logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

RIHANNA: MWANAMKE MDOGO MWENYE PESA NYINGI MAREKANI

Muimbaji wa muziki nchini Marekani Robyn Rihanna Fenty maarufu Rihanna ametajwa kwenye orodha ya jarida Forbes ya 2022 kuwa ndiye bilion . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

MAWAZIRI WAWILI WAJIUZULU .

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson atakabiliwa na maswali bungeni Jumatano na baada ya hapo adadisiwe na wakuu wa kamati za bunge huku . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

Maziko ya Vijana 21 waliofariki ndani ya klabu kufanyika leo

Ibada ya pamoja ya maziko ya vijana 21, waliofariki katika mazingira tatanishi kwenye klabu moja nchini Africa kusin . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

Mvulana wa Darasa la Nane Amuua Mama Mjamzito na Wanawe Wawili

Huzuni umeghubika kijiji cha Poroko katika kaunti ndogo ya Trans Mara Magharibi baada ya mvulana wa darasa la nane kumuua kinyama mwanamke m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

Waziri amsweka ndani aliyesema hajali hata akifukuzwa kazi

Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ana wakati mgumu kutetea wadhifa wake kisiasa

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alikuwa akipigania uhai wake wa kisiasa siku ya Jumanne baada ya Waziri wa Fedha Rishi Sunak, na . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

Monusco wanajua kuhusu waasi wa FDLR kuwa ndani ya jeshi la DRC

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba amejiandaa kwa mabaya wakati uhusiano kati ya nchi yake na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

Walioacha shule wakimbilia masomo ya uzeeni kujinusuru

WAZEE na vijana ambao hawakufanikiwa kumaliza mafunzo shuleni kaunti ya Mombasa, wamelazimika kurejea shuleni kukata kiu ya elimu. Kuling . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 6, 2022

Afisa wa polisi afariki akikabiliana na mhalifu

AFISA wa polisi aliuawa kwa kufyatuliwa risasi na mshukiwa wa ujambazi wakati maafisa wa polisi walikuwa wakiingia katika nakazi ambako . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

WABUNGE VINARA WA MAPAMBANO YA TB WAENDELEA KUTOA ELIMU

Mtandao wa Wabunge Vinara wa Mapambano dhidi ya Kifua Kikuu wametakiwa kuendelea kutoa elimu kuhusu ugonjwa huo wanaporudi majimboniHayo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

Jeshi lakanusha madai ya kuunga mkono waasi wa Tigray

Jeshi nchini Uganda, limekanusha taarifa ya baadhi ya vyombo vya habari vya Ethiopia, kwamba serikali ya Uganda inau . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

Mshukiwa wa wizi auawa mtaani South B polisi wakifanikiwa kutwaa bastola

MAAFISA wa polisi walitibua mpango wa wizi wa mabavu katika jengo moja mtaani South B katika kaunti ndogo ya Starehe usiku wa kuamkia Ju . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

Akaunti za Twitter na Youtube za Jeshi la Uingereza Zadukuliwa, Jeshi Kufanya Uchunguzi

AKAUNTI za mitandao ya kijamii ya Twitter pamoja na Youtube za Jeshi la Uingereza zimedukuliwa na watu wasiojulikana huku zikionesha baadh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

ECOWAS yaziondolea vikwazo Mali na Burkina Faso

Viongozi wa Afrika Magharibi waliokuwa wakihudhuria mkutano wa kilele wa kanda hiyo wameamua kuziondolea vikwazo vyote vya kifedha na kiuc . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

Shambulio la risasi kwenye duka kubwa laua watu 3 mjini Copenhagen

Shambulio la risasi katika jengo la maduka mjini Copenhagen Jumapili limesababisha vifo vya watu watatu na kujeruhi wengine watatu, poli . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

Zelenskiy akiri kuondoka kwa majeshi ya Ukraine Lysychansk

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekiri kuondoka kwa vikosi vya nchi yake katika mji wa Lysychansk mashariki mwa jimbo la Donbass baad . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 4, 2022

AFCON kufanyika tena Januari na Februari mwaka 2024

Mashindano yajayo ya kuwania ubingwa wa Afrika AFCON yatafanyika mapema mwaka 2024 ili kuzuia kinyang'anyiro hicho kukumbwa na mafuriko wa . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2022

Irene Uwoya Afunguka Mazito

Irene Pancras Uwoya; ni staa mkali wa Bongo Movies ambaye amepigiwa saluti za kutosha na wakazi mbalimbali wa huko Dubai na hata baadhi ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2022

Raia wenye hasira waandamana kupinga ugumu wa maisha

Waandamanaji nchini Libya wamelivamia bunge kuonyesha hasira zao juu ya kuzorota kwa hali ya maisha na mkwamo wa kisiasa nchini humo.Waand . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 3, 2022

Takriban watu 19 wameuwawa katika ajali ya basi nchini Pakistan

Watu takriban 19 wamepoteza maisha na wengine 12 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la abiria lililoteleza na kutumbukia kwenye korongo la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 3, 2022

