatia kikamilifu sheri . . .
Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Mhe. Salehe Mbwana Mhando,ameendelea na ziara yake ya Kuwashukuru Wananchi katika Kata ya Mabalanga, ambapo alik . . .
Maandamano yaliyoitishwa na muungano wa upinzani wa C64 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kupinga mpango wa kuibadilisha katiba hayat . . .
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Hungary imeanzisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha na makosa ya jinai, wakivamia kituo cha data cha c . . .
Rais Joseph Aoun wa Lebanon amekutana na Rais Donald Trump wa Marekani mjini Washington wakati wa ziara yake ya kutafuta uungwaji mkono kati . . .
Bunge la Ufaransa limeidhinisha muswada wa sheria utakaopiga marufuku watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 kutumia mitandao ya kijamii.Hat . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, hatakamatwa akiwa nchini Marekani licha ya kuwepo kwa hat . . .
Kigoma ni mwisho wa reli.” Ingawa ulitamkwa kwa utani, kwa kiasi kikubwa uliakisi hali halisi ya miundombinu na mtazamo uliokuwepo kuhusu . . .
Maelfu ya mashabiki wa Argentina walijitokeza licha ya baridi kali na mvua kuwakaribisha wachezaji wa timu yao ya taifa waliorejea nyumbani . . .
Senegal imetangaza kuwa inaunga mkono harakati za aliyekuwa rais wa nchi hiyo Macky Sall, kuwania nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. . . .
Korea Kaskazini imesisitiza uungaji wake mkono kwa vita vya Urusi nchini Ukraine wakati wa mazungumzo ya mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi . . .
Kundi la wanamgambo wa Palestina la Hamas limetangaza hii leo kumchagua mujahid Khalil al-Hayya kuwa kiongozi wake mkuu.Afisa mmoja wa Hamas . . .
Ikulu ya Marekani imemsimamisha kazi kwa muda bila malipo mmoja wa waendeshaji wa muda mrefu wa teleprompter wa Rais Donald Trump, baada ya . . .
Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kuachana na kiungo wake mkongwe Mzamiru Yassin, baada ya mkataba wake kumalizika, ikiwa ni sehemu ya m . . .
Wanafunzi wa shule 20 na mtu mmoja mzima, wamepoteza maisha, nchini Uganda baada ya Basi, walilokuwa wanasafiria kuhusika kwenye ajali ya ba . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema watu kadhaa wameuawa na wengine wamejeruhiwa katika mashambulizi ya droni za Urusi.Rais Zelensky . . .
Marekani imeongeza mashambulizi yake dhidi ya Iran kwa kushambulia madaraja muhimu na kuangusha mnara wa kudhibiti usafiri wa baharini katik . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation, Mhe. Dkt. Huss . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 16, 2026 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofan . . .
Serikali ya Marekani imetangaza siku ya Jumatano kwamba itaweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kadhaa za Brazil, kufuatia uchunguzi uliofanywa na . . .
watu 11 wamefariki na wengine 19 wamejeruhiwa katika kisa cha moto, ambao bado unawaka, katika kituo cha watoto yatima katika viunga vya Alg . . .
Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unazidi makali ambapo maambukizi yameongezeka na kufikia watu 2,073 na vif . . .
Bunge la Ukraine linatarajiwa hivi leo kuipitisha serikali mpya ya wakati wa vita, baada ya rais Volodymyr Zelensky kufanya mabadiliko katik . . .
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeandika historia mpya baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika orodha ya QS World University Rankin . . .
JESHI la Polisi Mkoani Tabora limekamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kupanga njama ya kufanya utapeli katika benki za CRDB na NMB zilizo . . .
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema mashambulizi yamefanyika katika bandari za Odesa na Chornomorsk kwa kutumia makombora ya masafa marefu na . . .
Ufaransa yaambulia patupu kwenye mchuano wa nusu fainali dhidi ya Uhispania. Lakini je Uhispania inatosha kutwaa kombe la dunia.Nahodha wa U . . .
Marekani imeshambulia maeneo mbali mbali ya Iran ikifyetuwa makombora 13 wakati Tehran ikishambulia maslahi ya Marekani kwa makombora Bahrai . . .
Lebanon na Israel wamerejea kwenye mazungumzo hii leo mjini Rome, huku Beirut ikitarajia kutafikiwa hatua katika suala la Israel kuondoka ku . . .
Mwanamke kutoka Mbarara ambaye alitumia miaka sita katika Kitengo cha Wagonjwa Mahututi (ICU) amefariki baada ya vita vya muda mrefu vya kim . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, . . .
Nchini Uganda, kesi ya uhaini ya Kizza Besigye imepangwa kuanza Julai 13, 2026. Kiongozi huyu mkongwe wa upinzani alifikishwa kwa nguvu mbel . . .
Spika wa Bunge la tiaf la Senegal, Ousmane Sonko, ambaye alikuwa kiongozi wa upinzani nchini Senegal na Waziri Mkuu mfululizo kabla ya kuwa . . .
Ufaransa na Uhispania wanakutana baadae leo kwenye nusu fainali za michuano ya Kombe la Dunia, katika mechi inayotarajiwa kuwa ya mvutano na . . .
Urusi imefanya mashambulizi mapya ya usiku kucha ya makombora ya balistiki dhidi ya mji mkuu wa Ukraine Kiev huku milipuko kadhaa ikisikika . . .
Bamia (lady’s finger/okra) ni mboga yenye virutubisho vingi sana ambavyo vina faida kubwa mwilini. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kula b . . .
Mnamo Juni 29, 2026 TAKUKURU Wilaya ya Siha imefungua shauri la uhujumu uchumi namba 14596/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Siha ikiwa ni J . . .
Sam Neill, aliyepata umaarufu mkubwa duniani kupitia nafasi yake ya Dk. Alan Grant katika filamu za “Jurassic Park”, amefariki dunia aki . . .
Kesi dhidi ya aliyekuwa daktari nchini Rwanda Eugene Rwamucyo anayetuhumiwa kwa mauaji ya kimbari mwaka 1994 ,ambayo imekuwa ikiendelea Pari . . .