logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
DINI
  • Na Asha Business
  • May 26, 2026

Mamilioni wakusanyika Arafat katika kilele cha ibada ya Hajj

Idadi kubwa ya waumini wa dini ya Kiislamu wamekusanyika leo katika uwanja wa Arafat, hatua inayotajwa kuwa kilele cha ibada ya Hajj na moja . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 26, 2026

Marekani yafanya mashambulizi mapya nchini Iran

Mashambulizi ya Marekani dhidi ya mji wa bandari wa Bandar Abbas kusini mwa Iran yameibua wasiwasi mpya kuhusu hatima ya mpango wa usitishaj . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 26, 2026

Mexico Yakubali Kuwa Mwenyeji wa Timu ya Iran Kombe la Dunia 2026 Kufuatia Mvutano na Marekani

Rais wa Mexico Claudia Sheinbaum ametangaza kuwa nchi hiyo itaihifadhi timu ya taifa ya Iran wakati wa mashindano ya 2026 FIFA World Cup baa . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 26, 2026

Marekani Yashambulia Boti za Iran Zilizokuwa Zikiweka Mabomu Baharini

Jeshi la Marekani kupitia United States Central Command (CENTCOM) limethibitisha kufanya mashambulizi ya kujilinda dhidi ya maeneo ya kijesh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 26, 2026

Marekani yatekeleza mashambulio mapya kusini mwa Iran

Marekani inasema wnanajeshi wake wametekeleza mashambulio mapywa, Kusini mwa Iran kulenga vituo vyake vya makombora na boti zinazotumiwa kut . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 26, 2026

Nchi jirani na DRC zatakiwa kuchukua hatua kukabiliana na Ebola

Shirika la afya duniani WHO limeonya kwamba mataifa Jirani na nchi ya DRC yanakabiliwa na hatari kubwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Ebo . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 25, 2026

Mbeto: Rais Mwinyi Agoma Kuvunja Katiba ili Abaki Madarakani Zanzibar

Chama Cha Mapinduzi kimepongeza uamuzi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Rais Dk Hussein Ali Mwimyi kwa kushind . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 25, 2026

Kiongozi Mkuu Wa Iran Adaiwa Kujificha Mahali Pasipojulikana

Viongozi wakuu wa Iran wanadaiwa kuingia katika hali ya tahadhari kubwa ya kiusalama kufuatia hofu ya mashambulizi mapya baada ya vita vya h . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 25, 2026

Trump: Hatuna haraka ya kufikia makubaliano na Iran

Rais wa Marekani amesema kuwa mazungumzo yanaendelea “kwa utaratibu na kwa njia yenye kujenga,” na kusisitiza kuwa hana haraka ya kufiki . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 25, 2026

Spika wa Bunge la Senegal atangaza kujiuzulu

Spika wa Bunge la Senegal ametangaza kwamba atajiuzulu wadhifa huo siku mbili baada ya mshirika wake wa karibu Ousmane Sonko kuvuliwa uwazir . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • May 25, 2026

Mamlaka za DRC zatangaza visa 900 vinavyohusiana na Ebola

Mamlaka za nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimesema visa vinavyohisiwa kuwa vya Ebola vimeongezeka na kufikia 900, katikati ya mlipu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 25, 2026

Wafungwa wachukua udhibiti wa gereza wakitaka mageuzi

Mamia ya wafungwa katika gereza la jiji la Barinas nchini Venezuela wamechukua udhibiti wa gereza hilo hapo Mei 24,2026 kwa madai ya kuteswa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 24, 2026

Makubaliano ya amani ya Iran yakaribia kukamilika

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema makubaliano ya awali kuhusu amani kati ya Marekani na Iran yako karibu kukamilika, huku matumaini ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 24, 2026

WAZIRI MKUU "MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI"

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uc . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 24, 2026

Waziri Mkuu Ahimiza Malezi Ya Kimaadili Na Ushirikiano Wa Kijamii

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga ki . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 24, 2026

Rais mteule Romuald Wadagni kuapishwa rasmi

Rais mteule Romuald Wadagni, aliyetangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Aprili 12 nchini Benin, ataapishwa na kukabidhiwa rasmi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 24, 2026

Urusi yazidisha mashambulizi Ukraine

Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na droni dhidi ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, na kusababisha vifo vya watu wanne na wengine . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 22, 2026

Kamishna wa Polisi Tanzania Aingia Kwenye Orodha ya Vikwazo vya Marekani

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Faustine Jackson Mafwele, chini ya kifungu cha 7031(c) kutokana na . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • May 22, 2026

Zaidi ya vituo 50 vya kutoa lishe vyafungwa Sudan

Nchini Sudan, zaidi ya vituo 50 vya kutoa lishe katika jimbo la Darfur Magharibi,vimelazimika kusitisha shughuli zao kutokana na kupungua kw . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 22, 2026

Kenya "Wadau katika sekta ya usafirishaji watangaza kumaliza mgomo wao"

Wadau wa sekta ya usafirishaji nchini Kenya, wametangaza kumaliza mgomo waliopanga kuufanya tena wiki ijayo baada ya majadilino na Rais Will . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 22, 2026

