logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
AJALI
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Basi la kampuni ya Happy Nation Laungua Moto Likiwa Njiani Kwenda Arusha

Basi la kampuni ya Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Arusha limeteketea kwa moto eneo la kwa Makocho majira ya saa nn . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Wanajeshi wa Uingereza kuchukua nafasi ya wafanyakazi wanaogoma

Uingereza Jumapili imesema kwamba itatuma wanajeshi 1,200 kuchukua nafasi ya madereva wa magari ya kubeba wagonjwa  pamoja na maafisa w . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Elon Musk Awaomba Watumiaji Wa Twitter Kuamua Mustakabali Wa Uongozi Wake

Mmiliki wa Twitter Elon Musk anawaomba watumiaji wa mtandao huo wa kijamii kupiga kura kuhusu mustakabali wake kama afisa mkuu mtendaji wake . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2022

Wengi wafariki dunia nchini Afghanistan kutokana na ajali ya moto

Karibu watu 19 wamekufa baada ya lori la mafuta kuanguka na kushika moto nchini Afghnaistan huku wengine 30 wakijeruhiwa vibaya, taarifa hii . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • December 18, 2022

Papa asema alisaini barua ya kustaafu iwapo afya ingezorota

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amefichua kwa mara ya kwanza kuwa alisaini barua ya kustaafu karibu muongo mmoja uliopita, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 18, 2022

Waandamana kupinga ugumu wa maisha Liberia

Watu zaidi ya alfu moja nchini Liberia walishiriki katika maandamano kupinga ugumu wa maisha. Watu hao pia wanapinga rais wao George Weah k . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 18, 2022

Drake Noma, Abet Bilioni 2.3 za Kitanzania Argentina Ishinde Kombe la Dunia Leo

Drake Ameweka Dola Milion 1 Sawa La Bilion 2.33 Za Kitanzania Kwa Argentina Ishinde Leo Kwenye Fainal Za Kombe La Dunia. Ila Kuna Hofu Kwa M . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 17, 2022

FIFA wakataa ombi la Rais Zelensky wa Ukraine Kuhusu World Cup

Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kabla ya mchezo wa fainali . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Mbappe "Waafrika ni Ndugu Zetu Tunategemea Support yenu"

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutok . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Da Cruz atambulishwa Brazil

LIYEKUWA mshambuliaji wa Singida Big Stars, Peterson Da Cruz ‘Peu’ ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Clube Nautico Marcilio Dias inay . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

CHADEMA waunda bunge lao

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA John Mrema amesema Bunge la Wananchi limeundwa na wanachama wa chama hicho waliogombea ubunge mwaka 202 . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Dirisha Dogo La Usajili Kwa Ligi Kuu, Daraja La Kwanza, Daraja La Pili Lafunguliwa

Dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu, Daraja la Kwanza, Daraja la Pili na Ligi ya Wanawake limefunguliwa Desemba 15, 2022 na litafungwa Janu . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Elon Musk amshtaki mteja wake Twitter kwa kufuatilia Ndege yake binafsi

Elon Musk ametangaza kuwa anamshtaki mmiliki wa akaunti ya Twitter inayofuatilia ndege yake ya kibinafsi. Musk alisema vitendo hivyo vilimwe . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

ANC ya Afrika Kusini inafanya mkutano mkuu kuchagua kiongozi wa chama

Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kinafanya mkutano wake mkuu leo ambao unatarijiwa kumchagua kwa mara nyingine rais Cyril Ramaphosa kuw . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Binti amzika mwanae akiwa hai ili ajiuze vizuri

Oliver Meshaki (19), mkazi wa Kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumzika mtoto wa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Dkt Jafo"Maji yamepungua ndiyo maana kuna mgao"

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo, amezindua josho la kuogeshea mifugo katika Kijiji cha Irkuj . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • December 16, 2022

Sheikh wa Nigeria ahukumiwa kunyongwa kwa kukufuru

Mahakama ya Sheria katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria, imemhukumu kifo mhubiri mashuhuri wa Kiislamu kwa kumnyonga, baada ya kumkut . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Balozi wa Tanzania Nchini Austria Afariki Dunia

Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa hapa.Mushy . . .

