logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Rais Samia Awasili Msumbiji

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Maputo nchini Msumbiji kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini humo.Taarifa il . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • September 18, 2022

Watu 45 wadakwa operesheni maalumu Kigamboni

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa amesema Jeshi la Polisi wilayani humo linawashirikia watu 45 katika operesheni maalumu ya kukabi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 18, 2022

Biden awasili Uingereza kwa mazishi ya Malkia Elizabeth 11

Rais wa Marekani Joe Biden aliwasili nchini Uingereza jana jioni kabla ya mazishi ya Malkia Elizabeth 11 siku ya Jumatatu.Haya ni kwa mujibu . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • September 18, 2022

Washia milioni 21 waadhimisha siku ya Arbaini mjini Karbala, Iraq

Mahujaji milioni 21, waislamu wa madhahebu ya kishia, wakiwa wamevaa nguo nyeusi wamekusanyika katika mji wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Balozi Rupia afariki dunia

 Katibu Mkuu Kiongozi wa tano, Balozi Paul Rupia amefariki dunia leo asubuhi nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 84.Taarifa ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Rais Biden na Ramaphosa kukutana Marekani

Rais Joe Biden wa Marekani na wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wanatarajiwa kukutana leo hii katika Ikulu ya White House kwa mazungumzo yata . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

SAMAKI WANAOVULIWA HAWANA SHAKA YOYOTE

Naibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Ulega amezungumza hii leo bungeni kuhusiana na kauli iliyotolewa na makamu wa rais Dkt . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Baada ya kuapishwa, rais wa Angola aahidi ajira kwa vijana

Rais wa Angola Joao Lourenco, Alhamisi aliahidi nafasi za kazi kwa vijana wa nchi hiyo, ambao haki zao zimekandamizwa, huku wengi wao wakiwa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Wakenya Waambiwa Wawe Tayari Kuumia

Muungano wa Watengenezaji Bidhaa (KAM) umewataka Wakenya kujiandaa kwa hali ngumu zaidi ya maisha.Kulingana na KAM, bei ya bidhaa nyingi muh . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Kanye West Avunja Mkataba na Kampuni ya Kuuza na Kusambaza Bidhaa Zake "Nitafanya Mwenyewe"

Rappa na mfanyabiashara Kanye West 'YE' anaripotiwa kuwa amefikia maamuzi ya kuvunja mkataba wake na Kampuni Ya GAP iliyokuwa ikihusika na u . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Zaidi ya Watu 50 Wafariki Katika Mlipuko wa Lori la Mafuta

Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwa kuungua na moto vibaya, baada ya lori la mafuta kulipuka katika kijiji kimoja&nb . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Dully Sykes "Wasanii Wengine Wananiita Mjinga"

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva princedullysykes ameamua kuvunja ukimya kufuatia baadhi ya wasanii wenzake wa zamani kumuona yeye kama mjin . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

100 wakamatwa kwa matukio ya kihalifu Temeke

Zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa ndani ya siku mbili wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wa kuvamia nyumba za watu na kupora ma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

Waziri Mkuu wa Sweden ajiuzulu baada ya kundi la mrengo wa kulia kushinda uchaguzi

Waziri Mkuu wa Sweden wa chama cha Social Democratic Magdalena Andersson amewasilisha leo barua ya kujiuzulu. Hii ni baada ya muungano wa vy . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

Baraza la Mitihani (Necta) Lafuta Ada ya Mtihani kwa Watahiniwa wa Serikali

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza kufuta ada ya mtihani kwa watahiniwa wa darasa la saba, kidato cha nne na sita wa shule za S . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

Abiria afariki alipokuwa akipanda ndege ya KQ kuelekea Mombasa

Shirika la ndege la Kenya Airways limethibitisha kuwa abiria aliyepata matatizo ya kupumua alipokuwa akipanda moja ya ndege zake amefariki.K . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

KATAKISITA ABAKA MTOTO WA MIAKA 8

Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto w . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

MBUGE WA NYAMAGANA ASEMA HAYA MBELE YA MAKAMU WA RAIS

Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Jijini Mwanza Stanslaus Mabula haya ndiyo aliyoyawasilisha jana Tarehe 14 September 2022 mbele ya Makamu wa Ra . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

Jumuia ya kimataifa yaombwa kutoa chanjo ya Monkeypox kwa Afrika

Wakati visa vya maambukizi ya Monkeypox vikiendelea kushuka kwenye mataifa ya Ulaya pamoja na Marekani, wataalam wa sayansi wanasema kwamba . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

Rais wa Angola Joao Lourenço kuapishwa kwa muhula wa pili

Rais wa Angola Joao Lourenço anaapishwa leo Alhamisi Septemba 15 mjini Luanda kwa muhula wa pili, baada ya ushindi mdogo wa chama chake kat . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

