logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Siasa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

NDUGAI AOMBA RADHI.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kutokana na mijad . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

WAZIRI MKUU WA SUDANI ABWAGA MANYANGA.

Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo baada ya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, ya . . .

Michezo
  • Na Suzuki
  • January 3, 2022

AHMED ALLY AFISA HABARI MPYA SIMBA.

Simba SC imemtambulisha aliyekuwa mtangazaji wa Azam TV Ahmed Ally kuwa ndio meneja mawasiliano wa club yaani afisa habari, Ahmed Ally kabla . . .

SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • January 2, 2022

LUKAKU AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA KIKOSI EPL LEO DHIDI YA LIVERPOOL.

Chelsea wamemuondoa Mshambuliaji wao Romelu Lukaku katika list ya wachezaji watakaowatumia katika mchezo wa EPL leo dhidi ya Liverpool.Sabab . . .

Matukio
  • Na Suzuki
  • January 2, 2022

BUNGE LA AFRIKA KUSINI LA WAKA MOTO.

kumezuka Moto mkubwa ambao umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini Mjini Cape Town.Taarifa zinasema moto huo umeanza alfajiri ya kuamkia l . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 2, 2022

MAKUSANYO TRILION 2.5 DESEMBA.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha Mwezi December 2021 imekusanya TZS trilioni 2.51 kati ya lengo la kukusanya Tsh. . . .

NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

KOCHA PABLO AONYWA VIKALI.

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Pablo Franco amepewa Onyo Kali kwa kosa la kushindwa kuzuia hisia ama mihemko yake hali iliyosababisha aoneshe . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

CCM KILIMANJARO WAMTAKA NDUGAI AJITAFAKARI.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi amedai kuwa kauli aliyoitoa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndu . . .

Top Story
  • Na Suzuki
  • January 1, 2022

Makamu wa Rais ashiriki misa ya mwaka mpya

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2022 wameungana na waumini wa kanisa katoliki P . . .

Kimataifa
  • Na Suzuki
  • December 31, 2021

BAADHI YA NCHI AMBAZO TAYARI ZIMEINGIA 2022

Wakati Tanzania na baadhi ya nchi kote ulimwenguni ikiwa inahesabu saa kadhaa hadi kufika Januari 1, 2022, kuna nchi na miji tayari wamewash . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 30.12.2021

Borussia Dortmund wanatazamia kuweka pamoja mpango wa kujaribu kumshawishi mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland kusalia nao, huku mus . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Ndugu wa hayati Desmond Tutu watoa salamu zao za mwisho

Ndugu wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati askofu mkuu Desmond Tutu baada ya jeneza lililobeba mwili wake kuwasili katika kanisa la . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Hili hapa picha zima Yanga kwa Mshery

ALIYEKUWA kipa wa Mtibwa Sugar, Aboutwalib Mshery sasa rasmi ni mali ya Yanga baada ya mabosi wa Jangwani kutumia jeuri ya pesa na umafia ku . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Waitara aagiza mgambo, JKT kukagua tiketi

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka za Usafiri wa Ardhini (Latra) nchini kuendeleza zoezi la ukaguzi wa tiket . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mapigano ya Wakulima, Wafungaji Malinyi Yachafua Hali ya Hewa

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, limesema wafugaji ambao walikimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyoibuka kati yao na wakulima k . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Ni kweli Nandy Mjamzito?

ALKIA wa muziki wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nandy The African Princess ameendelea kutrendi na tetesi za kuwa mjamzito kwa wiki kadhaa s . . .

Kitaifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Wanaopandisha nauli Kukiona

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imesema inaendelea na ukaguzi wa mabasi ya kwenda mikoani il . . .

Mahakamani
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Sabaya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilay . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mirabaha ya Wasanii Gizani

SERIKALI ilisema itaanza kulipa mirahaba ya kazi za wasanii kuanzia Desemba mwaka huu kupitia makusanyo yatakayopatikana kwenye vyombo vya h . . .

Mastaa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Kiba Amjibu Maua Sama “Hakuna wa Kukupiga”

Staa wa muziki Bongo Alikiba amemjibu Maua Sama kwa kumwambia hakuna mtu wa kumpiga akirudia kusikiliza wimbo wake wa Zai, Utu ya Alikiba na . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Azam Yapata Mrithi wa Sure Boy, Wamtangaza Ibrahim Ajib

KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi cha Azam FC.Ajib . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Polepole Akanusha Kutaka Kuanzisha Chama Kipya

Mbunge wa Kuteuliwa na Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole amekanusha taarifa za kutaka kuhama chama hicho na kuunda chama k . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha

Mwanamke mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu chenye . . .

