logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

OFISA WA TRC AFUKUZWA KAZI

Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas A . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

WAPANGAJI KULIPA ASILIMIA 10 YA KODI YA TRA.

Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili k . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Magavana Wapya Wanarithi Madeni Na Mzigo Mkubwa Wa Mishahara

Madeni, bajeti kubwa ya mishahara, miradi iliyokwama na migomo ya wafanyakazi ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili magavana 37 wapya wa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Ahukumiwa Miaka 5 Jela kwa Kujifanya Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa.

Mahakama ya Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imemhukumu Raymond Bwire (28) kifungo cha miaka mitano jela kwa kujifanya mkurugenzi mkuu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Taliban wasema hawajaupata miwili wa kiongozi wa alQaeda.

Msemaji wa kundi la Taliban Zabihullah Mujahid amesema leo kuwa bado hawajaupata mwili wa aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa Al-Qae . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Rais wa Angola aongoza katika matokeo ya mapema ya uchaguzi

Angola inasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi ulioshuhudia kinyangan'yiro kikali katika historia yao ya kidemokrasia. Matokeo ya mapema yana . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Karani Aliyetoweka na Laki Sita za Sensa .

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Vanessa Mdee "Naombeni Mnilipe Pesa Zangu"

Supastaa @vanessamdee leo Alhamisi ameamka na mood ya kukusanya madeni yake, kupitia ukurasa wake wa twitter asubuhi hii ameitolea uvivu kam . . .

ukraine
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Watu 22 wauawa katika shambulio la Russia kwenye kituo cha treni-Zelenskiy

Takriban watu 22 wameuawa na darzeni kujeruhiwa Jumatano katika shambulio la kombora la Russia kwenye kituo cha treni cha Ukraine, Rais Volo . . .

Siasa
  • Na Asha Business
  • August 25, 2022

Ripoti ya Upasuaji wa Maiti Yabainisha Kilichomtoa Uhai Afisa wa IEBC Gichugu.

Baada ya kifo cha aliyekuwa afisa msimamizi wa uchaguzi Gichugu, Geofrey Gitobu kutiliwa shaka na wengi, matokeo ya upasuaji yamebainisha al . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Angola yafanya Uchaguzi mkuu

Waangola milioni 14 wanafanya Uchaguzi Mkuu Jumatano hii, Agosti 24 kumchagua rais wao mpya na wabunge. Vyama saba vya siasa na muungano vin . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Ukraine yaadhimisha miaka 31

Ukraine inaadhimisha miaka 31 tangu ijitangazie uhuru kutoka uliokuwa Muungano wa Sovieti, huku ikitimiza miezi sita kamili tangu kuvamiwa n . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

HALI TATA KWA RAILA ODINGA.

Huenda mgombea urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga akajipata kwenye hali tata Mahakama ya Upeo ikiamua uchaguzi wa marudio ufanyike uki . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

MBUGE AMUUA MPINZANI WAKE

Mbunge mteule wa Kimilili Didmus Barasa amekana mashtaka ya kumuua mlinzi wa mpinzani wake siku ya uchaguzi mkuu mapema mwezi huu.Mbunge huy . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Kocha Simba ‘Maki’ Atoa Sababu ya Nahodha Wake John Bocco Kutooneka uwanjani.

BOSI wa benchi la ufundi la Simba, Zoran Manojlovic ‘Maki’, ameweka wazi kuwa matakwa ya kimfumo ambao anautumia ndiyo sababu kubwa ya k . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Rais wa Somalia "nitatokomeza kundi la al shabab.

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud Jumanne ameahidi vita vikali kutokomeza kundi la Al Shabab katika taarifa yake ya kwanza kwa taifa tan . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Sababu Za Vyombo Vya Habari Kusitisha Ghafla Upeperushaji Matokeo Ya Kura Za Urais

BARAZA la Vyombo vya Habari Nchini (MCK) sasa linasema kuwa uamuzi wa kusitisha uwasilishaji wa matokeo ya uchaguzi wa urais moja kwa moja u . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 24, 2022

Polisi Wasimamishwa kwa Kumpiga Raia

Polisi watatu katika jimbo la Arkansas nchini Marekani, wamesimamishwa kazi kutokana na video iliyozaagaa mitandaoni ikiwaonesha wakimpiga m . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

WANAMICHEZO WA SUDANI KUHAMIA KWA MKAPA

Klabu ya Zalan ya Sudan Kusini imewasilisha rasmi maombi ya mechi zao zote dhidi ya Mabingwa wa Tanzania Yanga zichezwe hapa nchini kwenye U . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Mkutano wa kilele wa matiafa matano ya Kiarabu kuanza leo

Serikali ya Misri imesema Rais wa taifa hilo, Abdel Fattah al-Sisi leo hii anakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa mataifa matano ya Kiarab . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Kigogo Tume ya Uchaguzi Kenya afariki ghafla

Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia j . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Waandamanaji dhidi ya gharama kubwa ya maisha wataka Waziri Mkuu ajiuzulu

Waandamanaji dhidi ya gharama kubwa ya maisha wamevamia mitaa mbalimbali ya miji ya Port-au-Prince, Les Cayes, Cap-Haitien na Gonaïves. Rai . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Donald Trump ataka kuzuia FBI kuchunguza stakabadhi zilizokamatwa nyumbani kwake

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump mnamo Jumatatu, Agosti 22, aliiomba mahakama ya shirikisho kuzuia kwa muda shirika la FBI kuchunguza . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe, Mama Mariam Mwinyi Washiriki Zoezi la Sensa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe, Mama Mariam Mwinyi leo Agosti 24, 2022 wameshi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Vipimo vyaonyesha waziri mkuu wa Finland hakutumia dawa za kulevya

Waziri mkuu wa Finland Sanna Marin hakuonekana kama alitumia dawa za kulevya katika kipimo cha matumizi ya dawa hizo alichofanya kufuatia ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

MSUMBIJI WAPEWA MSAADA WA DOLA 300 NA BENKI YA DUNIA

Benki ya dunia Jumatatu imetoa msaada wa dola milioni 300 kwa Msumbiji, kuashiria kurejea kwake nchini humo miaka sita baada ya kusitisha ms . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

MWALIMU AUAWA NA MWANAE.

Biwi la simanzi limevaa kijiji cha Migingo, katika Kaunti Ndogo ya Kadibo, baada ya Naibu Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Mig . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 23, 2022

Raila Aomba Korti Imtangaze Mshindi

Mwaniaji urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga amedai Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka na Rais Mteule William Ruto walikula . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

SHEKH WA MKOA WA MWANZA AOMBA MADRASA ZOTE MKOANI MWANZA KUFUNGWA .

Shekh wa mkoa  wa mwanza shekh Hasani Kabeke katika hatua za mwisho leo taehe 22- 8- 2022 amehamasisha sensa na kutoa maelekezo kwa ofi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Polisi yamfungulia mashtaka ya ugaidi Imran Khan,Pakistan

ISLAMABAD Polisi nchini Pakistan wamemfungulia mashitaka ya ugaidi waziri mkuu wa zamani Imran Khan na kusababisha kuuongeza mvutano wa kisi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Japan kupeleka zaidi ya makombora 1,000 Ili kukabiliana na tishio la China

Kufuatia mvutano unaoongezeka barani Asia tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, Japan inafanya kilio chini ya uwezo wake ili kupata uwezo . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Raila Odinga kuwasilisha kesi ya kupinga uchaguzi wa Leo Hii

Nchini Kenya macho yote sasa yanaelekezwa katika mahakama ya Juu zaidi baada ya Odinga kukataa matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyompa ushind . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

Vifo vya saratani vinasababishwa na Namna Watu Wanavyoishi.

Utafiti mpya umehitimisha kwamba maradhi ya saratani yanaweza kuzuilika kwa kudhibiti visababishi vya maradhi hayo kama matumizi ya tumbaku . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

KOREA KUSINI WAANZA KUFANYA MAZOEZI YA KIJESHI

Marekani na Korea Kusini wameanza luteka kubwa kabisa za pamoja za kijeshi za majira ya joto, ambazo ni kwanza kufanyika katika kipindi cha . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

MAGAIDI WAFANYA MASHAMBULIZI SOMALIA

Polisi wa serikali kuu ya Somalia wamesema Jumapili kwamba maafisa wa usalama wamemaliza kushikiliwa kwa  hoteli moja kwenye . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

WAZIRI WA ZAMANI WA GUINEA AFARIKI .

Lounceny Camara, mwenye umri wa miaka 62, ni miongoni mwa mawaziri wa zamani na maafisa waandamamizi walioshtumiwa ubadhirifu wa pesa za umm . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 22, 2022

WAKENYA WAKUMBWA NA UKAME

Takriban Wakenya milioni moja kutoka maeneo kame wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na ukame wa muda mrefu ambao umeathiri shughuli z . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 19, 2022

Rais Samia amteua Profesa Mwandosya Mwenyekiti wa Bodi Ewura

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Mark Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • August 19, 2022

XLIM JAY AUNGANA NA JAYWILLZ NDANI YA MARATHON

Xlim Jay ni Msanii kutoka nchini Nigeria Mwenye makaza Yake nchini Africa ya Musani ambaye amekuwa akifanya muziki kwa kipindi Kirefu na sas . . .

Mastaa
  • Na Nattyebrandy
  • August 19, 2022

APOGEE MUZIK NA NGOMA NYINGINE

Msanii wa Muziki wa Afro beat kutoka nchini Nigeria ambaye kwa sasa anaendelea kupasua anga ya Muziki akiwa na matarajio mkubwa ya kuendelea . . .

Kurasa 202 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category