logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

MTOTO WA DAVIDO AFARIKI DUNIA

Mtoto wa kiume wa Davido mwenye umri wa miaka 3  afariki dunia baada ya kuzama katika swimming pool katika nyumba yao huko Banana Islan . . .

Matukio
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

BINTI AZIMIA BAADA YA KUGUNDUA MAMA YAKE MZAZI ANA MAHUSIANO NA MPENZI WAKE

Binti alizimia baada ya kugundua mama yake mzazi ana mahusiano ya kimapenzi  na mpenzi wake na binti huyo aliamua kumuhoji mama yake ku . . .

Viwanda
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

Kiwanda Cha Iphone Bandia Chagunduliwa Msumbiji

Mamlaka zimegundua uwepo wa Kiwanda haramu kinachotengeneza Simu za Kampuni ya #AppleInc bandia katika Mji Mkuu Maputo, ambapo walinasa Simu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 31, 2022

Lula ashinda uchaguzi wa urais wa Brazil, Bolsonaro asalia kimya

Rais mteule wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva ametoa wito wa amani na umoja baada ya kushinda duru ya pili ya uchaguzi dhidi ya mpinzani w . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 31, 2022

MAMA AUA MTOTO WAKE NA KUMUWEKA KWENYE NDOO ZAIDI YA MIEZI 3

Polisi katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya, wamemkamata na kumzuilia mwanamke mwenye umri wa miaka 34, ambaye anatuhumiwa kumuua mwanawe m . . .

RIPOTI YA WATANI
  • Na Asha Business
  • October 31, 2022

YANGA NI MBINU MBINU FC TUTARUDI KUCHEZA NA SIMBA UWANJA WETU MPYA, WAZIRI WASHUGHULIKIE

. . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 31, 2022

SHABIKI AWAJIBU WANAOBEZA USHINDI WA YANGA

. . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 30, 2022

ZANU-PF yampitisha Mnangagwa kuwa mgombea wake 2023

Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF jana Jumamosi kimempitisha Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mgombea wake kwa uchaguzi mkuu ujao wa 2023. M . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 30, 2022

DRCongo yamtimua Balozi wa Rwanda mjini Kinshasa

Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo imemfukuza balozi wa Rwanda nchini humo Vincent Karega. Hatua hiyo inajiri wakati kundi la waasi la M23 amb . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 30, 2022

Takribani watu 150 wamekufa katika mkanyagano Korea Kusini

Takribani watu 150 wamekufa katika wilaya ya Itaewon mjini Seoul nchini Korea Kusini sehemu ambayo ni maarufu kwa burudani za usiku na kutem . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Elon Musk baada ya kukamilisha kununua mtandao wa Twitter aondoa viongozi

Baada ya Elon Musk kukamilisha ununuzi wa mtandao wa Twitter, ameanza kazi kwa kuondoa viongozi wajuu wanne (Top Executives) kwenye kampuni . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Asasi za kiraia zamtaka Macky Sall kutangaza kama atawania tena urais

Mashirika kadhaa nchini Senegal, yanamtaka Rais Macky Sall kuondoa shaka, na kutangaza hadharani kwamba hatagombea muhula wa tatu, jambo amb . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Saido Ntibazonkiza Aipania Yanga

kiungo wa soka ambaye alipata umaarufu mkubwa akiwa na Klabu ya Yanga, Saido Ntibazonkiza, amefunguka kuwa mechi yao ijayo dhidi ya Yanga, k . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Maambukizia ya kifua kikuu yaongezeka duniani

Ripoti mpya ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, inasema dadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa kifua kikuu, ikiwa ni pamoja na uwepo wa weny . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Amuoa Mkewe Kwa Mara ya Pili Bila Kujua

Garry Richmond, mwanaume aliyepoteza fahamu na baadae kuvutiwa na kumuoa aliyekuwa mke wake kwa mara ya pili bila ya kujua.Inaelezwa kuwa Ga . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Mwamba Awapachika Ujauzito Dada zake Watatu, Mama yao azirai Baada ya Kujua

Mkulima mmoja amewashangaza wengi baada ya kubainia kuwa aliwapachika mimba dada wake watatu wa tumbo moja.Ripoti zinasema kuwa ndugu hao w . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

FAHAMU KUHUSU TIBA YA MACHO KUTOKA ST CLARE HOSPITAL MWANZA

IDAARA ya macho ina sehemu kuu mbili nazo ni kliniki ya macho na chumba cha upasuaji wa macho.Jeh yapi magonjwa ya macho yanayo wakuta wengi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Walioondolewa Kazini kwa vyeti Feki

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa watumishi wote walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti warejeshewe michango yao waliyochangia kweny . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Mwanaume Mchafu zaidi Duaniani Afariki Dunia Baada ya Watu Kumchukua na Kumuogesha

Mwanamume mmoja wa Iran aliyepewa jina la ‘mtu mchafu zaidi duniani’ kwa kutooga kwa zaidi ya nusu karne amefariki dunia akiwa na umri w . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Mwanamke Afumaniwa Chumbani Akifanya Ngono na Mwanaye

