Takriban watu 46, wanaoaminika kuwa wahamiaji, wamepatikana wamefariki kwenye lori lililotelekezwa viungani mwa San Antonio, Texas. Afisa . . .
Maafisa wa polisi eneo la Mikindu, Kaunti ya Meru wameanzisha uchunguzi baada ya afisa mkuu wa polisi kupatikana akiwa amefariki dunia katik . . .
URUSI imeshindwa kulipa deni lake la kitaifa kwa mara ya kwanza katika karne moja iliyopita. Hali imetajwa kuchangiwa na vikwazo vingi vya . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia na afisa mkuu wa chama cha Ennahdha chenye kufuata misingi ya kiislam, Hamadi Jebali aliachiliwa huru s . . .
Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2022 unaoanza kujadiliwa leo umependekeza faini ya Sh100,000 kwa kampuni itakayoshindwa kuwasilisha . . .
Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watoto waliokufa kutokana na mitetemeko ya ardhi nchini Afghanistan sasa imefikia 155. Asasi ya misaad . . .
Viongozi wa nchi 7 tajiri duniani wameahidi kutenga kiasi cha dola bilioni 600 kwa ajili ya kujenga miundo mbinu ya kupamabana na ath . . .
Mwili wa mchimba dhahabu Tom Okwach ulipatikana Jumapili, baada ya siku 205, tangu timbo la Abimbo, Kaunti ya Siaya, kuporomoka De . . .
“Hapa kuna watu wametoa ushuhuda na mimi nataka nitoe wangu. Mimi mwenzenu nilijiunga na EOTF mwaka 1997 nikiwa kama mmoja wa Bodi ya . . .
Gleycy Correia ni aliyekuwa Miss Brazil mwaka 2018 ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 27 baada kufanyiwa upasuaji (sajari) kuto . . .
Maafisa wawili wa polisi waliuawa na mmoja kujeruhiwa katika shambulizi dhidi ya kituo cha polisi kaskazini magharibi mwa Benin siku y . . .
Rais wa Niger Mohamed Bazoum siku ya Jumapili alipongeza maendeleo katika kupambana na Boko Haram na wapiganaji wa kundi la Islamic Stat . . .
Serikali imepunguza tozo ya ving’amuzi nchini kufikia Sh500 hadi Sh2000 kwa kadri ya matumizi ya mteja baada ya majadiliano na Kamati . . .
Urusi imesema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa mashariki mwa Ukraine wa Sieverodonetsk. Wizara yake ya Ulinzi imesem . . .
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma anapanga kupinga ripoti ya mahakama kuhusu uchunguzi wa ufisadi mwingi uliojitokeza katika utaw . . .
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wa Morocco AMDH, wametaka uchunguzi ufanywe kufuatia vifo vya wahamiaji 23 wa kiafrika walipokuwa . . .
Bunge la Somalia limemuidhinisha bila kupingwa Hamza Abdi Barre kuwa waziri mkuu wa 21 wa nchi hiyo. Wabunge wote 220 waliokuwemo bungeni . . .
Maelfu na maelfu ya Wamarekani wameandamana Jumamosi siku moja baada ya Mahakama Kuu kugeuza sheria ya miaka 50, maarufu kwa jina la R . . .
SERIKALI Kuu sasa imepata idhini ya kuchukua mkopo wa hadi Sh10 trilioni kutoka Sh9 trilioni baada ya maseneta kupitisha pendekezo la Wi . . .
MARAIS wa Afrika Mashariki wameidhinisha kuundwa kwa kikosi maalum cha kudumisha amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). K . . .
Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa mashariki mwa Afghanstan mapema leo na kusababisha vifo vya karibu watu 920. Maafisa wamesema mamia ya . . .
Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS Prof. Dos Santos Silayo ametoa wito kwa wataalamu wa sekta ya misitu . . .
Kampuni ya nishati ya Glencore imekiri jana kutoa rushwa ya dola milioni 26.5 kwa mataifa matano ya Afrika katika juhudi zake za kupata ma . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amezungumza kwa simu na rais mpya wa Colombia Gustavo Petro hapo jana, na kuzungumzia ushirikiano katika masual . . .
Rais wa Indonesia na Mwenyekiti wa kundi la nchi G20 zilizoendelea zaidi na zinazoendelea kiuchumi, Joko Widodo, hiv . . .
Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman anatarajiwa kufanya kuzuru Uturuki Jumatano hii, Juni 22 kwa ziara ya ki . . .
Rais wa Malawi Lazarius Chakwera Jumanne amempokanya mamlaka yote makamu wake Saulos Chilima baada ya kiongozi huyo kutajwa katika kashf . . .
Makampuni ya Saudi Arabia na Misri yalisaini mikataba yenye thamani ya dola bilioni 7.7 wakati wa ziara ya mwanamfalme wa Saudia mjini . . .
Iran iliwanyonga zaidi ya watu 100 katika miezi mitatu ya kwanza ya 2022, hali ya kutisha ambayo inazidi kuongezeka, kulingana na ripoti . . .
Ofisa mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha . . .
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mt . . .
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuing'ang'ania Wizara ya Nishati kuhusu mradi wa bwawa la umeme la Mwalimu Julius Nyerere . . .
Msanii Wa Muziki Wa Hip Hop Kutoka Nchini Marekani Rapa Fat Joe Ambaye Huwezi Kumzungumzia Bila Kuitaja Ngoma Ya Lean Back Na Nyingine Nying . . .
Miss chanty ni moja kati ya mwanadada ambaye alipata umaarufu kwa kuwa kwenye mahusiano na mchekeshaji kutoka nchini Kenya eric omondi ambay . . .
Hailey Bieber ametoa taarifa kuhusu kupona kwake kutokana na kiharusi cha hivi majuzi na pia afya ya mumewe, Justin Bieber.Hailey Bieber ana . . .
Vyama vikuu vya kisiasa nchini Ufaransa vilikuwa vikicheza dau kubwa kwa uchaguzi huu wa wabunge mwaka wa 2022, laki . . .
Mamia ya watu wameandamana Jumapili katika mji mkuu wa Tunisia wakipinga mpango wa kura ya maoni kubadili katiba na hatua ya hivi kari . . .
Kwa mara ya pili katika historia ya Marekani, Juni 19 maarufu kama “Juneteenth,” ni siku rasmi ya sikukuu ya serikali kuu. Laki . . .
Seneta wa Nairobi Johson Sakaja ameendeleza makombora yake dhidi ya ‘deep state’ kwa kile anachodai ni njama ya kumfungia nje ya uchaguz . . .
Serikali imetaja sababu za kufutika kwa maandishi kwenye risiti za mashine ya kodi ya kielektroniki (EFD) kwamba inatokana na kuchap . . .