logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 20, 2022

Watu 20 wauawa katika mashambulio la wanamgambo wa kijihadi Mali

Karibu watu 20 wameuawa katika shambulio linaotuhumiwa kutekelezwa na wapiganaji wa kijihadi kaskazini mwa Mali, ofisi ya kikanda katika . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 20, 2022

Sara Duterte aapishwa kuwa makamu wa rais

Binti mkubwa wa Rais wa Ufilipino anayeondoka madarakani Rodrigo Duterte ameapishwa kuwa makamu wa rais wa nchi hiyo.Sara Duterte ameapa k . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • June 20, 2022

Sabaya, wenzake kizimbani tena leo

Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • June 19, 2022

Zelensky aapa kuikwamua kusini, NATO yaonya kuhusu vita virefu

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameapa leo Jumapili kuwa vikosi vyake havitomuachia yeyote eneo lake la kusini baada ya ziara yake ya k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 19, 2022

Colombia kufanya uchaguzi wa Rais leo Jumapili

Raia wa Colombia watampigia kura rais mpya leo Jumapili katika uchaguzi uliojaa sintofahamu. Mwanaharakati wa zamani Gustavo Petro na mf . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 19, 2022

Wanajeshi wa Sri Lanka wafyatua risasi kudhibiti ghasia za mafuta

Wanajeshi wa Sri Lanka walifyatua risasi katika mji wa Visuvamadu, karibu kilometa 365 kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Colombo ili . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 19, 2022

Ujerumani kuchukua hatua za dharura ili kukidhi mahitaji yake ya nishati

Serikali ya Ujerumani imefahamisha leo jumapili kuwa itachukua hatua za dharura ili kuhakikisha inakidhi mahitaji yake ya nishati baada ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 19, 2022

Mashirika ya kibinadamu yanataka Tanzania kusitisha shughuli ya kuwahamisha Wamaasai

Watetezi wa haki za kiraia na mawakili wa jamii ya wamaasai, wanaendelea kuishinkiza serikali ya Tanzania kuachana na mpango wa kuwafu . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • June 19, 2022

Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edwa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 18, 2022

DRC yafunga mipaka yake yote na Rwanda

Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imefunga mipaka yake yote na Rwanda huku hali ya miwavutano kati ya nchi hizo mbili ikien . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 18, 2022

Wanaharakati wakemea vikali wanaoshabikia matumizi na ukuzaji bangi uhalalishwe

Wanaharakati wa kupambana na mihadarati eneo la Pwani wamepinga vikali sera za baadhi ya wagombea urais, zinazolenga kuhalalisha matumiz . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

K2GA ANAJAMBO LAKE LEO

Msanii wa bongo  flave k2ga kutoka kundi la kings music  ametangaza kuachia ngoma mpya mchana wa leo. Kupitia kurasa zake za mit . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA MAKATIBU WAKUU

. . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

Waasi waua wanakijiji 7 Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kundi la waasi limewashambulia na kuwaua wanakijiji 7 kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, taifa ambalo linaandamwa na vit . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

Marekani yalaani matamshi ya kumdhihaki mtume Mohammed

Marekani imelaani vikali matamshi yaliyotolewa na maafisa wa chama tawala nchini India cha BJP kuhusu mtume Mohammed ambayo yamezusha ha . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

WHO yatoa wito wa mageuzi ya huduma ya afya ya akili

Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa leo limetoa wito wa kufanyika mageuzi kwenye mifumo ya afya ya akili duniani likisema kuna ongezeko la . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

Marekani yaitaka Russia kuheshimu haki za Wamarekani waliotekwa Ukraine

Marekani Alhamisi imeitaka Russia kuwachukilia Wamarekani wote wa kujitolea walioshikwa mateka wakati wakipigana upande wa wanajeshi wa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

Wasichana 35 waliokua wanatumiwa kama watumwa wa ngono waokolewa Nigeria

Polisi wa Nigeria wamesema wamewaokoa wasichana 35 kutoka hoteli walimokuwa watumwa wa ngono na kisha kulazimishwa kupata ujauzito na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

Waandishi wa habari Ethiopia bado wanafanya kazi zao kwa mashaka

June 18 ni miezi saba tangu Dessu Dulla alipowekwa jela. Mwandishi wa habari raia wa Ethiopia kutoka Oromia News Network (ONN) anashutum . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

LOLIONDO MAMBO YAWA MAGUMU

Wakati Serikali ikisema uwekaji mipaka katika pori la Loliondo unaendelea vizuri, Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • June 17, 2022

