logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 20, 2023

Manula, Kanoute kuikosa Wydad Casablanca

Huenda Simba SC ikawakosa Aishi Manula na Sadio Kanoute katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Davido afunguka Sababu Yakutofanya Tena Collabo na Wasanii wa Tanzania

sanii Davido ambaye anazidi kutamba na kutambaa kwa kasi na ngoma zaidi ya 15 kwenye albamu yake mpya ya ‘Timeless’ kwa mara ya kwanza a . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Madrid Yaifunga Tena Chelsea UEFA Champions League, Watinga Nusu Fainali

Klabu ya Real Madrid ya Uhispania imefabikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA Champions League) baada y . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Serikali " Hakuna Mtanzania Aliyeumia Mapigano Sudan"

Tanzania imeungana na nchi wanachama na wajumbe wa Amani barani Afrika kulaani mapigano yanayoendelea Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum kati ya Je . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Anayeingiliwa kinyume na maumbile ahukumiwa jela

Mahakama ya wilaya ya Kilwa imemhukumu Muharami Hassan Nayonga, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumkuta na hatia ya kuruhusu kuingiliwa k . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Hamissa Mobetto "Nachukia Wanaume Wanaonifuata na Kuniambia Niwazalie Watoto"

Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto.H . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

UN "Idadi ya watu India kuipiku China katikati ya mwaka huu".

mwaka huu, India itakuwa nchi ya kwanza kwa idadi ya watu duniani, ikiipita China kwa takribani watu milioni tatu.Ripoti ya hali ya dunia ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Tanzania yaitaka Sudan isitishe mapigano

Serikali ya Tanzania imezitaka pande zote zinazopigana nchini Sudan kusitisha mapigano hayo na badala yake warudi kwenye meza ya mazungumzo . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Jela miaka 30 na viboko 6 kwa kubaka bibi

Mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Lindi imemhukumu Said Mohamed (49) mkazi wa chikonji Lindi, kifungo cha miaka 30 jela sambamba n . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 19, 2023

Zaidi ya watu milioni 48 barani Afrika wapo kwenye hatari ya kukumbwa na njaa, UN yasema

Umoja wa Mataifa Jumanne umeonya kuwa baa la njaa linaendelea kuenea Afrika Magharibi ambako takriban watu milioni 48 wapo kwenye hatari ya . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Dkt Samia suluhu hasani afanya utenguzi mwanza

. . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Mwanamuziki Dimpoz uso Kwa uso na Tajiri wa Afrika Bwana Dangote

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' ameshare picha akiwa na tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote.Kupitia ukurasa wak . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Polisi wa Italy wanasa cocainea ikielea baharini

Polisi wa Italy wamepata tani mbili ya dawa za kulevya aina ya cocaine zikielea kwenye bahari karibu na ufukwe wa mashariki mwa kisiwa cha I . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Maporomoko ya ardhi kaskazini mwa Pakistan yafukia malori 20

Malori yapatayo 20 yamefukiwa kwenye mporomoko ya ardhi kaskazini magharibi mwa Pakistan. Hali hiyo ilitokea baada ya barabara kuu inayopiti . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Takribani watu 200 wauwawa nchini Sudan

Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alitoa wito kwa pande zinazopigana nchini Sudan kusitisha mara moja uhasama huku mjumbe wake mjini . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Mbunge ataka bei ya mafuta Dar iongezeke

Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amependekeza kuwa kwenye bei ya mafuta inayotolewa na EWURA wahakikishe wanaongeza shilingi 100 kwa l . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 18, 2023

Mzee Huyu ni zaidi ya Hakimi, Alimpa Mkewe Talaka Bila Mwanamke Kujua Miaka 20 iliyopita

HomeGossip NewsMzee Huyu ni zaidi ya Hakimi, Alimpa Mkewe Talaka Bila Mwanamke Kujua Miaka 20 iliyopitaMzee Huyu ni zaidi ya Hakimi, Alimpa . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

Man City kumrudisha Jude Bellingham England

Imefahamika kuwa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City, wameanza mikakati ya kumnasa kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

Mafunzo Taasisi ya Empower kwa walimu yasitishwa

Kamati ya Usalama Wilaya ya Same imelazimika kuingilia kati na kusitisha mafunzo yaliyokuwa yanatolewa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Emp . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

WAZIRI RIDHIWANI AKABIDHI ZAWADI MASHINDANO YA QURAAN

Ridhiwan Kikwete(MB) Na Naibu waziri wa Utumishi .Ameshiriki kugawa Zawadi katika mashindano ya Kimataifa ya uhifadhi wa  Quraan yaliay . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

Guterres aeleza wasiwasi wake kutokana na mzozo uliyopo Sudan

Katibu mkuu wa Umoja Mataifa Antonio Guterres, Jumapili ameelezea wasi wasi wake kutokana na mzozo unaoendelea  nchini Sudan kati ya vi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

Kylian Mbappe aweka rekodi Paris Saint-Germain

Mshambuliaji Kylian Mbappe amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris Saint-Germain kwenye Ligi Kuu ya nchi hi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

Imeelezwa kuwa alipatwa na presha na kuanguka ghafla. Mechi ya jana Aprili 16, 2023, Simba waliondoka na ushindi wa magoli mawili kwa nunge dhidi ya Yanga.

