AIS wa zamani wa Amerika, Donald Trump, amejitetea akidai kuwa hatua ya kumshtaki inalenga kuhujumu azma yake ya kuwania kiti cha urais mwak . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:-Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mw . . .
Chombo cha habari cha serikali ya Iran kimesema kwamba wasichana 20 wa shule wamelazwa hospitali Jumanne, ikiwa tukio la karibuni la w . . .
Moja ya habari iliyokamata headlines wiki hii ni ripoti iliyoandikwa kupitia jarida la The New York Post, kuripoti kuwepo kwa muuguzi mmoja . . .
Anselum Sebuka mwenye umri wa miaka 42 mkazi wa Kijiji na kata ya Namagondo wilayani Ukerewe mkoani Mwanza amekutwa ndani ya chumba chake ak . . .
Shada la Mauwa aliloweka Makamu wa Rais wa Marekani, Mhe. Kamala Harris kwenye onesho maalum la kuwakumbuka wahanga wa Bomu la Ubalozi wa Ma . . .
Ikiwa ni hatua ya kuidhibiti Marekani na Ulaya kweye mchakato wa uuzaji na uzalishaji wa mafuta, Urusi imefanikiwa kuzishawishi nchi wazalis . . .
Mwanaume mmoja kutokea Jimbo la New Jersey Nchini Marekani ambaye alikuwa anahitaji sana figo amepewa zawadi ya maisha baada ya Dereva wa Ub . . .
Baada ya Yanga kuizamisha TP Mazembe kwenye dimba lao la nyumbani huko DR Congo kwa kuwachapa bao 1-0, US Monastir walipaswa kushinda angala . . .
Shambulizi la anga la Israel limeulenga mji mkuu wa Syria,Damascus mapema Jumanne kulingana na ripoti ya chombo cha habari . . .
Serikali ya Sieraa Leone Jumatatu imetangaza kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya mitaani ambayo kwa muda mrefu imetumika kwenye kampeni z . . .
Mwanadada Khosi Twala (25) kutoka Afrika Kusini ameibuka mshindi wa shindano la Big Brother Titans siku ya jana katika shindano lililojumuis . . .
Wanafunzi wawili wameaga dunia katika shule ya upili ya wasichana ya Mukumu katika Kaunti ya Kakamega Nchini Kenya kufuatia mlipuko wa ugonj . . .
Serikali ya Italia yapania kuanzisha sheria ya kuwatoza faini raia wake watakaotumia maneno ya Kiingereza au lugha nyingine yoyote ya kigeni . . .
Maporomoko ya ardhi yameua watu 19 Jana Jumapili mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa eneo hilo wamesema.Maafa hayo ya . . .
Wiki kadhaa baada ya kimbunga Freddy kugonga Msumbiji kwa mara ya pili, taifa hilo ambalo bado limefurika, linashuhudia ongezeko kubwa la ma . . .
Klabu ya Chelsea imemtimua Kocha wake Graham Potter baada ya muendelezo wa matokeo mabovu ya klabu hiyo huku jana Jumamosi akipokea kichapo . . .
Moto huo umetokea majira ya saa tatu usiku wa Aprili 1 mwaka huu ambapo Mkaguzi Loti Madauda kwa niaba ya Kaimu Kamanda wa jeshi la zi . . .
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Camillus Wambura, ametuma timu ya Maafisa kutoka Polisi Makao Makuu Dodoma kwenda Kata ya Mganza, Wilaya ya . . .
Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi ameachia Album yake mpya ya #TIMELESS baada ya kukaa kimya kwa muda, ndani ya Album hiyo y . . .
Serikali imehaidi kufanya Maboresho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwemo kununua jenereta mbili kubwa ambazo zitatumika wakati umeme utak . . .
Katibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Pwani – PUSA, Kelvin Nyambura amewataka Wanafunzi na Wazazi kuwa watulivu akisema vifo hivyo vimewagusa watu . . .
Waukraine leo wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kukombolewa kwa mji wa Bucha uliokuwa umekaliwa na majeshi ya Urusi.Rais Volodymyr Zelenskiy a . . .
Darzeni ya waandamanaji wamekamatwa na polisi katika mji mkuu wa Dakar nchini Senegal, wafuasi wa upinzani wakishutumu mashtaka dhidi ya kio . . .
Bunge la Uturuki Alhamisi limeidhinisha mswaada wa sheria ili kuiruhusu Finland kujiunga na NATO, na hivyo kuondoa pingamizi zote kwa Helsin . . .
Polisi eneo la Webuye Mashariki katika Kaunti ya Bungoma wanachunguza kisa ambapo wanawake wawili wanakisiwa kumuua kaka yao katika mzozo wa . . .
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris hii leo Machi 31, 2023 anakamilisha ziara yake ya kikazi nchini hapa ambapo anatarajia kuelekea Za . . .
Naibu Waziri wa Sanaa Hamis Mwijuma maarufu kama mwanaFA amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa basata.Tanzania kusimamia kikamilifu mikataba ka . . .
Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo amesema kuwa kuna watu wanaamini wao wanajua zaidi kuliko waliyopo kwenye tasnia ya Ngumi yenyewe huku aki . . .
WATU sita wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya mauaji ya watu, kufukua makaburi wilayani M . . .
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, . . .
Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris ameanza rasmi ziara yake ya nchini Tanzania ambapo hii leo anatarajiwa kufanya mikutano na viongozi . . .
Kwa zaidi ya muongo uliopita, Wachina wamekuwa wakifurika mijini na vijijini barani Afrika kujenga barabara, mabwawa, madaraja na miundombin . . .
Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya na ambaye ni mfadhili mkubwa wa mbegu za kiume aliyezaa takriban watoto 550 duniani . . .
Kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Francis alilazwa hospitali Jumatano kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya ku . . .
Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani Happyness William mwenye umri wa miaka 18 mkazi w . . .
Kiongozi wa Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga amesisitiza kuwa safari yake ya kwenda Ikulu haiwezi kuzimwa. Kupitia ki . . .
Wizi wa alama za barabarani mkoani Shinyanga ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara umetajwa kuchangia uharibifu mkubwa wa mindombinu hiyo pam . . .
Polisi mjini Kampala nchini Uganda wanamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Joy Biira kwa tuhuma za kumkata mumewe sehemu za s . . .
Wakazi wa kitongoji cha Nyangalamila B kata ya Irenza Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza wamemkataa diwani wa kata yao . . .