logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 13, 2026

BODI YA USHAURI YA TARURA YAKAGUA BARABARA ZA KUINGIA UWANJA WA AFCON ARUSHA

Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imefanya ziara ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya barabara za kuingili . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 13, 2026

Watumiaji dawa za kulevya hatarini kuugua saratani ya kinywa

WATUMIAJI wa dawa za kulewamo hatarini zaidi ya maradhi ya kinywa, huku uharibifu wa meno ukiwa Kwa kiwango kikubwa, ukilinganisha na watu w . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 13, 2026

Ng’ombe, mbuzi na kondoo kupewa vitambulisho

SERIKALI imeanza kutekeleza mfumo mpya wa kitaifa wa kutambua na kufuatilia mifugo unaolenga kudhibiti wizi na kuboresha biashara ya bidhaa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 13, 2026

Wajumbe wa Kamati ya Pamoja CCM na ACT Wazalendo Watangazwa

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Ofisi ya Baraza la Mapinduzi imetangaza majina ya Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kati ya . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 13, 2026

Man United na Man City Kukutana Kwenye Derby Kali

Manchester United na Manchester City wanatarajiwa kukutana katika mchezo wa kusisimua wa Premier League leo Jumapili, Septemba 13, 2026, kwe . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 13, 2026

Trump apigia chapuo kuungana tena kwa Ireland

Rais Donald Trump amesema angependa kuona Ireland Kaskazini ikiungana na Jamhuri ya Ireland, kauli iliyoibua mjadala kuhusu suala nyeti la k . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 11, 2026

Marioo, Jux Na Wasanii Wengine Kushiriki Afrimma Musicfest Dallas

Mashabiki wa muziki wa Afrika nchini Marekani wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kupitia AFRIMMA Musicfest, itakayofanyika Septemba 1 . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 11, 2026

Mhadhiri Udom Melkisedek Kaijage Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kitunzi Kaijage, baada ya upande wa Jam . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 11, 2026

Marioo, Jux Na Wasanii Wengine Kushiriki Afrimma Musicfest Dallas

Mashabiki wa muziki wa Afrika nchini Marekani wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kupitia AFRIMMA Musicfest, itakayofanyika Septemba 1 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 11, 2026

Trump "Sijutii kuanzisha vita nchini Iran "

Rais Donald Trump amesema hajutii kuanzisha vita nchini Iran licha ya kwamba vita hivyo vitakuwa na athari kwa uchaguzi wa wabunge unaotaraj . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Matunda Yanayosaidia Kupunguza Mafuta ya Tumbo

Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na nyuzi . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Matukio ya hali mbaya ya hewa yalivuruga elimu ya wanafunzi milioni 171 duniani kote 2025

Zaidi ya wanafunzi milioni 171 duniani kote waliona shule zao zikivurugwa na matukio yanayohusiana na hali ya hewa mwaka wa 2025, kulingana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Moscow yatangaza kufunguliwa kwa vituo vipya vya Urusi katika nchi nane za Afrika

Urusi inapanua zaidi ushawishi wake barani Afrika. Shirika linalohusika na vituo vya kitamaduni vya Urusi duniani kote limetangaza kusaini m . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Mamia ya watu wafurika Homa Bay baada ya uvumi wa dhahabu kugunduliwa huko

MAMIA ya watu, vijana kwa wazee waliojihami kwa koleo, mawakala waliobeba kitita cha hela na madereva wa malori, wamiliki mashine na wafayab . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Kamanda mpya ateuliwa kuongoza vita dhidi ya Boko Haram

Nigeria imemteua kamanda mpya kuongoza operesheni za kijeshi dhidi ya wanajihadi wa Boko Haram na Islamic State kaskazini mashariki mwa nchi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Ufalme wa Tooro umemteua mfalme mpya

Ufalme wa Tooro nchini Uganda umemteua mfalme mpya kujaza nafasi hiyo kufuatia kifo cha mtangulizi wake Oyo Nyimba, aliyefariki akiwa na umr . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Taylor Swift Ang’ara Kwenye ‘Date Night’, Avaa Gauni La Tsh Milioni 7.2

Msanii maarufu wa muziki nchini Marekani, Taylor Swift, ameonekana akiwa na mume wake, Travis Kelce, katika ‘date night’ jijini New York . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 10, 2026

Vita Vya Iran Vitaisha Baada ya Uchaguzi wa Novemba

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema anaamini vita kati ya Marekani na Iran vinaweza kumalizika muda mfupi baada ya uchaguzi wa katikati . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 9, 2026

Fahamu Siri ya Mbegu za Maboga Zinazobadilisha Afya Yako

Mbegu za maboga ni moja ya vyakula vya asili vinavyopatikana kwa urahisi, lakini mara nyingi hazipewi thamani inayostahili. Licha ya ukubwa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 9, 2026

Job na Mzize Kuongeza Nguvu Yanga Baada ya Kufanyiwa Vipimo Afrika Kusini

Beki wa kati ndani ya kikosi cha Yanga SC, Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize wanatarajiwa kurejea uwanjani hivi karibuni baada ya ku . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 9, 2026