Shabiki wa Yanga aliyejulikana kwa jina la Jane, mkazi wa Kata ya Bwilingu wilayani Chalinze mkoa wa Pwani, amepoteza maisha wakati akiangal . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

ACT kuandamana hadi Ikulu kwa Rais Samia

Mwenyekiti wa ngome ya vijana wa chana cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo, amesema kwamba anawakaribisha wananchi katika maandamano ya amani yat . . .

Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 17, 2023

IFM "Uchumi wa Tanzania wapaa miaka miwili ya Rais Samia"

Pato la Taifa lafikia Sh. trilioni 200 kwa mwaka 2023 kutoka Sh. trilioni 163 ya mwaka 2021, Uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • April 16, 2023

Watu 56 wauawa Sudan katika mapigano ya siku mbili

Takriban watu 56 wameuawa nchini Sudan  na wengine zaidi ya 400 wamejeruhiwa katika siku mbili za  mapigano makali yaliyozuka kati . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 16, 2023

Mwanasiasa Apigwa Risasi Akizungumza Mubashara Kwenye Runinga

Aliyekuwa mwanasiasa wa India ameuawa kwa kupigwa risasi akizungumza moja kwa moja kwenye runinga pamoja na kaka yake.Atiq Ahmed, ambaye ali . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 16, 2023

Ndege Ya Shirika La Emirate A380 Yatua Kwa Dharura Tanzania

Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere uliopo Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Aprili 16, 2023 umepokea Ndege kubwa aina ya Ai . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2023

Benki ya Standard Chartered yatuhumiwa kuhujumu uchumi Tanzania

Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Tanzania ameishutumu benki ya Standard Chartered kwa kuitaka kampuni ya reli nchini kuajiri mkandarasi ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2023

Rais Tshisekedi " Hatutafanya mazungumzo na M23"

 Rais wa DRC, Felix Tshisekedi amesistiza kuwa serikali yake haitafanya mazungumzo yoyote ya kisiasa na waasi wa M23, ambao Kinshasa in . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 14, 2023

Dini Potovu Malindi Lasababisha Maafa

POLISI katika Kaunti ndogo ya Malindi wameanzisha uchunguzi, kufuatia malalamishi ya umma kuhusu mchungaji anayedaiwa kupotosha watu.Kulinga . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 14, 2023

Libya yamkamata raia wa Marekani kwa kueneza imani ya Kikristo

Maafisa wa usalama wa Libya Alhamisi walisema walimkamata raia wa pili wa Marekani kwa madai ya kusambaza imani ya kikristo katika taifa hil . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2023

Mtu aliyevujisha nyaraka za siri za jeshi la Marekani akamatwa

Idara ya upelelezi ya Marekani (FBI) imemkamata mlinzi wa usalama wa anga mwenye umri wa miaka 21 kuhusiana na uvujaji wa mamia ya nyaraka m . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 14, 2023

Achraf Hakimi aushangaza ulimwengu, hamiliki chochote

Katika hali ya kushangaza, imebainika kuwa Beki wa Kulia kutoka Morocco na Klabu Bingwa nchini Ufaransa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi ha . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Odinga"Mfungo ukiisha maandamano yataendelea"

Kinara wa Upinzani nchini Kenya na Kiongozi wa Muungano wa Azimio, Raila Odinga amesema mandamano yao ya kitaifa yataendelea licha ya mazung . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Ben Chilwell achekelea mkataba mpya Chelsea

Beki wa Klabu ya Chelsea, Ben Chilwell amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga kwenye timu hiyo akiahidi kujituma zaidi.Beki huy . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Mwanamfalme Harry Kuhudhuria Kutawazwa Kwa Mfalme Charles III

Mke wa Harry, Meghan, Duchess wa Sussex atabaki California nchini Marekani akiwa na watoto wao wawili Mwanamfalme Archie na Binti mfalme Lil . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Mapigano ya kikabila yauwa 24, nyumba zachomwa moto

Mapigano mapya kati ya makundi mawili ya waarabu na waiso waarabu, katika eneo la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya watu 24, nyumba . . .

Masumbwi
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Tanzania mwenyeji wa ngumi Afrika

Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kimataifa ya Kanda ya tatu ya mchezo wa ngumi yanayotarajiwa kufanyika Aprili 18 hadi 23 . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • April 13, 2023

Zaidi ya wahamiaji 400 wamefariki katika miezi mitatu ya kwanza ya 2023 katika bahari ya Mediterania-IOM

Miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2023 ilikuwa ya maafa makubwa katika miaka sita kwa wahamiaji ambao wanavuka bahari ya Mediterania ndani ya . . .

Kurasa 172 ya 264

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category