Mafuriko yasababisha maafa mjini Sydney

Maeneo mengi ya mji wa Sydney yamefunikwa na maji kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa ilionyesha katika mji huo mkubwa zaid . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 3, 2022

EACC kutwaa mali ya wenye vyeti ghushi

TUME ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi Nchini (EACC) imeahidi kuwa itatwaa pesa na mali kutoka kwa wale ambao walitumia vyeti ghushi ku . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • July 3, 2022

Sita wafa ajali ya gari Dodoma

Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo kugonga na mkokoteni uliokuwa unavutwa na . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • July 3, 2022

Wafugaji wanaolisha mifugo mashamba ya wakulima kukamatwa

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack kuhakikisha anawakamata wafugaji wanaopiga wakul . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Rais wa China amwapisha kiongozi mpya Hong Kong

Rais wa China, Xi Jinping leo amemwapisha kiongozi mpya wa Hong Kong huku akionya kuwa China haitavumilia upinzani wowote dhidi ya mamlaka . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Msanii wa Nigeria ‘Kizz Daniel’ kutua Tanzania, Big Step na Str8upvibes wathibitisha

 Jana June 30 kulikuwa na taarifa zinasambaa mitandaoni kuhusu ujio wa Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel kutumbuiza nchini Tanzania.Lengo . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Msanii wa Nigeria ‘Kizz Daniel’ kutua Tanzania, Big Step na Str8upvibes wathibitisha

 Jana June 30 kulikuwa na taarifa zinasambaa mitandaoni kuhusu ujio wa Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel kutumbuiza nchini Tanzania.Lengo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Tunisia imechapisha rasimu ya katiba mpya inayompa Rais mamlaka zaidi

Tunisia siku ya Alhamis ilichapisha rasimu ya katiba mpya inayompa Rais mamlaka makubwa zaidi rasimu hiyo inatazamiwa kupigiwa kura ya . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Waandamanaji 7 wauawa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi nchini Sudan

Waandamanaji wasiopungua 7 wameuawa Alhamisi nchini Sudan wakati maafisa wa usalama wakijaribu kuzuia mikusanyiko mikubwa ya waandamanaj . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

William Ruto" Haya ndiyo ninayowaahidi Wakenya "

Mgombea urais nchini Kenya kupitia kwa chama cha United Democratic Alliance -UDA, William Ruto amezindua manifesto yake kuelekea uchaguz . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Kauli ya Ben Pol

MWANAMUZIKI wa Bongo Flava Ben Pol, hatamani tena ndoa kwa sasa baada ya mahusiano yake na binti Mkenya Anerlisa Muigai kuvunjika. Akipig . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Romelu Lukaku arejea Inter Milan kwa mkopo baada ya kuagana na Chelsea

MSHAMBULIAJI matata raia wa Ubelgiji, Romelu Lukaku, 29, amerejea Inter Milan kwa mkopo, takriban mwaka mmoja baada ya kutua ugani Stamf . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Sadio Mane na Mohamed Salah watiwa katika orodha ya Wachezaji 30 wanaowania taji la Mchezaji Bora wa Mwaka barani Afrika

WASHAMBULIAJI Sadio Mane na Mohamed Salah wamejumuishwa katika orodha ya masogora 30 wanaowania taji la Mchezaji Bora wa Kiume barani Af . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 1, 2022

Uteuzi wa vigogo Tume ya Uchaguzi utazamwe upya

Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ameishauri Serikali kuutazama upya utaratibu wa kupatikana kwa . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • June 29, 2022

Marekani yafungua uchunguzi baada ya wahamiaji 51 kufa kwa joto ndani ya Trela

Idadi ya vifo vya wahamiaji wasio na vibali waliotelekezwa kwenye trela lenye joto kali mjini Texas imepanda hadi 51 jana Jumanne, huku Ra . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 29, 2022

Maajenti wa kazi Uarabuni kuchunguzwa

SERIKALI imepanga kufanya msako dhidi ya makampuni yanayotafutia Wakenya ajira katika nchi za ughaibuni, hasa zile za Uarabuni. Kulingana n . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 29, 2022

Samboja awindwa tena kuhusu cheti cha chuo kikuu baada ya kuponyoka

MASAIBU yanayomkumba Gavana Granton Samboja yameibuka upya, baada ya mpigakura kujaribu tena kumzuia kutetea kiti hicho katika uchaguzi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 29, 2022

Polisi yavunja maandamano dhidi ya hali ngumu kiuchumi Ghana

Polisi nchini Ghana walilazimika kuingilia kati kuyavunja maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za mafuta, kodi ya malipo ya kielektroniki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 29, 2022

Uturuki yaridhia Sweden, Finland kujiunga na NATO

Uturuki imekubali kuondoa upinzani wake kwa Sweden na Finland kujiunga na Jumuiya ya Kujihami ya NATO, hatua inayomaliza mkwamo ambao ulik . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 29, 2022

Jeshi la Sudan lafyatua mizinga eneo la mpaka na Ethiopia

Wanajeshi wa Sudan wamefyatua mizinga wakati wa makabiliano katika eneo la mashariki lilalozozaniwa ambalo linapakana na Ethiopia. Hayo ni . . .

Kurasa 211 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category