Masumbwi
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Bondia Mwakinyo Kuchunguzwa Sakata la Kupoteza Pambano Nchini Uingereza

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupot . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA NKANSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkansi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa Disemba 14, 2022. Wa pili . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Mkutano kuhusu madeni ya Afrika umefanyika China

Mivutano ya muda mrefu kati ya wakopeshaji wakubwa wa kimataifa na China ilidhihirika katika mkutano uliofanyika katika jimbo la Anhui nchin . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Peru yatangaza siku 30 za hali ya hatari

Serikali ya Peru imetangaza siku 30 za hali ya hatari nchi nzima. Katika tangazo hilo la jana, Waziri wa Ulinzi Alberto Otarola alisema haki . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2022

Biden asema Marekani imejitolea kwa kila hali kwa Afrika

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupot . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Polisi wa Kenya wajipanga kukabiliana na al-shababu

Polisi wako macho baada ya kupokea ripoti za ujasusi zinazobainisha kwamba kundi la kigaidi la al-Shabaab, linapanga misururu ya mashambuliz . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Shirika la ndege la Morocco Lafuta Safari zote za Qatar

Shirika la ndege la Morocco limesema linafuta safari zote lililokuwa limepanga kwa leo kuwasafirisha mashabiki kwenda Doha kuhudhuria mechi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Mwili wa mwanafunzi kutoka Zambia aliyekufa akipigania Russia nchini Ukraine umerudishwa nyumbani

Mwili wa Lemekani Nyirenda, ambaye alikuwa anasomea uhandisi kuhusu nyuklia, nchini Russia kabla ya kujiunga na jeshi, umefikishwa nyumbani . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Idadi ya watu waliokufa kutokana na mafuriko DRC imefikia 140

Watu 140 wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kafuatia mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali katika mji mkuu wa Kinshasa, . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Mahakama yatupa pingamizi kesi kina Sabaya

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya rufaa iliyofunguliwa na Mkurugenzi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

WAZIRI MKUU AWATAKA WATUMISHI MLELE WAHAMIE KWENYE NYUMBA ZA SERIKALI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa ba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Wabunge wa Ulaya wamvua Eva Kaili umakamu rais

Makamu Rais wa Bunge la Ulaya, Mgiriki Eva Kaili, ameondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya tuhuma za kupokea rushwa.  Bunge lilipiga kur . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 14, 2022

Messi avunja rekodi ya kombe la dunia

Lionel Messi amempiku nyota wa soka wa Argentina, Gabriel Batistuta kama mfungaji bora wa taifa hilo katika Kombe la Dunia baada ya kuifungi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Gambo aibua tuhuma za kunusurika kuuawa mara mbili

Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo ameibua tuhuma dhidi ya viongozi wa Serikali akiwatuhumu kuuwinda uhai wake ikiwamo kumvamia nyum . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Mshukiwa katika shambulizi la ndege ya Lockerbie, raia wa Libya afikishwa mahakamani Marekani

Afisa wa ujasusi wa Libya anayeshutumiwa kutengeneza bomu lililotumika kuiangusha ndege ya Pan Am na kuua watu 259, waliokuwa ndani ya ndege . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Raila na Ruto kukutana leo katika kongamano la viongozi wa Afrika na Amerika

RAIS William Ruto leo Jumanne atakutana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga, nchini Amerika wanapohudhuria Kongamano l . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Mrisho Mpoto Aondoka Nchini Kuelekea India Kutumbuiza Kwenye Tamasha

Mwanamuziki wa nyimbo za asili na uhamasishaji nchini Tanzania, Mrisho Mpoto ameondoka nchini  pamoja na bendi yake kuelekea nchini Ind . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Iran yamnyonga mtuhumiwa mwengine wa maandamano ya umma

Iran imesema imemnyonga mtuhumiwa mwengine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu wa nchi hi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Rais Samia ashiriki mkutano wa AGRA

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya kilimo katika mkutano wa AGRA uliofanyika kwenye ofisi za taas . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 13, 2022

Kundi la muziki la Navy Kenzo Waomba Radhi Kisa Mavazi

Kundi la muziki la Navy Kenzo limeomba radhi kufuatia kadhia iliyotolewa na mavazi ya wacheza show wao kwenye jukwaa la Fiesta jijini Dar es . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 12, 2022

Waarabu Wafunga Safari Kumfuata Feisal Salum ‘Fei Toto

MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa saini . . .

Habari
  • Na Asha Business
  • December 11, 2022

Waziri wa mambo ya ndani Korea Kusini kikaangoni

Bunge la Korea Kusini limepitisha hoja ya kutaka kufutwa kazi kwa waziri wa mambo ya ndani kufuatia ajali kubwa ya Itaewon.Lee Sang-min amek . . .

Kurasa 186 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category