Madrid, Man City Zaanza kwa Kishindo UEFA Halland Akitupia Mawili

Real Madrid nayo ilianza kampeni kwa ushindi wa 2–1 dhidi ya Inter Milan, wakati Borussia Dortmund ikiibuka na ushindi wa 3–1 dhidi ya V . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 9, 2026

Kesi ya Lissu Yaendelea, Upande wa Utetezi Kuwasilisha Ushahidi

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo, Septemba 9, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, huku upan . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 9, 2026

Mzozo unaongezeka kuhusu vitisho vya kuwafukuza wafanyabiashara wa kigeni wasio na vibali

Nchini Kenya, maagizo mapya ya serikali yanayolenga kuwafukuza wafanyabiashara wa kigeni wasio na vibali yanaendelea kuzua utata. Juman . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 9, 2026

Juba yatakiwa kuweka mazingira salama kuelekea uchaguzi mkuu

Watalaam wa haki za binadamu kutoka Umoja wa Mataifa wameitaka mamlaka ya Sudan Kusini kuhakikisha inaweka mazingira salama kwa wanasiasa na . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 8, 2026

Wapwani walalamikia ongezeko la vijana kutekwa na kupatikana Nairobi

VIONGOZI na wakazi wa Mombasa wameelezea wasiwasi kuhusu visa vya vijana kupotea, huku baadhi yao baadaye wakipatikana Nairobi na katika viu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 8, 2026

Iran "Tuna uwezo kuzishambulia meli za kivita za Marekani"

Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Iran, Majid Ibn e Reza, amesema jeshi la Iran lina uwezo kamili wa kushambulia meli za kivita za Marekani zinazote . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • September 8, 2026

Infantino Athibitisha Kugombea tena Urais wa FIFA Mwakani

Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA), Gianni Infantino, amethibitisha kuwa atagombea tena nafasi ya urais wa FIFA katika uchaguzi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 8, 2026

Houthi waituhumu Saudi Arabia kwa shambulio kwenye gereza

Waasi wa Houthi nchini Yemen wameituhumu Saudi Arabia kwa kutekeleza shambulio la anga kwenye gereza kaskazini mwa Mji wa al-Hazm, shambulio . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 8, 2026

Makabiliano yaendelea kuripotiwa licha ya upatanishi wa Marekani

Wanajeshi wa Ukraine na Urusi wameendelea kukabiliana licha ya juhudi za upatanishi zinazoongozwa na Marekani.Wizara ya ulinzi ya Urusi Juma . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 7, 2026

Mume wa Rais Samia afariki dunia

Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, ametangaza kifo cha Hafidh Ameir Hassan, ambaye ni mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 7, 2026

Nairobi yaunga juhudi za kimataifa kumaliza ndoa za mapema

Kenya imejiunga na nchi zingine za Afrika kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa lililoanzisha Novemba 27 kama Siku ya Kimataifa ya kutokom . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 7, 2026

Kampala yazuia waombolezaji kutoka DRC kuhudhuria mazishi ya mfalme Oyo

Uganda imezuia waombolezaji kutoka DR Congo kuhudhuria mazishi ya mfalme wa Tooro, Oyo Nyimba Kabamba wa nne, ikitaja sababu kuwa mlipuko wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 6, 2026

Siri ya ziara ya Gachagua Amerika

KIONGOZI wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, anatarajiwa kuanza rasmi shughuli zake za kisiasa nchini Ame . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 6, 2026

Usimamizi taka ngumu bado hauridhishi

SERIKALI imesema usimamizi wa taka hususan katika maeneo ya mjini hauridhishi, kwa kuwa ni wastani wa asilimia 37 tu ya taka ngumu zinazozal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 6, 2026

Moto wazuka katika sherehe ya harusi na kuua watu wasiopungua 22

Watu wasiopungua 22 wameangamia baada ya kuvamiwa na moto katika sherehe ya harusi huko Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ko . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • September 6, 2026

Watuhumiwa 199 Wakamatwa Kwa Makosa Mbalimbali Rufiji

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limekamata jumla ya watuhumiwa 199 kwa makosa mbalimbali katika operesheni na misako iliyofanyika ku . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • September 4, 2026

Haya Ndiyo Maajabu ya Komamanga Mwilini Wako, Wengi Hawajui!

Komamanga ni miongoni mwa matunda yenye virutubisho mbalimbali vinavyoweza kuwa sehemu ya lishe bora. Tunda hili, linalojulikana kwa jina la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2026

Ubalozi Wafunguka Mtanzania Khalifa Siwa Afariki Dunia Nchini Marekani, Ubalozi Wafunguka

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani umetangaza kifo cha Mtanzania Khalifa H. Siwa, aliyefariki dunia Septemba 2, 2026 . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 4, 2026

Bodi ya Filamu Yawapa Wito ‘A-List’ Watakiwa Kufika Septemba 7, 2026

Bodi ya Filamu Tanzania imewataka waigizaji Irene Uwoya, Aunty Ezekiel, Frida Kajala na Jacqueline Wolper kufika katika ofisi za Bodi hiyo s . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • September 4, 2026

Golugwa Kupambana Na Maswali Ya Dodoso Kesi ya Lisu leo

Hatua ya maswali ya dodoso (Cross-examination) kwa shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Dem . . .

Kurasa 8 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category