Mahakama ya katiba nchini Angola imetupilia mbali madai ya chama cha upinzani UNITA kuyafuta matokeo ya uchaguzi yaliyokipa ushindi chama ta . . .
AZAM FC imefikia makubaliano na Denis Lavagne, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zake za nyumbani.&nb . . .
URUSI inanunua mamilioni ya makombora ya mizinga na roketi kutoka Korea Kaskazini, kulingana na ripoti mpya za kijasusi zilizotolewa n . . .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kufanya kazi na Rais Mteule William Ruto pamoja na Naibu Rais mteule Rigathi Gachagua, baada ya Rais . . .
Takribani raia 35 waliuawa na 37 walijeruhiwa kaskazini mwa Burkina Faso siku ya Jumatatu wakati gari lililokuwa kwenye msafara lilipokanyag . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli (MCSL), Erick Hamisi amesema ujenzi wa meli ya MV Mwanza umefika asilimia 71 na inatarajiwa kua . . .
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula ameagiza kuondolewa kazini Mkurugenzi wa Tehama wa wizara hiyo, Venance M . . .
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, (PIC) imesema mapato ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), yameongezeka kutoka Sh58 bil . . .
Watu wasiopungua saba wamekufa hii leo baada ya tetemeko la ardhi kuupiga mji wa Kangding ulio katika jimbo la kusini magharibi mwa China la . . .
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madha . . .
. . .
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Upeo Martha Koome hatimaye ametangaza kuafiki uamuzi wa ushindi wa Rais Mteule William Ruto, kwenye kesi iliyowasil . . .
TFF yatoa ufafanuzi dhidi ya usajili wa wachezaji wa kigeni na hii ni kutokana na sakata la timu ya yanga. . . .
Waziri Mkuu wa Ukraine Denys Shmyhal alikaribishwa mjini Berlin na heshima ya kijeshi wakati nchi hiyo ikitafuta silaha zaidi nzito kwa ajil . . .
Polisi nchini Canada inawasaka washukiwa wawili katika tukio ambalo watu kumi waliuawa kwa kuchomwa kisu na wengine karibu 15 kujeruhiwa kat . . .
Rapper Kanye West ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa hisia zake juu ya wimbo wa Wizkid “Essence ” akiutaja kama wimbo bora toka hi . . .
Mahakama ya Juu ya Milimani ya Kenya inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu leo Jumatatu Septemba 5, 2022 saa s . . .
Kwa miezi kadhaa sasa, chama cha NCCR- Mageuzi kimekumbwa na mgogoro uliokigawa makundi mawili, moja linaloungwa mkono na Mwenyekiti Mbatia, . . .
Shambulio hilo lilitokea usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi, na kuua takriban raia 19, kulingana na ripoti ya hivi punde. Wiki mbili zilizopit . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya siku ya Ijumaa, ilishutumu timu ya wanasheria ya Muungano wa Azimio kwa kuwasilisha kumbukumbu . . .
Jeshi la Polisi linapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa kutakuwa na uzinduzi wa kampeni maalum ya mwezi mmoja unaojulikana kama msamaha wa . . .
Serikali ya Tanzania imesema asilimia 50 ya mahitaji ya mbolea ya ruzuku imeshaingizwa nchini kabla ya msimu wa kilimo wa 2022/23 kuanza.Hat . . .
Qatar itawaruhusu mashabiki kununua bia zenye kileo katika mechi za soka za kombe la dunia saa tatu kabla ya kuanza na kumalizika kwa filimb . . .
Kwa mara ya kwanza Watanzania wamechaguliwa kuwa sehemu ya Kamati ya Scouts Afrika ambapo Mkutano Mkuu ulifanyika Nairobi, Kenya Agosti 25 h . . .
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imewatimua viongozi wa Halamashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera baada ya kut . . .
Kampuni ya Mawasiliano ya @vodacomtanzania imezindua huduma ya mpya teknolojia ya 5G ikisema italeta mapinduzi na kuongeza ushirik . . .
Watu wengi huona kunywea chai ya moto kuwa kuburudisha, lakini chai ya mchaichai inaweza kutoa manufaa zaidi za kupunguza wasiwasi. Kulingan . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima amesema kuwa moto uliozuka na kuunguza Club ya Dallas iliyo ndani ya Mwanza Hoteli umedhibitiwa huku aki . . .
Uingereza inatarajiwa kuwa na waziri mkuu mpya wiki ijayo karibu miezi miwili baada ya kujiuzulu kwa Boris Johnson mwezi Julai kufuatia mful . . .
SI Yanga pekee inayopiga hesabu za kukutana na Al Hilal ya Sudan hata wao huko walipo ni kama wameshaivuka St Georges wanaiwaza Yanga.Yanga . . .
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Azam FC, Abdihamid Moallin amesema kwamba anaheshimu maamuzi ya uongozi wa timu hiyo baada ya kuondolewa kweny . . .
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuacha kulalamika kuhusu kulegalega kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NH . . .
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametaja chanzo cha kuelemewa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akisema magonjwa yasiyoambukiza, urasimu . . .
Mmoja wa vijana madaktari waliojiunga kwenye kikundi akizungumzia mradi wa zahanati walioijenga baada ya kupatiwa mkopo wa Sh110 milioni uli . . .
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto imemhukumu Amos Nyang’waji kifungo cha miaka minne jela au kulipa faini ya Sh1.2 milioni kwa kosa la kumchapa . . .
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Manyara, Georgina Matagi amewaweka mahabusu wamilikiwa wa shule tatu zilizoko Mjini Babati, kw . . .
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne Amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabi . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya . . .
Gavana mpya wa Kaunti ya Kiambu, Kimani Wamatangi, alizuru afisi za kaunti ndogo ya Thika mnamo Jumanne ili kupata picha halisi ya hal . . .
Mikhail Gorbachev, aliyekuwa rais wa Urusi, ambaye alimaliza vita baridi bila kumwaga damu lakini akashindwa kuzuia kusambaratika kwa Muunga . . .