Manuel Neuer arejeshwa timu ya Taifa ya Ujerumani

Kipa mkongwe wa Timu ya Taifa ya Ujerumani, Manuel Neuer amerejeshwa kutoka kustaafu na kujumuishwa kwenye kikosi kitakachoshiriki Kombe la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 22, 2026

Mawaziri wa Kigeni wa NATO wanakutana Sweden

Mawaziri wa Mambo ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kujihami, NATO, wanakutana nchi Sweden leo Ijumaa.Huo ni mkutano wa kwanza wa ng . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 22, 2026

Ebola yatua mji wa Bukavu unaodhibitiwa na waasi wa M23

Kwa mujibu wa msemaji wa M23, mgonjwa huyo mwenye umri wa miaka 28 alitokea mjini Kisangani, lakini alifariki dunia kabla ya majibu ya vipim . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 21, 2026

Familia ya msanii aliyechomwa kwa madai ya kujichora chale ya Ruto mwilini yalilia haki

FAMILIA ya mwimbaji wa nyimbo za injili Rachel Wandeto aliyefariki baada ya kuchomwa imetoa wito kwa polisi kuharakisha uchunguzi kuhusu sha . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 21, 2026

DKT MWIGULU MGENI RASMI SIKU YA ZIWA VICTORIA, MWANZA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza ambapo anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha maadhimis . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 21, 2026

Kenya "Serikali yatakiwa kuchukua hatua dhidi ya mauaji ya wanawake"

Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya, yametoa muda wa siku 40 kwa serikali kushughulikia ongezeko la visa vya mauaji ya wanawa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 21, 2026

Sierra Leone yawapokea wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani

Sierra Leone  imekuwa taifa jingine la Afrika kuwapokea wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 21, 2026

Urusi na China zataka diplomasia ili kuvimaliza vita Ukraine

Urusi na China zimetoa wito wa kuimarishwa kwa juhudi za kidiplomasia ili kufanikisha suluhisho la kudumu kwa vita vya Ukraine.Hii ni kufuat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 21, 2026

WHO" Mlipuko wa Ebola, Kongo huenda ulianza muda mrefu"

Shirika la Afya Duniani WHO limesema mlipuko wa Ebola ambao tayari umesababisha vifo vya watu 130 nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo hue . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 20, 2026

NJOMBE YAIBUKA KITOVU CHA MADINI ADIMU, SOKO LAKE KUU LIPO CHINA

Serikali imetangaza kuwa Mkoa wa Njombe unatarajiwa kuwa kitovu kipya cha uwekezaji wa madini nchini baada ya kugunduliwa kwa madini adimu y . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • May 20, 2026

Wafanyabiashara wasalia kuhesabu hasara ya mgomo

WAFANYABIASHARA kote nchini jana walikuwa wakikadiria hasara kubwa kufuatia maandamano ya Jumatatu yaliyogeuka kuwa vurugu katika miji kadha . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 20, 2026

DRC: Upinzani waajaribu kuungana dhidi ya mabadiliko ya katiba

Upinzani nchini DRC unajaribu kuungana dhidi ya marekebisho ya katiba. Mnamo Mei 6, 2026, wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Rais Fé . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 20, 2026

Wanajeshi wa Rwanda kuendelea na oparesheni zao nchini Msumbiji

Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe, amesema nchi ya Msumbiji imefanikiwa kupata fedha kwa ajili ya vikosi vya Kigali vil . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 20, 2026

Ghana, Cote d'Ivoire kukutana mechi za kufuzu AFCON 2027

Ghana wamepangwa katika kundi moja na Cote d'Ivoire wakati draw ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2027 ilipofanywa jana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 20, 2026

Mawaziri wa fedha wa G7 wajadili hatua za kunyoosha uchumi

Mawaziri wa fedha wa nchi zilizostawi kiviwanda duniani za G7 wamekubaliana kuhusu haja ya kuchukua hatua ili kukabiliana na ukosefu wa usaw . . .

UTALII
  • Na Jembe Digital
  • May 15, 2026

TANZANIA KUTUMIA FIFA WORLD CUP 2026 KUTANGAZA UTALII WA AFCON 2027

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Wizara imeandaa mkakati wa kuitangaza Tanzania kama kivutio cha kipekee cha u . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 15, 2026

Faida 5 za Maji ya Limao Ambazo Watu Wengi Hawazijui

Maji ya limao ni kinywaji rahisi kinachotengenezwa kwa kuchanganya maji na juisi ya limao mbichi kunywa maji ya limao kila siku kunaweza kus . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • May 15, 2026

Jasinta Makwabe aweka wazi aina ya mwanaume anayemtaka

Mwanamitindo Jasinta Makwabe ameibua mjadala mtandaoni baada ya kuweka wazi kuwa hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye amemzidi ur . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • May 15, 2026

Yanga yaanza rasmi ujenzi wa uwanja wake wa kihistoria

Uongozi wa klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imetangaza rasmi kuingia katika hatua mpya ya kihistoria ya ujenzi wa uwanja wake . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • May 15, 2026

CDC yathibitisha mlipuko wa Ebola nchini Kongo

Mlipuko mpya wa ugonjwa hatari wa homa ya Ebola umethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na tayari umesababisha vifo vya watu 6 . . .

Kurasa 22 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category