Polisi nchini Kenya imeimarisha operesheni za usalama katika mji wa Mandera uliopo mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, na kuwasaka wa . . .
Francis Banda, mwanamume kutoka Malawi anayeishi Ntcheu, anagonga vichwa vya habari baada ya kubomoa nyumba mbili kutokana na hasira iliyosa . . .
Kizaazaa kilishuhudiwa katika uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London nchini Uingereza baada ya mwanamume kuvua nguo zake na kwenda haja k . . .
Katibu Mkuu wa CHADEMA amesema kuundwa kwa Kikosi Kazi ni matumizi mabaya ya Fedha za Watanzania na hivyo Serikali itoke hadharani na iseme . . .
Mshauri wa usalama wa taifa wa rais wa Marekani Jake Sullivan, amefanya mazungumzo na mwenzake wa Kenya Dr. Monica Juma kuhusu vita vya Ethi . . .
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amerudi nchini humo katika juhudi zake za kujaribu kurudi madarakani baada ya kujiuzulu wa . . .
Liz Truss amejiuzulu kama waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukaa madarakani kwa chini ya miezi miwili.Kuanzia mkutano wake wa kwanza na Mal . . .
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe.Atupele Mwakibete ameitaka Bodi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), kuandaa Sera, Sheria, Kanuni . . .
Takriban watu 50 waliuawa na karibu wengine 300 kujeruhiwa katika ghasia zilizozuka nchini Chad siku ya Alhamisi huku mamia wakiingia . . .
Aliyekuwa mgombea mwenza wa muungano wa Azimio la Umoja Martha Karua amekataa kumtambua William Ruto kama rais wa Jamhuri ya Kenya baada ya . . .
Zimbabwe imeibuka taifa la kwanza katika bara la Afrika kuidhinisha chanjo ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi.Zimbabwe itaanza kutoa . . .
CHAMA cha Soka Mkoa wa Mjini Magharib kimewasimamisha waamuzi wawili na kumfungia kutochezesha ligi mmoja kwa kushindwa kumudu Sheria 17 . . .
KIUNGULIA humfanya mtu ahisi kana kwamba kuna mwasho kifuani. Chakula tunachokula hupitia kinywani mwetu hadi kwenye mirija inayojulikana . . .
Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya . . .
Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mko . . .
Indonesia imepiga marufuku kwa muda dawa zote za maji kufuatia vifo vya watoto wapatao 100 kutokana na uharibifu wa figo. Haya yameripotiw . . .
Waendesha mashtaka wa Marekani Jumatano waliwashtaki raia watano wa Russia kwa kukwepa vikwazo na mashtaka mengine kwa kusafirisha tek . . .
"Umegusia suala la Tezi dume hapo, wengi wanaume ukileta mjadala wa changamoto hiyo, fikra zao huelekea kwenye kile kipimo cha kidole ambach . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskaz . . .
Watu wenye silaha walivamia hospitali mbili katika mashambulizi tofauti kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria, afisa wa eneo hilo na s . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema Urusi kutumia ndege zisizo na rubani za Iran ili kuyashambulia maeneo ya Ukraine, kunaweka wazi . . .
WAKULIMA Mkoa wa Arusha wameshauriwa kufanya uzalishaji wa vyakula wenye lishe bora utakaokidhi afya ya mwananchi baada ya uzalishaji huku w . . .
Makombora ya Russia yameharibu mitambo ya umeme na maji katika sehemu kadhaa nchini Ukraine leo Jumanne, katika hatua inayoonekana kama wana . . .
Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema janga la Uviko-19 pamoja na vita na migogoro ni masuala yaliyorudisha nyuma juhudi za kuimarisha af . . .
Anaitwa Solomon Ogbeide Ambaye Anawakilisha Esan Igueben Katika Jimbo La Edo Huko Nigeria.Solemzo Ni Mwanamuziki Wa Miondoko Ya Afro Hippo P . . .
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani, Tedrso Adhanom Ghebreyesus AP - Salvatore Di NolfiShirika la afya duniani, WHO, juma hili limetoa ang . . .
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshitakiwa Hemed Ally baada ya kupatikana na hatia ya kumuua, Farhani Maluni . . .
Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliuawa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya wakati gari lao lilipogonga kilipuzi kaskazi . . .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumanne ya tarehe 18 Oktoba, 2022 . . .
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu amechakuliwa kuwa mmoja ya wasanii ambao watatoa burudani siku ya utoaji tuzo za AFRIMMA mnam . . .
Vyakula vya wanga nyingiKula chakula chenye wanga kinaweza kudhoofisha afya kwa muda mrefu kwani husababisha kuongezeka kwa uvimbe na kubadi . . .
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde, amesema serikali ipo njiani kutunga sheria maalum kwa ajili ya kilimo ili kulinda maeneo yote yanayo . . .
Yoweri Museveni "Jenerali Muhoozi Kainerugaba - atakaa mbali na mitandao ya kijamii kufuatia jumbe zake za kivita kuhusu Kenya." . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani mashambulizi mapya ya Urusi yaliohusisha makombora na ndege zisizo na rubani na kuyataja kama ug . . .
Msanii wa Bongofleva foby ameamua kutoa ya moyoni mwake kwa hamisa mobetto ambaye hawako sawa hivyo akihitaji wamalize tofauti zao.Foby amet . . .
miaka 30 ijayo mwanamke wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kujifungua wastani wa watoto wachache ripoti ya ‘Tanzania in figures 20 . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo – Busisi mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022.  . . .
Kaimu Mratibu wa Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania (TANIPAC), Khassim Musya akitoa elimu wa wananchi waliofika katika maadhimisho ya Siku . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video na kutoa lugha ya maudhi dhidi ya W . . .
Wakazi wa Beni, Kivu kaskazini, na Ituri wanaiomba serikali ya DRC na Umoja wa Matifa kutangaza mauaji ya mara kwa mara katika eneo lao kuwa . . .