1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

Vanessa Kashera Afunguka Mobetto Kuvunja Penzi Lake na Aziz Ki

Msanii wa Filamu za kibongo, Vanessa Kashera maarufu 'Vee Kashera' ameibuka na kudai kwamba mwanamitindo Hamisa Mobetto hawezi kuv . . .

Babake Mohbad analia kwa kunyimwa maabara ya Marekani, adai majibu

Joseph Aloba, baba wa marehemu mwimbaji, Ilerioluwa Oladimeji Aloba, anayejulikana pia kama Mohbad, anasema alisikitishwa sana kuj . . .

Jembe Michezo

De Bruyne Aomba Kujiunga Real Madrid

Nyota wa klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne yupo tayari kupunguza nusu ya mshahara wake ili acheze misimu miwili au mitatu . . .

Real Madrid watangaza kumsajili Kylian Mbappe

Winga wa Ufaransa, Kylian Mbappe amekamilisha taratibu zote za usajili za kujiunga na Real Madrid akitokea PSG.Kwa mujibu wa ripot . . .

Jembe Habari

Wanawake waandamana Ufaransa

Maelfu ya wanawake waliingia barabarani katika miji ya Ufaransa, Jumapili kupinga maandamano ya kiongozi wa mrengo wa kulia Marine . . .

Watu waandamana mbele ya Bunge la Kenya kupinga ushuru mpya

Watu kadhaa wamekusanyika mbele ya Bunge la Kenya leo Jumanne kupinga rasimu ya bajeti ya mwaka 2024-2025 ambayo inatoa kodi mpya, . . .

Habari Zote
Kimataifa

Wanawake waandamana Ufaransa

Maelfu ya wanawake waliingia barabarani katika miji ya Ufaransa, Jumapili kupinga maandamano ya kiongozi wa mrengo wa kulia Marine Le Pen, h . . .

Dini

Watu 1,300 wapoteza maisha wakati wa Hija

Zaidi ya watu 1,300 wamefariki dunia wakati wa ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia huku waumini wakikabiliwa na hali ya joto kali ka . . .

Mauaji

Mwandamanaji mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi na polisi

Nchini Kenya, mtu mmoja amethibitishwa kufariki katika maandamano yaliofanyika Alhamis ya wiki hii jijini Nairobi kupinga muswada mpya wa fe . . .

Kitaifa

Walioacha dawa za kulevya wafanye ujasiriamali

Ikiwa Tanga ndiyo kinara wa waraibu wa dawa za kulevya kwa hapa nchini serikali wilayani humo imesema ipo macho kuwachukulia hatua wale wote . . .

Uchumi | Biashara

IMF yaidhinisha ufadhili wa dola milioni 900 kwa Tanzania

Shirika la kimataifa la fedha (IMF) Alhamisi limesema bodi yake ya utendaji imeidhinisha ufadhili wa dola milioni 786.2 kwa Tanzania kuisaid . . .

Uchumi | Biashara

Mbunge ataka serikali isisimamie mwendokasi

Mbunge wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza Mansoor Shanif Jamal, ameishauri serikali kutangaza tenda kwa Watanzania wenye uwezo wa kuendesha na . . .