Konde Boy Amwagia Paula Mamilioni Pesa

Paula Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye aliapa kwamba labda afe ndipo mama . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

Marekani imetangaza kuongeza kiwango cha riba

Benki kuu ya Marekani ilitangaza Jumatano kuwa itapandisha viwango vya riba kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha . . .

bungeni
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

SPIKA WA BUNGE" MAWAZIRI WATORO WAJE SASA HIVI BUNGENI"

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawapo ndani ya ukumbi wa Bunge na . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

DIAMOND AMPONGEZA HAJI MANARA

Msanii wa bongo fleva  Nassibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amempongeza Msemaji wa Young Africans Haji Sunday Manara, kufuatia Klabu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

Navalny apelekwa gereza la masugu

Mkosoaji wa serikali ya Urusi aliyefungwa jela, Alexei Navalny, amesema amehamishiwa kwenye kile kinachotajwa kuwa moja ya gereza la kutis . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

Rais Mpya wa Somalia amemteua Hamza Barre kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo

Rais mpya wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, amemteua mbunge kutoka baraza kuu la bunge Hamza Abdi Barre kuwa Waziri Mkuu mpya. Mohamud . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

Uingereza yasitisha zoezi la kuwahamisha waomba hifadhi kwenda Rwanda

Serikali ya Uingereza imelazimika kufuta safari ya kundi la kwanza la wahamiaji waliotarajiwa kuwasili nchini Rwanda . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

RAIS UHURU KENYATTA AWAKERA MAAFISA WA SOMALIA

RAIS Uhuru Kenyatta alijipata pabaya baada ya kualika maafisa wa jimbo la Somaliland katika dhifa iliyohudhuriwa na balozi wa Somalia, J . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

Khalwale afukuzwa kikaoni kwa kuvumisha mwaniaji wa ODM

VURUGU zilitokea katika mkutano wa kampeni wa Muungano wa Kenya Kwanza katika Kaunti ya Kakamega, baada ya wafuasi wa Seneta Cleophas Ma . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • June 16, 2022

Bashungwa atoa maagizo kuhusu michango shuleni

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewaagiza wakuu wa shule nchini . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

AFANYA MAZISHI YA KUMDHIHAKI MKE WAKE

Mwanamume mmoja katika kijiji cha Emakhwale, kaunti ya Kakamega amewaacha wakazi wa eneo hilo na mshangao baada ya kufanya mazishi ya kejeli . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Aliyetuhumiwa kumbaka mama yake ahukumiwa jela miaka 30 na kulipa fidia Milioni moja’

Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limefanikiwa kumkamata Mtuhumiwa na Mfanyabiashara Kaloli Mkusa mwenye umri wa miaka 30 ambaye alihukumi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

WAFANYABIASHARA WA BUKOBA WA OMBA WAFANYIWE HAYA NA RAIS SAMIA

. . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

USAFIRI NA USAFIRISHAJI KATIKA ENEO LA MTUKULA UKO HIVI

. . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Mwanamke asakwa kwa madai ya kuhepa na gari la mpenzi

POLISI wanamsaka mwanamke aliyetoroka na gari la mpenzi wake baada ya wawili hao kuwasili katika mji wa Naivasha kubarizi. Kulingana na rek . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Rais wa Venezuela afanyxa ziara ya kushtukiza Qatar

Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amewasili Qatar katika ziara ya ghafla katika taifa hilo lenye utajiri wa nishati ambalo siku za nyuma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Biden kuzuru Saudi Arabia na Israel

Rais Joe Biden wa Marekani amethibitisha kufanya ziara nchini Saudi Arabia mwezi ujao kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa taifa hilo . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Waasi washambulia kusini/mashariki mwa Ethiopia

Maafisa wa serikali ya Ethiopia wamesema waasi wameushambulia mji wa kusini/mashariki wa taifa hilo wa Gambella na kusababisha makabiliano . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Somalia iliishutumu Kenya kwa kukiuka mamlaka yake ya kujitawala

Somalia iliishutumu kenya kwa kukiuka mamlaka yake ya kujitawala baada ya mwakilishi wa eneo lililojitenga la Somaliland kualikwa Jumann . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • June 15, 2022

Uingereza imefuta safari ya ndege ya waomba hifadhi wahamiaji kurudishwa Rwanda

Uingereza imefuta safari ya ndege iliyokuwa imepangwa kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda siku ya Jumanne jioni baada ya mahakama ya . . .

Kurasa 213 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category