Siasa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Majibizano ya Spika Ndugai na Rais Samia na fukuto la siasa za 2022 na 2025

ais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Job Ndugai kwa mara ya kwanza wamejibizana juu ya namna bora ya uendesh . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Biden na Putin kufanya kuwasiliana kwa simu Alhamisi

Ikulu ya Marekani imesema Jumatano kwamba Rais Joe Biden atazungumza kwa njia ya  . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Jumuia ya kimataifa yaingilia mzozo wa kisiasa wa Somalia

Msemaji wa Umoja wa Mataifa Ari Gaitanis amesema Jumatano kwamba  Umoja wa Matai . . .

Top Story
  • Na Gsengo
  • December 29, 2021

Aliyejenga kaburi barabarani apewa siku 45 kuliondoa

 Baraza la Ardhi la Kata ya King’ori wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, limemtaka mkazi wa kijiji cha King’ori, John Peter Nanyaro an . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Nyota wa TikTok wamaasai Kutoka Tanzania wanaopata umaarufu miongoni mwa mashabiki wa Bollywood

Huku wakivalia vazi lao la kitamaduni la jamii ya Maasai na kuzungukwa na ng'ombe, nyota wapya wa Tanzania katika mtandao wa TikTok ambao ni . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 29.12.2021

Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. . . .

Muziki
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Wasanii Bongofleva waliofika mjini mwaka 2021

WANASEMA kuimba kupokezana! Kila mwaka wasanii wapya huingia kwenye gemu ya muziki wa Bongofleva kama ambavyo wasanii wengine hufulia na kup . . .

SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Hitimana ndio basi tena Simba

Thierry Hitimana amevunja mkataba wake na klabu ya Simba kama kocha msaidizi baada ya makubaliano ya pande zote mbili.Hitimana jana Disemba . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Kesi ya uchaguzi dhidi ya Barrow yatupiliwa mbali Gambia

Mahakama ya juu ya Gambia Jumanne imetupilia mbali kesi iliowasilishwa dhidi ya ushindi wa rais Adama Barrow kwa madai kwamba walioiwasilish . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Rais wa Brazil asema hatakubali mtoto wake kupewa chanjo ya Corona

Rais wa Brazil Jair Bolsonaro amesema kwamba hatampa chanjo bintiye mwenye umri wa miaka 11 dhidi ya COVID-19,Hatua hiyo ni mwendelezo wa ms . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Israel yaanza kutoa chanjo ya nne kwa watu wake

Madakatari nchini  Israel Jumatatu wameanza kutoa chanjo ya nne ya covid 19  kwa . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Askofu Desmond Tutu kuzikwa siku ya mwaka mpya

Raia wa afrika Kusini wamekuwa walitembelea kanisa la St Georges mjini  cape town kutoa heshima zao za mwisho kwa Askofu mkuu Desmond T . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Zaidi ya wahamiaji 400 waokolewa baharini

Meli ya shirika lisilo la kiserikali la Ujerumani Sea-Watch 3, ikiwa na wahamiaji 444, ilikuwa ikingoja kupewa bandari ya usalama kutia nang . . .

Kimataifa
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy azuru Tunisia

Waziri wa mambo ya kigeni wa Italy Luigi Di Maio Jumanne wakati akiwa ziarani Tu . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Ndugai: Kuna siku nchi itapigwa mnada

Wakati Spika wa Bunge, Job Ndugai akihoji wanaofurahia nchi kukopa na kwamba deni limefika Sh 70 trilioni, Rais Samia Suluhu Hassan amesema . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 29, 2021

Samia: Tutakopa fedha kujenga reli ya kisasa

Rais wa Tanzania, Samia amesema ni lazima serikali ikope ili kumaliza mradi wa Reli ya Kisasa (SGR).Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 28 . . .

Burudani
  • Na Suzuki
  • December 28, 2021

DEFAO AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki mahiri wa Rhumba, Le General Defao Matumona amefariki dunia akiwa nchini Cameroon. Defao ni mwanamuziki mwenye kipaji cha kutung . . .

Kurasa 254 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category