Mwanamke  mwenye umri wa kati kutoka kaunti ya Meru, amenusurika kifo jana Jumanne, Oktoba 25, baada ya wakazi wenye hasira kumvamia ny . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

MASHABIKI WAMPANGIA NAMELESS KUPATA MTOTO WA KIUME

Msanii wa Kenya Nameless na mke wake Wahu Kagwi wamebarikiwa kupata mtoto wa tatu wa kike wiki tatu zilizopita na mshabiki wake wakitaka wap . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

KANYE WEST YAMKUTA MAZITO

Makampuni makubwa takribani 5 tayari yamevunja ushirikiano wa kibiashara na Kanye West kufuatia maneno na matamshi yake yenye ukakasi na kud . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

KOMBE LA DUNIA LA MARA YA KWANZA LILIKUA HIVI

Kombe la kwanza la dunia lilifanyika Uruguay,Kombe hilo lilifanyika mwaka 1930, wakati nchi hiyo ikiadhimisha miaka 1924 ya katiba yake ya k . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Msanii AT aje na jipya tena

AT ambaye ni msanii wa zamani ametoa taarifa rasmi ya kutokulitumia tena jina la AT na sasa akitambulika kwa jina la BEY.Bey @iamthebey amba . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Jeshi la Marekani lawaua waasi wawili wa Al-Shabaab nchini Somalia

Shambulizi la angani la jeshi la Marekani limewalenga waasi wa al-Shabab waliokuwa wakishambulia vikosi vya Jeshi la Taifa la Somalia, na ku . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Watu watatu wamekufa katika ujenzi wa viwanja Qatar

Shirikisho la soka duniani FIFA limesema watu watatu wamekufa katika miaka ya hivi karibuni katika maeneo ya ujenzi wa viwanja vitakavyotumi . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

BINTI ATUHUMIWA KWA UCHAWI

Flora juma mwenye umri wa mika 18, amabe alikua akifanya kazi za ndani katika familia moja iliyopo mtaa kombo masai, kata ya malolo mkoani t . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Waziri wa uchumi Japan ajiuzulu

Waziri wa Uchumi wa Japan, Daishiro Yamagiwa,  Jumatatu aliwasilisha barua ya kujiuzulu kutokana na mahusiano yake na kanisa la Unifica . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Harmonize kuja na album mpya ndani ya wiki hii

Msanii wa bongo fleva alimaarufu harmonize kuachia albumu yake ya tatu inayoitwa MADE FOR US  ndani ya wiki hii tarehe 28 mwezi hu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

MASAUNI AWATAKA TRAFIKI KUKAMATA MABASI YASIYO NA VIZIBITI MWENDO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi Nchini na Baraza la Taifa na Usalama barabarani kuhakiki . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Askofu Dkt. Gwajima Afanya Uteuzi wa Wasadizi Wake

Josephat Gwajima katika kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika suala zima la michezo amewateua wafuatao kuwa wasaidizi wa Mbunge kwe . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Shambulizi la 'kigaidi' nchini Burkina Faso laua wanajeshi 10

Jeshi la Burkina Faso, limesema wanajeshi wake 10 wameuawa jana Jumatatu, baada ya kushambuliwa katika eneo la Djibo, kaskazini mwa nchi hiy . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Watu watatu wafariki, saba wajeruhiwa baada ya kupigwa risasi shuleni

Takriban watu watatu, akiwemo mshukiwa wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya ufyatuaji risasi katika shule ya sekondari iliyopoSt L . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Paka aandika barua kwa mwenye nyumba akidai fidia Sh 150,000 kwa kupigwa

Paka wa ajabu ameibuka na kuzua taharuki miongoni mwa wakazi wa Mji wa Tunduma Mkoani Songwe ambapo wananchi wa eneo hilo wanadai kuwa paka . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

Mwandishi wa habari maarufu wa Pakistani auawa nchini Kenya

Mwandishi habari  maarufu wa Pakistan,Arshad Sharif ameuwawa kwa kupigwa risasi kichwani usiku wa kuamkia leo katika barabara kuu ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

HRW yatoa wito kwa Qatar kulinda haki za watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema polisi nchini Qatar, imewakamata na kuwanyanyasa wanachama wa Jamii ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

Nafasi ya mwenyekiti IEBC sasa iko wazi

Naibu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Juliana Cherera sasa ndiye atasimamia tume hiyo hadi mwenyekiti mwingine atak . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

Kikao cha Ronaldo na Erik ten Hag kufanyika leo

Cristiano Ronaldo leo siku ya Jumatatu atakuwa kwenye kika kizito na kocha wake, Erik ten Hag kujadili kile kilichotokea kwenye mchezo wao . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

Masha love Amchafua Jimmy Mafufu, KisaMimba

Masha Love kumchafua Muigizaji Jimmy Mafufu. Kiufupi Masha Love alikuwa mchepuko wa Jimmy. Watu hawa Wame-date kwa siri sana, hatimae Mim . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

Boris Johnson ajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Waziri Mkuu mpya

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson Jana alijiondoa katika kinyang'anyiro cha kumrithi Liz Truss  kama kiongozi wa nch . . .

Kurasa 192 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category