Jeshi nchini Togo limeomba msamaha kwa kuwaua vijana saba ambao linasema lilifikiri ni wanajihadi. . . .
Mwanasiasa wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu, ameanza maandalizi ya kuwania urais mwaka ujao baaya kongamano la . . .
SERIKALI ya Jubilee inaendelea kuongezea Wakenya mzigo wa madeni muda wake wa kwenda nyumbani unapokaribia kwa kukopa Sh300 bilioni zaid . . .
Mali Alhamisi imesema kwamba inasitisha kubadilishana zamu wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kwa sababu za 'usalama wa kita . . .
Mahakama moja ya wilaya mjini Stockholm, Sweden, Alhamisi imemuhukumu afisa wa zamani wa Iran kifungo cha maisha jela kwa uhalifu wa kiv . . .
Familia ya Donald Trump imesema mke wa rais huyo wa zamani wa Marekani, Ivana Trump alifariki mjini New York akiwa na umri wa miaka 73 . . .
Uganda Alhamisi imesema watu kadhaa walifariki kwa sababu ya njaa katika moja ya maeneo maskini nchini humo, huku maafisa wa eneo hilo . . .
Serikali imesema inatambua mchango wa mafundi sanifu nchini katika kuufikia uchumi wa kidijitali unaokwenda sambamba na matokeo ya ubuni . . .
Tanzania imepokea chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm dozi Milioni tatu (3,000,000) ambazo zitawasaidia kuwakinga wananchi 1,500,000 dh . . .
Wabunge wa chama cha tawala nchini Uingereza cha Conservative watapiga kura leo katika duru ya pili ya mchujo wa wagombea wanaowania kumri . . .
Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa leo ameondoka kutoka visiwa vya Maldives alikowasili jana baada ya kuikimbia nchi yake kufuatia shi . . .
Familia moja katika mtaa wa Rupingazi Mji wa Embu imejawa masikitiko na uchungu kufuatia kutoweka kwa watoto wao pacha wenye umri wa miaka 1 . . .
Mazungumzo ya amani kuhusu Sudan Kusini, yanayosimamiwa na kituo kimoja cha kanisa katoliki nchini Itali, yameanza . . .
Wizara ya mambo ya kigeni ya Urusi, imeyatuhumu mataifa ya Marekani na Uingereza kwa kuwapa mafunzo wanajeshi wa U . . .
Mamlaka ya Marekani ya kukagua ubora wa chakula na dawa (FDA) imeidhinisha matumizi ya chanjo ya Covid 19 ya Novavax Jumatano, na hivo . . .
Jaji mmoja nchini Gambia Jumatano alimuweka hatiani mkuu wa zamani wa ujasusi na maafisa wengine wa ujasusi kwa mauaji ya mwaka 2016 ya . . .
Klabu ya Simba juzi ilimtambulisha kocha mkuu, Zoran Maki ambaye ameelewa matumaini mapya ndani ya klabu hiyo msimu ujao na akiwataka wa . . .
Kocha Mkuu wa Yanga, amefurahia usajili uliofanywa na uongozi mpaka sasa lakini akaahidi kutakuwa na mabadiliko makubwa kikosini na amewat . . .
Madiwani wa Jiji la Arusha wamemshukia Mkuu wa Mkoa huo, John Mongela wakidai amewadhalilisha kwa kuwaita wapika majungu, wafitini na w . . .
Baadhi ya wanafunzi waliorejea shuleni baada ya kukatisha masomo kutokana na ujauzito wameomba kujengewa hosteli ambazo zitawasaidia kui . . .
Ndivyo unavyoweza kumwelezea Rished Bade, ambaye aliwekwa kando kwa miezi 79 tangu alipoondolewa katika wadhifa wa Kamishna Mkuu wa Mamlak . . .
Sri Lanka imetangaza hali ya dharura baada ya Rais Rajapaksa na mke wake kukimbilia nchini Maldives, saa chache kabla ya kufika kwa . . .
Mgombea urais wa Azimio La Umoja, Raila Odinga, ameahidi kuchunguza chanzo cha utajiri wa Naibu Rais William Ruto iwapo atashinda uchaguzi w . . .
Rais wa Marekani, Joe Biden, juma hili anaanza ziara ya kutembelea nchi za mashariki ya Kati, ikiwemo nchi za Israel . . .
Katika mashindano ya kandanda barani Ulaya kuwania ubingwa wa wanawake yanayoendelea huko England jana ilikuwa zamu ya kundi B kucheza mec . . .
Waziri Mkuu wa Slovania, Robert Golob ametetea uamuzi wa kufanya matengenezo ya bomba la gesi linaloleta nishati hiyo kutoka Urusi hadi . . .
Baraza la Umoja wa Ulaya linalowakilisha nchi wanachama 27 limeidhinisha kuipa Ukraine msaada wa fedha wa Euro bilioni moja wakati ambapo . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu kwa mas . . .
SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi amefutilia mbali kikao maalum ambacho kiliratibiwa kufanyika leo Jumatano, Julai 13. Kwenye taarifa . . .
Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza imefikia makubaliano na klabu ya Napoli ya nchini Italia juu ya uhamisho wa Beki wao Kalidou Koulibal . . .
Wabunge nchini Sri Lanka wamefikia muafaka wa kumchagua rais mpya wa nchi mapema wiki ijayo lakini, licha ya kufikia muafaka huo bad . . .
Marekani inadai ushindi mwingine dhidi ya kundi la Islamic State, ikisema ilimsaka, kumlenga na kumua mmoja wa viongozi wa tano wa ngazi . . .
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa inaelezwa kuwa anatafakari kulikimbia taifa hilo la kisiwa kwa kutumia boti ya doria ya jeshi la w . . .
Jeshi la Ukraine linasema limeanza operesheni ya kujibu mashambulizi ya wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti sehemu ya eneo la kusini la Kherso . . .
Maofisa wa umoja wa Mataifa, juma hili wametangaza kuanzisha uchunguzi kuhusu kujeruhiwa na mauaji ya watoto yaliyof . . .
Maelfu ya wandamanaji nchini Sri Lanka wameendelea kupiga kambi katika makazi ya rasimi ya rais na yale ya waziri mk . . .
Mapigano ya risasi kati ya magenge hasimu yamesababisha vifo vya watu 50 tangu Ijumaa karibu na mji mkuu wa Haiti wa Port-au-Prince, Mey . . .
Mmoja kati ya watoto pacha waliotenganishwa Julai Mosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendele . . .
KINYANG’ANYIRO cha kiti cha urais kimekumbwa na hali ya suitofahamu baada ya kuwasilishwa kwa kesi ya kumtimua mwaniaji urais wa chama . . .
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi leo ametowa tahadhari kwamba nchi zinapaswa kujiepusha kutumiwa na nchi zenye nguvu katika kanda . . .