Hailey Bieber ametoa taarifa kuhusu kupona kwake kutokana na kiharusi cha hivi majuzi na pia afya ya mumewe, Justin Bieber.Hailey Bieber ana . . .
Vyama vikuu vya kisiasa nchini Ufaransa vilikuwa vikicheza dau kubwa kwa uchaguzi huu wa wabunge mwaka wa 2022, laki . . .
Mamia ya watu wameandamana Jumapili katika mji mkuu wa Tunisia wakipinga mpango wa kura ya maoni kubadili katiba na hatua ya hivi kari . . .
Kwa mara ya pili katika historia ya Marekani, Juni 19 maarufu kama “Juneteenth,” ni siku rasmi ya sikukuu ya serikali kuu. Laki . . .
Seneta wa Nairobi Johson Sakaja ameendeleza makombora yake dhidi ya ‘deep state’ kwa kile anachodai ni njama ya kumfungia nje ya uchaguz . . .
Serikali imetaja sababu za kufutika kwa maandishi kwenye risiti za mashine ya kodi ya kielektroniki (EFD) kwamba inatokana na kuchap . . .
Karibu watu 20 wameuawa katika shambulio linaotuhumiwa kutekelezwa na wapiganaji wa kijihadi kaskazini mwa Mali, ofisi ya kikanda katika . . .
Binti mkubwa wa Rais wa Ufilipino anayeondoka madarakani Rodrigo Duterte ameapishwa kuwa makamu wa rais wa nchi hiyo.Sara Duterte ameapa k . . .
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameapa leo Jumapili kuwa vikosi vyake havitomuachia yeyote eneo lake la kusini baada ya ziara yake ya k . . .
Raia wa Colombia watampigia kura rais mpya leo Jumapili katika uchaguzi uliojaa sintofahamu. Mwanaharakati wa zamani Gustavo Petro na mf . . .
Wanajeshi wa Sri Lanka walifyatua risasi katika mji wa Visuvamadu, karibu kilometa 365 kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Colombo ili . . .
Serikali ya Ujerumani imefahamisha leo jumapili kuwa itachukua hatua za dharura ili kuhakikisha inakidhi mahitaji yake ya nishati baada ya . . .
Watetezi wa haki za kiraia na mawakili wa jamii ya wamaasai, wanaendelea kuishinkiza serikali ya Tanzania kuachana na mpango wa kuwafu . . .
Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edwa . . .
Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imefunga mipaka yake yote na Rwanda huku hali ya miwavutano kati ya nchi hizo mbili ikien . . .
Wanaharakati wa kupambana na mihadarati eneo la Pwani wamepinga vikali sera za baadhi ya wagombea urais, zinazolenga kuhalalisha matumiz . . .
Msanii wa bongo flave k2ga kutoka kundi la kings music ametangaza kuachia ngoma mpya mchana wa leo. Kupitia kurasa zake za mit . . .
Kundi la waasi limewashambulia na kuwaua wanakijiji 7 kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, taifa ambalo linaandamwa na vit . . .
Marekani imelaani vikali matamshi yaliyotolewa na maafisa wa chama tawala nchini India cha BJP kuhusu mtume Mohammed ambayo yamezusha ha . . .
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa leo limetoa wito wa kufanyika mageuzi kwenye mifumo ya afya ya akili duniani likisema kuna ongezeko la . . .
Marekani Alhamisi imeitaka Russia kuwachukilia Wamarekani wote wa kujitolea walioshikwa mateka wakati wakipigana upande wa wanajeshi wa . . .
Polisi wa Nigeria wamesema wamewaokoa wasichana 35 kutoka hoteli walimokuwa watumwa wa ngono na kisha kulazimishwa kupata ujauzito na . . .
June 18 ni miezi saba tangu Dessu Dulla alipowekwa jela. Mwandishi wa habari raia wa Ethiopia kutoka Oromia News Network (ONN) anashutum . . .
Wakati Serikali ikisema uwekaji mipaka katika pori la Loliondo unaendelea vizuri, Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea . . .
Paula Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye aliapa kwamba labda afe ndipo mama . . .
Benki kuu ya Marekani ilitangaza Jumatano kuwa itapandisha viwango vya riba kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawapo ndani ya ukumbi wa Bunge na . . .
Msanii wa bongo fleva Nassibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amempongeza Msemaji wa Young Africans Haji Sunday Manara, kufuatia Klabu . . .
Mkosoaji wa serikali ya Urusi aliyefungwa jela, Alexei Navalny, amesema amehamishiwa kwenye kile kinachotajwa kuwa moja ya gereza la kutis . . .
Rais mpya wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, amemteua mbunge kutoka baraza kuu la bunge Hamza Abdi Barre kuwa Waziri Mkuu mpya. Mohamud . . .
Serikali ya Uingereza imelazimika kufuta safari ya kundi la kwanza la wahamiaji waliotarajiwa kuwasili nchini Rwanda . . .
RAIS Uhuru Kenyatta alijipata pabaya baada ya kualika maafisa wa jimbo la Somaliland katika dhifa iliyohudhuriwa na balozi wa Somalia, J . . .
VURUGU zilitokea katika mkutano wa kampeni wa Muungano wa Kenya Kwanza katika Kaunti ya Kakamega, baada ya wafuasi wa Seneta Cleophas Ma . . .
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewaagiza wakuu wa shule nchini . . .
Mwanamume mmoja katika kijiji cha Emakhwale, kaunti ya Kakamega amewaacha wakazi wa eneo hilo na mshangao baada ya kufanya mazishi ya kejeli . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limefanikiwa kumkamata Mtuhumiwa na Mfanyabiashara Kaloli Mkusa mwenye umri wa miaka 30 ambaye alihukumi . . .