HAWA NDIO WASANII WALIO NG'ARA KWENYE TUZO ZA AFRIMA

Tuzo za AFRIMA Siku ya Jana Wametoa List ya wasanii Waafrika Waliochaguliwa Kuwania Tuzo hizo Barani Afrika , Katika Wasanii Kutoka Tanzania . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 15, 2022

Matumaini Ya Unga Wa Bei Nafuu Yafifia

Matumaini ya Wakenya kuwa gharama ya maisha ingeanza kushuka mara baada ya Rais William Ruto kuchukua madaraka yameanza kudidimia miongoni m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

OMMY DIMPOZ AMLIPUA BABA YAKE

Msanii wa bongo fleva , omary nyembo alimaarufu ommy dimpozi amesema baba yake mzazi alimtelekeza akiwa mdogo na hakuwahi kumuonesha mapenzi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

Umoja wa Mataifa wataka ushirikiano dhidi ya madhila ya ulimwengu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa mshikamano na ushirikiano ili kushughulikia ulimwengu ulio hatarini wakati w . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

SHEREHE ILIVYOFANA NYUMBANI KWA RUTO BAADA YA KUAPISHWA

Kulikua na hali ya utulivu mkubwa katika sehemu mbalimbali nchini wakati wa kuapishwa kwa Rais William Ruto katika uwanja wa Kasarani.Hata h . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

Rais Ruto awateua majaji walioibua utata

Rais wa Kenya William Ruto, saa chache tu baada ya kuapishwa kama kiongozi wa taifa hilo la Afrika Mashariki, aliwateua majaji sita wa mahak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

Mfalme Charles III Afanya Ziara kwa mara ya kwanza Ireland Kaskazini

Mfalme Charles III amefanya ziara yake ya kwanza Ireland ya Kaskazini tangu alipovikwa taji la ufalme. Mfalme Charles anazuru mataifa yote m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

Maelfu wasongamana katika kuuaga mwili wa Malkia Elizabeth

Mamia ya waombolezaji jana Jumanne walipanga foleni nje ya ikulu ya Buckingham na katika mitaa ya mji wa London, nchini Uingereza, wakati ms . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

Mchezaji wa Man City Benjamin Mendy Afutiwa Shtaka la Ubakaji

Mchezaji wa Manchester City, Benjamin Mendy hakupatikana na hatia katika kesi ya kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 19.Uamuzi huo ulitole . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

ONYANGO AREJAEA TENA.

Beki wa Simba, Mkenya Joash Onyango ambaye alikuwa analazimisha kuondoka kikosini, jana alikuwa miongoni mwa mastaa waliosafiri na timu kwen . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 14, 2022

WIVU WA MAPENZI, USHIRIKINA VYATAJWA KUWA NDIO CHANZO CHA MAUAJI.

Wakati kumekuwa na wimbi la mauaji nchini, Serikali imesema sababu za wananchi kujichukulia hatua mkononi ni wivu wa mapenzi, migogoro ya ar . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

Uganda yaanza kuilipa fidia Congo

Uganda imetoa dola milioni 65 kama malipo ya kwanza ya dola milioni 325 iliyoamuriwa kulipa na Mahakama ya kimataifa ya haki ICJ, kama fidia . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

BANDA AREJESHWA TAIFA STARS

Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hanoor Janza amemrejesha kikosini beki Abdi Banda anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

Haki ya Faragha Kwa Wafungwa Wa Tanzania Iko Hivi

Serikali imesema suala la haki ya faragha kwa Wafungwa na Wenza wao itaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya Magere . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

UFAHAMU UGONJWA SEPSIS

Jumanne ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Sepsis.Sepsis ni ugonjwa unaotishia maisha ambao huathiri mamilioni ya watu kila mwaka. Ugonjwa h . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

Papa aelekea Kazakhstan kushiriki mkutano wa kimataifa wa dini

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameanza leo ziara ya siku tatu nchini Kazakhstan ili kushiriki mkutano wa kimataifa wa kidi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

KHALIGRAPH JONES AMUOMBA RAIS RUTO AMLINDE RAILA ODINGA

Rapa Khaligraph Jones atoa wimbo wa kufoka akimtaka rais  William Ruto kumlinda Raila Odinga kutoka na upambaniji wake wa miaka mingi k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

Mwanasarakasi wa Kike Asiye na Miguu Aliyeweka Rekodi Duniani

 Jen Bricker au Moceanu ni  mhamasishaji na mwanasarakasi wa kike kutoka Marekani asiye na miguu yote miwili.Jen ana umri wa miaka . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

MWANAFUNZI AJIUA NA KUACHA UJUMBE.

Robert Meier (17) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari St Mary Goreti iliyopo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanj . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 13, 2022

William Ruto Aapishwa leo kuwa rais wa Kenya.

Mwanasiasa wa Kenya William Ruto ameapishwa leo kuwa rais wa tano wa taifa hilo wiki moja baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kutupilia mba . . .

Kurasa 198 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category