logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

WANANCHI WAASWA KUTOA USHIRIKIANO THABITI KATIKA UTAFITI WA VVU NCHINI

SERIKALI imezindua Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania (THIS 2022-2023) na kueleza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ya VVU n . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

WAFANYABIASHARA SOKO LA SAMAKI MISUNGWI WALIZWA

. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Rais Samia asisitiza Watanzania kuchapa kazi

 Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wakati akielekea Mkoa wa Kigoma leo Jumapili, Oktoba 6, 2022, Rais Samia amesema yeye na wasaidizi wake . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Tanzania yashtua Ulimwengu wa soka katika Kombe la Dunia chini ya miaka 17

Timu ya taifa ya soka ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania (Serengeti Girls) sikua ya  Jumamosi iliushtua Ulimwengu wa sok . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Rais Xi:China ndio inamamlaka ya kuamua juu ya Taiwan

Rais wa china Xi Jinping amesema ni jukumu la china kutatua masuala ya Taiwan kwa njia ya amani lakini ikibidi inaweza kutumia nguvu ya kije . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Hamisa Mobeto " Mwanaume Anayenioa Amepata Chombo"

Hamisa Mobeto Hamisa Mobetto ambaye ni mwanamke staa nchini Tanzania anayetajwa kuwa mwenye mvuto kuliko wote kwa sasa ambaye amefunguka na . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Akon aliwahi kumtumia mdogo wake kwenye show bila mashabiki kujua

Kama uliwahi kuhudhuria onesho lolote la Akon, basi unaweza kuwa ulipigwa na hakuwa yeye bali ni mdogo wake, Abou Thiam. Mwanamuziki huyo na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, viongozi wengine wa Chama, Serika . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Mgunda apania kwa Mkapa

Simba kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Primeiro de Agosto ya Angola, huku kocha mkuu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

KWIMBA WAAMUA SABANA MALINJA NDIYE MWENYEKITI CCM WILAYA

. . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Mtoto wa Rais Museveni aiomba msamaha Kenya, anataka kuzuru Tanzania

Mtoto wa rais Yower Museveni wa Uganda, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kutembelea Tanzania, ikiwa ni siku chache tangu azue . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya

Wabunge nchini Iraq jana walimchagua Abdul Latif Rashid, mwanasiasa mkurdi mwenye umri wa miaka 78 kuwa rais mpya wa nchi hiyo. Afisa mmoja . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Korea Kaskazini yafyatua kombora lingine

Korea Kaskazini mapema leo imerusha kombora la masafa mafupi kuelekea katika bahari yake ya Mashariki na pia kutuma ndege za kivita karibu n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Aibiwa Figo Yake Akiwa Amelazwa Hospitali

 jambo la kustaajabisha sana kusikia kwamba mtu anaweza akapoteza kiungo cha mwili wake, tena cha ndani katika njia tatanishi. Ndi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Mlinzi wa Ida Odinga Apigwa Risasi

Mlinzi wa mkewe Raila Odinga, Ida Odinga, ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi nyumbani kwake Riat Kisumu.Inaarifiwa Barrack Jaraha alipi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

WIKI YA AFYA YA MACHO

Kila ifikapo alhamisi ya pili ya mwezi wa kumi huwa ni siku ya afya ya macho duniani na ndio kilele cha afya ya macho huwa kinafanyika , mwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Makonda apelekwa mahakamani

Leo Oktoba 13,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetaja kesi ya madai, iliyofunguliwa na Patrick Christopher Kamwelwe, dhidi ya Willium . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 13, 2022

MTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP.

Sunday Ginikachukwu Nweke Maarufu Kwa Jina La Masterkraft Mtayarishaji Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria Ambaye Amefanikiwa Kufanya Kazi Na Wa . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Zuchu aingia tuzo za MTV EMA, kipengele kimoja Burna boy, Tems na Ayra Starr na wengine

Zoezi la upigaji kura limezinduliwa rasmi leo kuwapa nafasi mashabiki kuwapigia kura Wasanii na kazi za sanaa ya muziki wazipendazo na kuwez . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Korea Kaskazini yafanya majaribio mengine ya makombora ya masafa marefu

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, amesimamia mwenyewe majaribio ya makombora ya masafa marefu aliyoyaelezea kuwa ni mafanikio ya kupa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Matokeo ya Sensa Kujulikana mwezi huu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kutangaza matokeo ya zoezi la sensa ya watu . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Waganga wa jadi wapigwa marufuku Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaagiza waganga wa jadi kuacha kuwatibu watu wakati wa mlipuko wa ebola unaoendelea ambao hadi sasa umesab . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Mbunge wa CCM afariki dunia

 Mbunge wa Aman (CCM), Mussa Hassan Mussa amefariki dunia leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 nyumbani kwake visiwani Zanzibar.Akitoa taarifa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

India yasimamisha kiwanda cha dawa iliyouwa watoto nchini Gambia

Mamlaka nchini India imesimamisha kazi za kiwanda kilichotengeneza dawa inayochunguzwa, ikishukiwa kusababisha vifo vya watoto 69 nchini Gam . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

DJ Khaled atinga studio na Burnaboy

Producer maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla DJ Khaled amekutana na staa wa muziki barani Africa Burnaboy studio na kurekodi baadh . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Justina Syokau " Nataka Nifanye Upasuaji Wa Kuongeza Makalio Ili Niwavutia Wanaume kwa Mungu"

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Justina Syokau amefichua mipango yake kuhusu kufanyiwa upasuaji ili kuongeza makalio yake.Mwimbaji huyo alidai . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Ufaulu shule ya sheria ni hatari tupu

Wanasheria na baadhi ya wadau wametaka utafiti ufanyike kubaini chanzo cha anguko kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya Sheria Tanza . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Mashabiki wa Arsenal wafanya sherehe

Arsenal na Manchester United ndio klabu zinazoongoza kwa kuwa na mashabiki wengi barani Afrika lakini pia katika bara la Asia Manchester wak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Ujerumani kurejesha vipande 70 vya kazi za sanaa nchini Nigeria

Shehena ya kazi za sanaa zipatazo 70 zilizoporwa kutoka ufalme wa zamani wa Benin zitarejeshwa nchini Nigeria kutoka jumba la makumbusho la . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Upelelezi wa kesi ya sabaya bado unaendelea

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiendelea kusota mahabusu kwa siku 132 sasa tangu afikishwe mahakamani, mwendesha mashta . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Mwanamume Aliyeua Mwenzake Eti Kwa Sababu Alikuwa na Sura Mbaya

Pedro Rodrigues Filho ambaye alibandikwa jina la 'Lil' Pedro Killer', alihukumiwa kwa mauaji ya watu 71 akiwemo babake lakini mwenyewe anase . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Aliyefungwa Kimakosa Aachiliwa Miaka 33 Baadaye

Tetteh ameachiliwa huru baada ya kufungwa kimakosa kwa miaka 33 kufutia kesi ya muuaji.Mwathiriwa na jamaa mwingine walitajwa na mshukiwa al . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Rais Samia kuanza ziara ya siku nne Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19 mwezi huu.Akitoa taarifa k . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Wawili wafariki, wengine wajeruhiwa

Watu wawili wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Kyela Express kugongana uso kwa uso na basi dogo aina ya Toyota Coaster . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Mkutano Mkuu wa CPC Kuzingatia Utulivu na Mwendelezo wa Sera

Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya kimataifa, ina changamoto mbalimbali kiuchumi na kiusalama, kwa hiyo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Vikundi 1184 kuboresha malezi ya mtoto wa kike

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum  Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali imeanzisha vikundi vya malezi 1 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Urusi na Belarus kuunda kikosi cha pamoja cha kijeshi

Kiongozi wa Belarus Alexander Lukashenko hapo jana alitangaza kuundwa kwa kikosi cha pamoja cha nchi yake ndani ya jeshi la Urusi. Lukashenk . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Muuguzi ashutumiwa kuwaua kwa sumu watoto wachanga zaidi ya 10 hospitalini

Lucy Letby ameshtakiwa kwa mauaji ya watoto watano wa kiume na wakike wawili."Mtoaji sumu alikuwa kazini" katika hospitali ambapo kulikuwa n . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 11, 2022

Mlinzi wa kanisa la Kangemi adaiwa kutoweka na mchango wa milioni 1.5 uliotolewa Jumapili

Maafisa wa upelelezi katika kituo cha polisi cha Kangemi, kaunti ndogo ya Dagoretti, wameanzisha msako wa kumsaka mshukiwa anayedaiwa kuvunj . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Killy na Cheed wapigwa chini rasmi Konde Gang

Uongozi wa lebo ya muziki wa @kondegang umetoa taarifa kwa umma kuweka wazi makubaliano ya kusitisha mikataba na Wasanii wawili wa . . .

Kurasa 194 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category